Dr.W.Slaa asipopitishwa na (CHADEMA) KURA YANGU WAMEIKOSA

yeyote atakaepitishwa na chadema kwa ridhaa yao atafaa kwa vile atatekeleza sera na ilani za chama
kwa maufaa ya wananchi,dr slaa ni nguzo lakini nguzo hiyo inahimili uzito wowote.
 
Kwa upande wangu, CDM hata wakiweka jiwe nitalipigia kura, waweke MBUZI nitapiga , waweke ndoo ya maji itaipigia, waweke gari la maji taka nalo nitalipigia maana najua litanikomboa kuliko Edward Lowassa na wengine wa CCM.
 
Hapa wana CDM mnagawanywa hamjijui. Subiri wakati ukifika haya yote yatajulikana tu.
 
mimi ni among wale undecided voters sijajua nitampigia kura nani..nataka nisubiri wagombea wa ccm na cdm watakua ni nani then ntajua hapo...chadema ngoma iko kwao..wao ndio wana uwezo wa kuitoa madarakani ccm au kuibakiza pale hasa itategemea na nani watamweka kama mgombea wao...wakimweka mtu magumashi tu ccm inashinda tena kwa kishindo na cdm hapo itakua kama nccr mageuzi na cuf..they will never recover...
 
Kukosekana demeokrasia ya kweli na kupenda kuhodhi madaraka kumeuwa NCCR mageuzi ya Lyatonga, CUF ya Seif na CDM ya Padre is next.
 
Huwa napata shida sana pale tunapodhani taasisi haiwezi kuishi bila mtu mmoja.Ingawa naamini Daktari ni kiongozi mahiri, ni lazima CDM iwe mahiri hata bila Daktari vinginevyo mnataka kutupigia nyimbo (zidumu fikra) ile ile isipokuwa mdundo ndo tofauti!
Kwa upepo wa sasa daktari is the best kama upepo wa j.k 2005
 
Wakati ukifika kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu CDM itapata wapeperusha bendera wake walochaguliwa kidemokrasia
 
tusianze malumbano bila sababu za msingi kwani asiejua kua zito ni mmoja kati ya wale walioiinua zaidi cdm? hapa kwanza ni watu wajue kua hatumchagui mtu kwa uongeaji wake bali kwa uwezo wake kwani wakati mwingine watz wanao uwezo mkubwa wa kuongea kuliko kutenda taifa limekosa maadili hebu tuzilazimishe akili zetu kujua ukweli huu kwanza then tuwaweke kwenye mizani, hesima ya zito mnaigeuza matusi kua ni fisadi wakati mnaujua ukweli hebu tuache kumsemea mtu, siasa si uadui nani kasema kua na pesa ni lazima uwe fisadi? kumbukeni wadau tukicheza tutakuja kulia siku moja. yatatugeuka sio kweli kua ccm wote ni mafisadi lakini ugomvi wao huo umeiweka cdm juu na kuipunguzia nguvu ccm so tusije kufika sehemu na cdm nayo ionekane ya mafisadi coz wale wachaga wawili(mbowe na ndesa wana pesa balaa je? tunauhakika kua ni wazalendo wa kweli na taifa letu? je? ni walipakodi au wakwepa kodi?
 
Tusubiri tuone ila tukumbuke nchi kubwa hii wakati mwingine tunajipiga wenyewe, kumbukeni hakuna aijuae kesho hata mtunzi wa kalenda na kila aitazamae kesho yampasa................
 
Hata mimi kama Dr Slaa asipopitishwa basi sipigi kura, kwa sababu simuamini yoyote katika uongozi wa juu zaidi ya Dr. Slaa
 
Acha zako wewe ina maana Mbowe akipita mtahamia CCM?Na slaa akihamia CCM Mtamfuata kweli bangi mbaya

mbowe aligombea 2005, na alipata kura 600,000/ dr. Slaa kagombea 2010 akapata kura zaidi ya 2,000,000/ (na inasemekana ccm walichakachua). Na ndie mgombea urais pekee wa upinzani kupata kura nyingi! Ukiangalia hz takwimu utakubali kua dakta Slaa anakubalika zaidi! Nikiwa kama mtz nnaependa mageuzi, na nnaependa kuona ccm inaanguka 2015, cdm haina budi kumpitisha dr. Slaa awe mgombea
 
Tuangalie watanzania jamani dr slaa jembe bwana acheni utani kuna uzi niliusoma humu,achana na kumfuatilia mimi mwenyewe binafsi kunakitu nimegundua huyu mzee ana vitu vya msingi sana na tusihiachie hii rasilimali mtu ihende bila kuitumia bila kufaidika jamani,tusipende vitu vibovu jamani tuwe tunadesturi ya kumfuatilia m2 kabla auja mhukumu,kunakipindi hadi raisi alitolea mfano wa maendeleo ya karatu jimbo la dr slaa uyujamaa anavitu jamani.tumejifunza nadhani kwa dhaifu tulimpamba sana kumbe bom sasa ivi ndio linatulipukia mkononi.
 
Acha zako wewe ina maana Mbowe akipita mtahamia CCM?Na slaa akihamia CCM Mtamfuata kweli bangi mbaya

Wengine hatuna vyama, huwa tunafuata uadilifu wa mtu, hata Dr.Slaa akiwa mgombea binafsi au akihamia chama chochote bado nitampa kura yangu
 
Kama kweli misimamo ya wanachama ndo kama hiyo basi ccm bado wana muda mrefu wa kututawala, kwa sababu slaa ni binadamu tu anaweza kuugua, kuhama chama, kustaafu siasa, kufanya makosa ya kisiasa yanayoweza kumpunguzia hadhi yake ya kuaminika na nk, ina maana huo ndo mwisho wa cdm!? Ndo mwisho wa harakati zote! Nadhani chama kina kazi kubwa ya kufanya maana ni dhahiri wanachadema ni wachache kuliko nilivyodhani, inasikitisha..
 
Back
Top Bottom