Dr. Ulimboka na dr. Deo=kanumba na ray?

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Leo saa tatu asubuhi kupitia redio CLOUDS amesikika Dr. Deo akielezea tukio la kutekwa kwa rafiki yake, Dr. ULIMBOKA.

Kwa mujibu wa maelezo ya DR. Deo ni dhahiri kabisa kwamba takribani muda wote hadi Ulimboka anatekwa walikuwa pamoja.

Aidha maelezo yake kupitia kituo hicho cha redio yamekuwa ya kujikanganya, jambo ambalo linazua maswali mengi na kufananisha tukio hilo na lile la kifo cha Msanii wa maigizo, Steven Kanumba lilivyohusishwa na aliyekuwa rafiki yake wa karibu maarufu kama RAY.

Maoni yangu: Pamoja na Dr. Deo kusema kuwa amekwishatoa maelezo yake Polisi, lakini bado hawezi kukwepa kuwa mtuhumiwa namba moja katika tukio hilo.
 
nilifanikiwa kurekodi mazungumzo yake yote.na ninayo hapa.kwa maelezo ya dr deo inaonyesha wazi kabisa polis walihusika na utekaji nyara huo na imeonekana wazi kabisa yule abeid aliyemuita ulimboka anajua kila kitu maana juuya mpango huo mzima ... kwa kuwa upeo wako wa kufikirini mdogo hukuweza kuelewa maelezo yake. halafu unapohusisha kifo cha kanumba na utekaji huu inaonyesha jinsi ulivyo na upeo mdogo wa kufikiri.
 
Unaweza kupost hapa hiyo rekod? Will b gratefull
 
Tumerekodi na tunaweka kwa ushahidi itakapohitajika Polisi na Usalama wa Taifa ni first suspect Abeid aka David na Ahmed Msangi obviuos assassin
 
Nilijua haikuwa nia ya Gerard Hando kuanika ukweli ila alitaka Dr Deo ajichanganye ili waisafishe serikali na jeshi la Polisi. Mtangazaji anayetafuta ukweli angemuongoza Dr. Deo kufichua kwa uwazi zaidi identity ya Abeid. Hilo halikufanyika isipokuwa kutolewa kwa maelezo kuwa Abeid alikuwa anatumwa mara kwa mara kuongea na Ulimboka juu ya nini kifanyike ili mgomo uishe. Hando angekuwa anataka kujua ukweli kwa nini hakumuuliza Dr Deo huyo Abeid alikuwa anaongelea mgomo kama nani? Alikuwa anatumwa na nani? Maswali haya ya msangi yaliachwa kuulizwa kwenye hii interview ili kuficha identity ya Abeid, ambaye, kwangu mimi, prime suspect. Please Dr Deo tusaidie kumjua zaidi Abeid, hata kama watu fulani hawataki.
 
Leo saa tatu asubuhi kupitia redio CLOUDS amesikika Dr. Deo akielezea tukio la kutekwa kwa rafiki yake, Dr. ULIMBOKA.

Kwa mujibu wa maelezo ya DR. Deo ni dhahiri kabisa kwamba takribani muda wote hadi Ulimboka anatekwa walikuwa pamoja.

Aidha maelezo yake kupitia kituo hicho cha redio yamekuwa ya kujikanganya, jambo ambalo linazua maswali mengi na kufananisha tukio hilo na lile la kifo cha Msanii wa maigizo, Steven Kanumba lilivyohusishwa na aliyekuwa rafiki yake wa karibu maarufu kama RAY.

Maoni yangu: Pamoja na Dr. Deo kusema kuwa amekwishatoa maelezo yake Polisi, lakini bado hawezi kukwepa kuwa mtuhumiwa namba moja katika tukio hilo.

Ndugu kama huna mtindio wa ubongo basi una USHUKI ( Ukosefu wa Shule Kichwani) kwani mahojiano yalikuwa marahisi san kueleweka. Labda umetumwa au unapima upepo ili kukwepesha ukweli na mwelekeo. Kama ni kweli umeelewa hivi unahitaji msaada kubwa. KIAZI
 
nilifanikiwa kurekodi mazungumzo yake yote.na ninayo hapa.kwa maelezo ya dr deo inaonyesha wazi kabisa polis walihusika na utekaji nyara huo na imeonekana wazi kabisa yule abeid aliyemuita ulimboka anajua kila kitu maana juuya mpango huo mzima ... kwa kuwa upeo wako wa kufikirini mdogo hukuweza kuelewa maelezo yake. halafu unapohusisha kifo cha kanumba na utekaji huu inaonyesha jinsi ulivyo na upeo mdogo wa kufikiri.

Hii ndiyo ilitakiwa iwe post ya kwanza. big up Edson
 
Last edited by a moderator:
nilifanikiwa kurekodi mazungumzo yake yote.na ninayo hapa.kwa maelezo ya dr deo inaonyesha wazi kabisa polis walihusika na utekaji nyara huo na imeonekana wazi kabisa yule abeid aliyemuita ulimboka anajua kila kitu maana juuya mpango huo mzima ... kwa kuwa upeo wako wa kufikirini mdogo hukuweza kuelewa maelezo yake. halafu unapohusisha kifo cha kanumba na utekaji huu inaonyesha jinsi ulivyo na upeo mdogo wa kufikiri.

Sawa kabisa, huyu mwanakwetu ana akili ndogo na anajaribu kutawala akili kubwa.
 
Mkuu Edson,

Heshima sana! Kwa vile umerekodi mazungumzo hayo naomba uweke hapa jamvini ili nasi tuliopitwa tusikie.
 
ingekuwa vema kwa dr deo,asizungumzie hii issue in public kumpa nafasi muhusika.....still hainiingii akilini jinsi alivyoachwa na mwenzake kuchukuliwa???na hatua alizochukua baada ya hapo...ukiangalia maelezo aliyotoa yanavyoreportiwa kuna tofauti......
 
Leo saa tatu asubuhi kupitia redio CLOUDS amesikika Dr. Deo akielezea tukio la kutekwa kwa rafiki yake, Dr. ULIMBOKA.

Kwa mujibu wa maelezo ya DR. Deo ni dhahiri kabisa kwamba takribani muda wote hadi Ulimboka anatekwa walikuwa pamoja.

Aidha maelezo yake kupitia kituo hicho cha redio yamekuwa ya kujikanganya, jambo ambalo linazua maswali mengi na kufananisha tukio hilo na lile la kifo cha Msanii wa maigizo, Steven Kanumba lilivyohusishwa na aliyekuwa rafiki yake wa karibu maarufu kama RAY.

Maoni yangu: Pamoja na Dr. Deo kusema kuwa amekwishatoa maelezo yake Polisi, lakini bado hawezi kukwepa kuwa mtuhumiwa namba moja katika tukio hilo.

hahaaaaaaa
kalii.jpg
 
Professional killers wakija kuua specific target then bahati mbaya wewe ukawa uko na target na mbaya zaidi ukawatambua au kuna uwezekano utacomprise identity zao THEY KILL U AS WELL....
 
Kwa upande wangu naona Dr Deo na Abeid wote ni wamoja..i wish ningesikiliza hayo maongezi ningeweza kukoment vizuri. Coz haingii akilini uko na rafiki yako anaitwa mahali kwa ajili ya maongezi then anadisapia bila kutoa taarifa then unakaa kimya. Nataka nijue Dr Deo alichukua hatua gani baada ya kuona mwenzake ametoweka bila taarifa...
 
ndenga, sijui umefuatilia hii issue kwa kiasi gani. Kama umefuatilia utakumbuka kuwa mara baada ya kukamatwa Dr Ulimboka, Dr Deo na watu wengine waliokuwa nao waliambiwa nyie hamtakiwi, tunamhitaji huu (Dr Ulimboka), na wakaambiwa kuwa wamahitaji kwa mahojiano zaidi polisi!.

Dr Deo walienda polisi lakini hakukuwa na dalili yoyote na walichofanya walitoa maelezo (official statement) then ndio wakaanza kutoa habari kwa wengine kuwa inawezekana Dr Ulimboka ametekwa. Ni wazi kama sio Dr Deo wanaharakati wasingejua kuhusu utekaji nyara huu.
 
jamani huyu jamaa ana familiya yake inayomtegemea huko polisi atakua ameshaambiwa akiongea ongea tu ajue analo, so na yeye inabidi afikirie uhai wake na familia yake
 
Back
Top Bottom