Dstv

GENDAEKA

Member
Feb 27, 2012
98
12
1:Kwa anaefahamu malipo ya dstv kwa mwezi(viwango mbalimbali).
2:Je,
kuna uwezekano wa kuchagua chnl mf mpira,zinazoonesha wwe kama unalipia chnl 25?naomba kujuzwa!!
 
DSTV Access ni USD 10/month, Family ni USD20/month, Compact sina hakika but between 35 to 45 USD/month na Premium ni USD75
 
1:Kwa anaefahamu malipo ya dstv kwa mwezi(viwango mbalimbali).
2:Je,
kuna uwezekano wa kuchagua chnl mf mpira,zinazoonesha wwe kama unalipia chnl 25?naomba kujuzwa!!
Bofya hapa Channel - DStv.com Hakikisha kibox cha choose your country kiwe Tanzania na kibox kinachofuatia kimeandikwa choose your product chagua package moja baada ya nyingine kati ya hizi hapa chini alizo post Limbani, chini yake utaona list ya channel zote zilizopo kwenye hiyo package uliyo chagua na maelezo ya channel hizo
DSTV Access ni USD 10/month, Family ni USD20/month, Compact sina hakika but between 35 to 45 USD/month na Premium ni USD75
Kifupi ni package ya Premium tu ndio utaangalia mipira live zilizo baki utaambulia highlights tu na ligi za Africa
 
Back
Top Bottom