Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
Leo saa tatu asubuhi kupitia redio CLOUDS amesikika Dr. Deo akielezea tukio la kutekwa kwa rafiki yake, Dr. ULIMBOKA.
Kwa mujibu wa maelezo ya DR. Deo ni dhahiri kabisa kwamba takribani muda wote hadi Ulimboka anatekwa walikuwa pamoja.
Aidha maelezo yake kupitia kituo hicho cha redio yamekuwa ya kujikanganya, jambo ambalo linazua maswali mengi na kufananisha tukio hilo na lile la kifo cha Msanii wa maigizo, Steven Kanumba lilivyohusishwa na aliyekuwa rafiki yake wa karibu maarufu kama RAY.
Maoni yangu: Pamoja na Dr. Deo kusema kuwa amekwishatoa maelezo yake Polisi, lakini bado hawezi kukwepa kuwa mtuhumiwa namba moja katika tukio hilo.