Dunia yalaani kifo cha mwandishi Daud Mwangosi

Mzungu hani atajiangaisha kusoma habari iliyoandikwa kiingereza kibooooovu kama hicho. Sentensi ya kwanza tu yenyewe maloloso kibao eti ''...police are accused for using excessive force...''
We chakula ya mafisadi una tabu kweli.
 
Ni post ya Mwanakijiji sio habari ya CNN ,Tusikuze. It has to be verified first by them Juhudi nzuri pia.
Ni ireport ya cnn,unajuwa maana ya ireport?hizo ni habari ambazo mtu yeyote anaweza kuzireport huko cnn,na Mwanakijiji kafanya jitihada hizo siyo lazima uwe mwandishi ama reporter wao.Huwa wanazichukuwa na kuzirusha live,hata zile za vita vya syria na kwingineko huwa wanazitoa hapo kwenye cnnireport.Na lengo lake ni kupata habari amabzo hazijachujwa,yani kutoka kwa wananchi wenyewe.

Damn you must be a hater!
 
Kwa sasa hatuna jeshi la kulinda raia na mali zao ila wa kulinda watwala,mafisidi na majambazi
 
Mwangwi wa mauaji ya kinyama na kikatili yaliyofanywa na jeshi la polisi mkoani Iringa sasa umeenea dunia nzima.

Shirika la habari la Marekani CNN limeripoti tukio hilo kwa kina na uhalisia wa pekee.Shirika hilo pia limeelezea matukio yote ya mauji ya kinyama yaliyowahi kufanywa huko nyuma ambayo yote yalikuwa ni kuidhibiti demokrasia na kutaka kukifunga mdomo chama kikuu cha upinzani CDM.

Shirika hilo pia limeeleza kushangazwa na ukimya wa tume ya haki za binadamu nchini Tanzania kufumbia unyama huu.

Habari kamili soma link ifuatayo:

Tanzanian journalist killed; Police under fire! - CNN iReport

'Not vetted by CNN' ndio nini sasa wakati hiko hewani?!
 
Ni ireport ya cnn,unajuwa maana ya ireport?hizo ni habari amabzo mtu yeyote anaweza kuzireport huko cnn,siyo lazima uwe mwandishi ama reporter wao.Huwa wanazichukuwa na kuzirusha live,hata zile za vita vya syria na kwingineko huwa wanazotoa hapo kwenye cnnireport.
Damn you must be a hater!
basi kichwa cha habari kiwe hivi mwanakijiji atoa report ya kifo cha mwandishi CNN mimi pia nilidhani ni CNN wamereport wenyewe na reporter wao ...ni vitu viwili tofauti mkuu acha hasira
 
Thanx cnn kwa kutoa habari hiyo inayofichua unyama wa serikali ya ccm maana ukidai haki yako ww ni mbaya but waandishi lazima muwe wa moja na mutoe habari km hizi kwa kina bila woga
 
basi kichwa cha habari kiwe hivi mwanakijiji atoa report ya kifo cha mwandishi CNN mimi pia nilidhani ni CNN wamereport wenyewe na reporter wao ...ni vitu viwili tofauti mkuu acha hasira

Sasa nilipokuuliza kama unafahamu what's ireport,basi ungesema no na si kuja na maneno ya kejeli.Hapa huwa hakiharibiki kitu.Unless hatumo,we'll keep it that way.Here is serious matters,unatakiwa uwe mvumilivu,na utulize akili kusoma mabandiko ya wengine.Kwasbabu hapa tunaenda hivyo hivyo unavyotaka,ukitaka ustaarab utaupata,pretty much anything you want.Nashukuru umeelewa.

Fyi yeyote mwenye kutembelea cnn,hususan ireport,wataziona,na wao pia wakati wa kuchagua habari za kurusha hewani,huzitembelea hizo ireport,cha muhimu ujumbe umefika,na si kuleta criticism ambazo si constructive.
 
Ni ireport ya cnn,unajuwa maana ya ireport?hizo ni habari amabzo mtu yeyote anaweza kuzireport huko cnn,siyo lazima uwe mwandishi ama reporter wao.Huwa wanazichukuwa na kuzirusha live,hata zile za vita vya syria na kwingineko huwa wanazotoa hapo kwenye cnnireport.
Damn you must be a hater!

Mkuu, soma uelewe kwamnza bila kushambulia.Unachojibu na ninachosema ni tofauti kabisa. Kwani nimesema mtu yoyoyte hawezi kureport? Nimesema lazima ume mwandishi? Nimesema hawazirushi? HAPANA.
Nilichokisema ni kwamba haijaandikwa na CNN ;
Untitled picture.png umeona kwenye picha pale juu kushoto walivyoandika? "Not Vetted by CNN"

Kuongezea, pale chini wamesema kuwa it has not been verified yet.

Relax kaka, hakuna hater hapa, na habari ipo tu hata mtu akiipinga.
 
Sasa nilipokuuliza kama unafahamu what's ireport,basi ungesema no na si kuja na maneno ya kejeli.Hapa huwa hakiharibiki kitu.Unless hatumo,we'll keep it that way.Here is serious matters,unatakiwa uwe mvumilivu,na utulize akili kusoma mabandiko ya wengine.Kwasbabu hapa tunaenda hivyo hivyo unavyotaka,ukitaka ustaarab utaupata,pretty much anything you want.Nashukuru umeelewa.
wewe ndo hujui kuelewesha mtu...ungekuwa mwalimu darasa lako mtihani wa hata moja jumlisha moja wote wangepata f...huna kipaji hicho yaishe bye..
 
Mkuu, soma uelewe kwamnza bila kushambulia.Unachojibu na ninachosema ni tofauti kabisa. Kwani nimesema mtu yoyoyte hawezi kureport? Nimesema lazima ume mwandishi? Nimesema hawazirushi? HAPANA.
Nilichokisema ni kwamba haijaandikwa na CNN ;
View attachment 63676umeona kwenye picha pale juu kushoto walivyoandika? "Not Vetted by CNN"

Kuongezea, pale chini wamesema kuwa it has not been verified yet.

Relax kaka, hakuna hater hapa, na habari ipo tu hata mtu akiipinga.
achana nae mkuu haelewi huyo ...
 
Jamani hii ni post ya MKJJ iReport ya CNN,
Hata wewe unaweza kupost chochote kama unahakika kinaukweli au uzushi
Haina tofauti kubwa sana na tunavyopost hapa JF na katika masharti yao ni kwamba maoni yatolewayo si msimamo wala maoni ya CNN bali ya aliye ripoti
Si sahihi sana kusema CNN wamereport isipokuwa kuna mtu amepost kupitia CNN ireport

Hata hivyo ni juhudi kubwa sana iliofanywa na Mwanakijiji kuhakikisha dunia inapata habari ya yanayojiri nchini
Na nadhani mleta mada angejenga credibility kubwa kama angesema Mkjj aijulisha dunia mauaji ya kinyama kupitia CNN ingekaa vizuri kuliko kukimbilia CNN wameripoti
Big up Mkjj
 
wewe ndo hujui kuelewesha mtu...ungekuwa mwalimu darasa lako mtihani wa hata moja jumlisha moja wote wangepata f...huna kipaji hicho yaishe bye..
Changanya masaburi we kichwa nazi kabisa.Kukuelewesha wewe. Haiwezekani.Huna nia hiyo ya kueleweshwa.
 
sijakataa dear sema nilidhani ni wenyewe wamekuja humu kureport live kama kawaida yao kumbe mwanakijiji kapeleka report ni sawa lakini dunia nzima ijue..hujambo lakini?

sijambo dear vipi salama lakini?
 
Jamani hii ni post ya MKJJ iReport ya CNN,
Hata wewe unaweza kupost chochote kama unahakika kinaukweli au uzushi
Haina tofauti kubwa sana na tunavyopost hapa JF na katika masharti yao ni kwamba maoni yatolewayo si msimamo wala maoni ya CNN bali ya aliye ripoti
Si sahihi sana kusema CNN wamereport isipokuwa kuna mtu amepost kupitia CNN ireport

Hata hivyo ni juhudi kubwa sana iliofanywa na Mwanakijiji kuhakikisha dunia inapata habari ya yanayojiri nchini
Na nadhani mleta mada angejenga credibility kubwa kama angesema Mkjj aijulisha dunia mauaji ya kinyama kupitia CNN ingekaa vizuri kuliko kukimbilia CNN wameripoti
Big up Mkjj
tell them kaka!
 
Mkuu, soma uelewe kwamnza bila kushambulia.Unachojibu na ninachosema ni tofauti kabisa. Kwani nimesema mtu yoyoyte hawezi kureport? Nimesema lazima ume mwandishi? Nimesema hawazirushi? HAPANA.
Nilichokisema ni kwamba haijaandikwa na CNN ;
View attachment 63676umeona kwenye picha pale juu kushoto walivyoandika? "Not Vetted by CNN"

Kuongezea, pale chini wamesema kuwa it has not been verified yet.

Relax kaka, hakuna hater hapa, na habari ipo tu hata mtu akiipinga.
ireport,hauoni hiyo "I"?Nani amesema ireport ni report ya cnn?ni report za watu zilizopo kwenye mtandao wa cnn,na ni kweli huwa wanazipitia,na web address ni ya cnn,wanaotembelea cnn wanaziona,sasa unatwist mambo kwasababu gani?
Kwani hukuona kwenye bandiko niliposema hizo ni jitihada za Mwanakijiji?nilisema ni jitihada za cnn?Tumia akili mkuu!
 
Back
Top Bottom