Dr.W.Slaa asipopitishwa na (CHADEMA) KURA YANGU WAMEIKOSA

hao kama wamesema hivo hawana maana, mwanachama na mpenzi wa chadema na mageuzi nchini anatakiwa akubali maamuzi ya kidemokrasia ya chama! kama kwenye kura za kupata mpeperusha bendera ya chadema akapatikana mtu mwingine ambaye sio Slaa hawaheshimu maamuzi hayo??mwisho wa siku inatakiwa chama kwanza mtu baadae!!

Mkuu sio kwamba hatuna maana ndiyo demokrasia inatakiwa lakini mda mwingine sio kukubali kila kitu kwa hiyo unataka cdm hata wakimpitisha mtu ambaye haturidhiki naye tukubali tu kisa demokrasia?hapana yani cdm wafanye vyovyote vile ila Dr.slaa ndiye anayefaa zaidi ya hapo wajue tutafanyia kampeni chama kingine Taifa kwanza chama badae mkuu.
 
Dr. Slaa kichwa halafu anauzika na waTZ wanamkubali sana.Ana nia ya dhati ya kutuongoza.
 
Bila dr.slaa nchi imefika pabaya sana hao wote wawili zzk na mbowe ni mawakala, mbowe anapata msimamo kutokana na baba mkwe wake tu nje ya hapo he is not reliable anamuogopa baba mkwe tu.The only potential candidate kwa sasa ni DR.SLAA tu hata ccm ni mashahidi wa hilo ndiyo maana they hate DR.SLAA expensively, they are ready to do any gauge of cash splash only to ensure dr.slaa gets out of the line.
Lakini tunaamini 2015 ni DR.SLAA FOR PRESIDAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Umetumwa wewe na watu wa Kaskazini safari hii mgombea wa Chadema lazima atoke sehemu ingine Kigoma au Shinyanga.[ wewe ritz unafanya nini kwenye hii post wakati wenzako wanacheza bao vibarazani na vikombe vya kahawa.
 
Siipigii CCM kura yangu hata kama EL anijaze yale mapesa yake ya kifisadi....naapa sipigi kura kwa CCM.
Watoto wangu wenyewe shule waliyokuwa wakisoma walikataa kwenda. Mama yao akawauliza kulikoni? hawakumjibu. Akafanya utafiti wa kina na kutaka kujua huko shuleni vipi. Ila jibu walilompa ni kwamba ile shule yao uniforms ni za kijani hivyo hawaitaki. Wakajichagulia shule wanayoitaka. Mama yao aliponipigia simu kwa ushauri nikamwambi atekeleze matakwa ya watoto haraka kwani tayari ulikuwa ni mgomo na maandamano ya hapo nyumbani....Nashukuru Mungu amani imerudi nyumbani kwangu.
 
kiukweli, mimi dr slaa ndo kanivuta chadema kwa misimamo yake, kauli zake na profile yake, na jinsi alivyokubalika.
 
Na huo ndo ukweli usionachembe ya hila Dr Slaa 4 President ni 10000000000000000000000000000000000000000%
 
Mkuu sio kwamba hatuna maana ndiyo demokrasia inatakiwa lakini mda mwingine sio kukubali kila kitu kwa hiyo unataka cdm hata wakimpitisha mtu ambaye haturidhiki naye tukubali tu kisa demokrasia?hapana yani cdm wafanye vyovyote vile ila Dr.slaa ndiye anayefaa zaidi ya hapo wajue tutafanyia kampeni chama kingine Taifa kwanza chama badae mkuu.
mm sio kwamba napinga kwamba slaa hafai! namuunga mkono na namkubali nikizingatia changamoto aliyotoa 2010 na naamini huenda alishinda, ila nachokuambia kama wengi bila mizengwe na kidemokrasia wakamsimika mgombea mwingine badala ya slaa lazima tumuunge mkono kwa kura na kampeni maana slaa, mbowe, zitto et al. watapita ila CHADEMA itadumu na kubaki kwa zama zote!kama nakuelewa vizuri wewe unampenda slaa specifically sio chadema ndio maana upo tayari kupigia kura chama kingine kama slaa hatapitishwa!
 
Umetumwa wewe na watu wa Kaskazini safari hii mgombea wa Chadema lazima atoke sehemu ingine Kigoma au Shinyanga.

unaonaje kama tukakusimamisha wewe, ukiweka avatar yako ya zombi kura zitakuwa nyingi!
 
tunamhitaji sana dr slaa.mie kila siku ninamwombea ati!huyo ndiye atarekebisha mambo mengi ambayo hayapo ktk mstari.busaa lazima itumike.dr slaa ana akiba ya kura nyingi sana,ivo kusimamisha mtu mwingine ni kupoteza akiba ya kura.
 
hao kama wamesema hivo hawana maana, mwanachama na mpenzi wa chadema na mageuzi nchini anatakiwa akubali maamuzi ya kidemokrasia ya chama! kama kwenye kura za kupata mpeperusha bendera ya chadema akapatikana mtu mwingine ambaye sio Slaa hawaheshimu maamuzi hayo??mwisho wa siku inatakiwa chama kwanza mtu baadae!!

mkuu osokoni. mimi ni muumini sana wa taratibu na sheria aah sorry sheria na taratibu. mimi nasema wanaoutaka urais cdm waachwe watangaze sbb katiba ya cdm haijasema ni muda gani watu watangaze ambitions zao za kuutaka urais. waachwe.

watangaze and then sbb watz watakuwa wameshajua wanautaka urais basi waendelee na mambo mengine ya kukisambaza chama vijijini. ifikapo muda wa vikao vya chama kuamua basi wanakamati kuu wataamua.

jamani cdm ndo kimbilio la watz kwa sasa tusiwaangushe watz simply sbb ya matangazo ya kuutaka urais.
 
slaa akiingia madarakani cha kwanza ni kuwatia ndani wabadhilifu wote,(akiwemo jk) then ndo mambo mengine yaendelee
 
Alichaguliwa toka 2010,huyo ndiye Musa na atatufikisha kwenye nchi ya ahadi,tuzidi kumwomba MUNGU atupe uzima tukutane wote tukiwa hai 2015.
 
Back
Top Bottom