Duh kumbe rabies inasabisha hadi hydrophobia (hofu ya maji)

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017

View: https://youtu.be/XMvIQexojWo?si=KqoV8KWbaeZDTvA5

Rabies ni virus inayosababishwa mara nyingi na kung'atwa na mbwa, popo, mbwa mwitu, etc

Ndio maana wanashauri mbwa kupewa chanjo mara kwa mara kuziua madhara ya kuwa infected na virus tofauti.

Moja ya madhara ya rabies ni mgonjwa kuwa na hofu ya kunywa maji. Hii ni kwa sababu Rabies huathiri sehemu za ubongo ambazo hudhibiti kuzungumza, kumeza, na kupumua.

Inabadilisha mchakato wa uzalishaji wa mate na husababisha spasms za misuli chungu ambazo zinakatisha tamaa kumeza. Virusi hii hustawi katika mate. Kumeza hupunguza kuenea.

Kwa hiyo, mara moja hufanya kazi ya kumfanya mwathirika wake kuzalisha mate zaidi na kueneza mate hayo kwenye mazingira yake badala ya kumeza.

Rabies inatabika ila ikishakuwa chronic ni changamoto sana.

Ndio maana ukishang'twa na mbwa au popo kimbilia hospitali.

TAKE CARE.
 
Usidanganye watu, rabies haitibiki, uking'atwa na mbwa mwenye kichaa kwanza tafuta maji mengi na uoshe jerahaa then ndo uende hospitali.
 
Back
Top Bottom