Du CCM Noma

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Jan 31, 2009
7,335
3,902
Hata kabla viongozi wakuu wa CHADEMA hawajaondoka mikoa ya kusini, mwenyekiti wa UWT Sophia Simba anafanya mkutano mkubwa na kina mama (soma wapiga kura) mjini LINDI. Kwa maoni yangu CHADEMA waimarishe kitengo hiki, wasiwategemee kina Mbowe na Lema wazee wa kufoka foka!
 
Huyu mama atavuruga uokovu wa chadema kusini as huku wapiga kura wengi ni wanawake!
 
ukeli haufichiki hata kidogo na kama hawataelewa basi ila mm naamini ukombozi upo palele
 
Weka mapicha ya Sophia Simba ili tujue kweli Nyinyiem ni noma. M4C ni lazima kwa mikoa ya kusini, ukweli ndo huo.
 
Kwani nani kakwambia Tanzania haishi mwanamke? Nina maana hao wanawake watakuwa ni wakuwasujudia viongozi wanawake hata kama hali ni mbaya?

Asiye jua TZ hali mbaya huyo haishi TZ.
 
mbona jamaa kaongea point kubwa tu sasa nyie mapimbi msichoelewa nini?
 
sophia simba bosi wa wanawake wa ccm yupo kusini kubanana na chadema, sasa hivi anaongea na wapiga kura halisi wa kusini

hivi katika maisha yako unatishika ukisikia huyu kuongea na hao wa mama,mbona makazi yake yako ubungo na kazi anafanyia kawe yaliyotokea huko kwani ana hamu hata ya kuyasimulia.Mabadiliko ni kama njaa huwezi izuia kwa chochote mpaka uupe mwili unachohitaji..........pole sana utaamka sisi tutakapokuwa tunaenda kulala
 
Back
Top Bottom