Dunia yalaani kifo cha mwandishi Daud Mwangosi

soma heading we kijakazi usiyetumia akili!tangu lini "dunia" ndo wazungu?cnn inatizamwa dunia nzima wakiwemo hao dhaifu anaowapeleka bakuli la kimatonya every now and then.Mbona husemi kitu akiwa anapiga kiguu na njia kwa hao wazungu kuomba pamoja na vitu vingine hizo silaha zinazotumika kuuwa raia wasio na hatia?tumia akili na fikiri kabla ya kubandika ***** humu.
jMushi taarifa zote za iReport hata wewe unaweza kuandika na ukachangia km facebook au JamiiForum, hiyo ni taarifa ya Mwanakijiji na wachangiaji ni 9, sasa malemo kazema ni Dunia wakati CNN wametahadharisha picha na taarifa ni VETTED (Tafuta maana ya taarifa kuwa VETTED) na hapo ndio muwaeleze walimwengu, (mm nachosema RIP DAUDI MWANGOSI)
Mimi naona mnawalazimisha watu na matusi km Kijakazi ni mtu yoyote ana akili timamu na maamuzi yake binafsi hata mimi naweza kutuma picha na habari huko CNN au JF Mhariri ndiye ana mamlaka na hiyo habari yangu kuitoa/kuifuta au kuiacha
Pia hapo alipochangia mwanakijiji hujakatazwa kuchangia
 
Michael kamuhanda rpc anayeshuhudia mwandishi mwangosi anapigwa bomu la tumbo,naomba mahakama ya uharifu wa kivita ifunguliwe mapema tanzania!!!!!!!!!!!!!!
.
Kwa Tz hakuna kitu hiyo sie tuendelee kufa tu! Ila roho inauma sana sana! MUNGU ATUSAIDIE hiyo ndo salama ya Watz!
 
jMushi taarifa zote za iReport hata wewe unaweza kuandika na ukachangia km facebook au JamiiForum, hiyo ni taarifa ya Mwanakijiji na wachangiaji ni 9, sasa malemo kazema ni Dunia wakati CNN wametahadharisha picha na taarifa ni VETTED (Tafuta maana ya taarifa kuwa VETTED) na hapo ndio muwaeleze walimwengu, (mm nachosema RIP DAUDI MWANGOSI)
Mimi naona mnawalazimisha watu na matusi km Kijakazi ni mtu yoyote ana akili timamu na maamuzi yake binafsi hata mimi naweza kutuma picha na habari huko CNN au JF Mhariri ndiye ana mamlaka na hiyo habari yangu kuitoa/kuifuta au kuiacha
Pia hapo alipochangia mwanakijiji hujakatazwa kuchangia
mweleze kaka kuna watu wanapenda kuona wengine mafala sana .... wanaona wanajua kila kitu RIP DAUDI
 
Mimi nilichangia hapa nikaambiwa sijui maana ya "iReport" mara mimi **** kila aina ya kejeli mpaka akaanza kuniita "hater". Tatizo hatupendi kurekebishwa.
 
jMushi taarifa zote za iReport hata wewe unaweza kuandika na ukachangia km facebook au JamiiForum, hiyo ni taarifa ya Mwanakijiji na wachangiaji ni 9, sasa malemo kazema ni Dunia wakati CNN wametahadharisha picha na taarifa ni VETTED (Tafuta maana ya taarifa kuwa VETTED) na hapo ndio muwaeleze walimwengu, (mm nachosema RIP DAUDI MWANGOSI)
Mimi naona mnawalazimisha watu na matusi km Kijakazi ni mtu yoyote ana akili timamu na maamuzi yake binafsi hata mimi naweza kutuma picha na habari huko CNN au JF Mhariri ndiye ana mamlaka na hiyo habari yangu kuitoa/kuifuta au kuiacha
Pia hapo alipochangia mwanakijiji hujakatazwa kuchangia
hivi mkwaju ni fimbo?

Mkuu wangu nani kasema tofauti na unayosema?ireport=mimi naripoti.Sasa ambacho hukuelewa ni kitu gani?

Na kwa taarifa zenu,mkija in the name of peace,that's what you get,the opposite is also true.
 
Kila siku mkibandika humu,kinacholalamikiwa ni JF na si sijui ukwaju wala mdudu gani,huwa mna attribute to JF,sasa hii habari ya ireport kwenye cnnireport,ya mzee mwanakijiji,mnagangamala kuwa haijatolewa cnn,so what?who gives a rats ass?double standards.Mleta hoja tumeshamrekebisha,were moving on,damn!
 
Kitu kimoja kimenishangaza sana ukiwaangalia hawa jamaa utaona kuwa WOTE WANA MASABAURI MAKUBWA vipi kuna kamchezo gani wanakafanya huko? Curiosity tu jamani
 
Kila siku mkibandika humu,kinacholalamikiwa ni JF na si sijui ukwaju wala mdudu gani,huwa mna attribute to JF,sasa hii habari ya ireport kwenye cnnireport,ya mzee mwanakijiji,mnagangamala kuwa haijatolewa cnn,so what?who gives a rats ass?double standards.Mleta hoja tumeshamrekebisha,were moving on,damn!
pole sana sio kosa lako watanzania wengi ndivo mlivo ...
 
hivi mkwaju ni fimbo? KICHAGGA ni Irende la minya
tatizo ulipomkashifu kijakazi wote humu tunachangia na tuna huzuni lakini ikitokea mada ya Siasa Wachagga mnakuja juu kuliko Mrema. sasa hao viongozi leo wapo humu si wamepumzika nyumbani.
unajua mashabiki ndio wanaouana kuliko wachezaji hebu changia na hii nimepeleka CNN ambapo POLISI hawahusiki ila ni Maamuzi ya UMMA na ndiko mnakotaka kutupeleka Nchi isitawalike kosa UPONDWE NA MAWE HADI KUFA
attachment.php
sijakuelewa,as if JF ni ya wachagga,hamwezi kuficha chuki zenu,na hamtaki kushindwa hata kama mmeshikwa pabaya,kama wewe unaona vitu vidogo,sisi tunaona the whole concept,and that's what we're disscussing here,kama umechukia meza wembe,otherwise I'm movin on...
 
Hii ni I report bado haijawa proved na CNN.. ndio pale chini kuna kama vote unaonaje kuhusu hii taarifa..
Ila huu unyama lazima dunia ijue!! I hate ccm

Mkuu proof tunayo sisi wenyewe. Kilichofanyika ni kuwapa hii taarifa tu. Na taarifa hii imetoka kwa mashuhuda ambao ndio sisi.
 
Kila siku mkibandika humu,kinacholalamikiwa ni JF na si sijui ukwaju wala mdudu gani,huwa mna attribute to JF,sasa hii habari ya ireport kwenye cnnireport,ya mzee mwanakijiji,mnagangamala kuwa haijatolewa cnn,so what?who gives a rats ass?double standards.Mleta hoja tumeshamrekebisha,were moving on,damn!

Mkuu unalinganisha JF na CNN?
Just relax mkuu, naona jaziba zinaanza kupoteza hekhma yako mkuu
 
Nimelinganisha attribution,umeelewa?Let's move on...

Na ni kweli nimekasirika,kama kuna wanaoona haya ni ya kawaida,basi no words.Kuna watu hutoa mapovu wanakula ban every now and then kwa mambo ya kipuuzi halafu wanashangaa wengine,ndo hayo ya firauni.
 
Mzungu gani atajihangaisha kusoma habari iliyoandikwa kiingereza kibooooovu kama hicho. Sentensi ya kwanza tu yenyewe maloloso kibao eti ''...police are accused for using excessive force...''

sikutegemea kusoma hili kutoka kwako radhia.Nisamehe lakini. Ila pia, cha muhimu ni ujumbe kuwa umefika, ama sio?Hata wachina hawajui kingereza na wameendelea maradufu kutushinda, kibaya kipi?!
 
jMushi taarifa zote za iReport hata wewe unaweza kuandika na ukachangia km facebook au JamiiForum, hiyo ni taarifa ya Mwanakijiji na wachangiaji ni 9, sasa malemo kazema ni Dunia wakati CNN wametahadharisha picha na taarifa ni VETTED (Tafuta maana ya taarifa kuwa VETTED) na hapo ndio muwaeleze walimwengu, (mm nachosema RIP DAUDI MWANGOSI)
Mimi naona mnawalazimisha watu na matusi km Kijakazi ni mtu yoyote ana akili timamu na maamuzi yake binafsi hata mimi naweza kutuma picha na habari huko CNN au JF Mhariri ndiye ana mamlaka na hiyo habari yangu kuitoa/kuifuta au kuiacha
Pia hapo alipochangia mwanakijiji hujakatazwa kuchangia

Diversion from the context. It will be better if we all went back to the primary reason this topic came into place.Injustice, inhumanity, brutality,hypocrisy..this is what we all should focus on. Enough with the insults friends, my opinion.
 
Kuna watu watavunja monitors zao leo humu.

Ngoja niongeze tena idadi kwenye ignore list kama nilivyofanya awali.
 
Back
Top Bottom