Baba Wilbur
Member
- Jun 6, 2011
- 7
- 4
Siyo Sayansi kimu hii kijana.....na wala sio Bunge hadi kina Komba wamo ndani....Pia sio ramli. This is Medicine.!
Kama ma daktari waliopo hawakubaliani na terms za serikali hapajaharibika neno.
Nashauri wajiuzulu na serikali iajiri madaktari wapya ambao wako tayari kuendelea na kazi.
Haiwezekani taifa la watu milioni 45 kuwa held hostage na kundi la watu ambao hawataki ku reason mbele ya meza ya majadiliano.
Its about time serikali ikawa decisive na maamuzi. Wapo watu ambao wako stand by kuchukua hizo kazi za hawa jamaa zake akina Dr Ulimboka
I think this is from Somaliland, if I am not wrong...Naomba kuuliza kwani kwa nini JENGO KUBWA YA BUNGE ???? THIS IS ABUSE OF TANZANIANS RESOURCES. Hiyo Bunge kuna watu wangapi mpaka ijengwe kubwa kiasi hisho ??? Tunaona Wabunge awajii kwenye Bunge haasa mchana kwani wanaenda wapi ??? Na kama wanalipua POSHO hiyo POSHO ya nini wakati awakae Bungeni kutetea WATANZANIA ??? Tunaomba kujua kwa nini wamechenga Bunge Kubwa kiasi hicho ?? na imegaramia Shilingi ngapi wakati inakaa wazi na mtupu mpaka tena Bunge... Watanzania wanakufa na njaa kazi yao CCM nikupiga meza tuu. Tumechoka jamani ni aibu... Angalia Kenya Bunge yao ni kidogo kwani hawa VIOGOZI WETU WA CCM wana matatizo gani ? 10% inatuowa jamani.
Kama ma daktari waliopo hawakubaliani na terms za serikali hapajaharibika neno.
Nashauri wajiuzulu na serikali iajiri madaktari wapya ambao wako tayari kuendelea na kazi.
Haiwezekani taifa la watu milioni 45 kuwa held hostage na kundi la watu ambao hawataki ku reason mbele ya meza ya majadiliano.
Its about time serikali ikawa decisive na maamuzi. Wapo watu ambao wako stand by kuchukua hizo kazi za hawa jamaa zake akina Dr Ulimboka
Kama ma daktari waliopo hawakubaliani na terms za serikali hapajaharibika neno.
Nashauri wajiuzulu na serikali iajiri madaktari wapya ambao wako tayari kuendelea na kazi.
Haiwezekani taifa la watu milioni 45 kuwa held hostage na kundi la watu ambao hawataki ku reason mbele ya meza ya majadiliano.
Its about time serikali ikawa decisive na maamuzi. Wapo watu ambao wako stand by kuchukua hizo kazi za hawa jamaa zake akina Dr Ulimboka
Kama hawaamini kuwa kuna watu wako standby wanasubiri kuchukua hizo nafasi zao,wajiuzulu halafu waone.wapo wanatafuta kazi mitaani
Labda wewe na njaa zako.....madaktari hawana dhiki za hivyo tena usipotoshe watu hapa!
mgomo wa madaktari ni kama mtu anasema mimi naua mtu kama sipati changu kisha anajibiwa ua tuone; halafu anaua kweli na hatua zinafuata. TAFAKARIKama ma daktari waliopo hawakubaliani na terms za serikali hapajaharibika neno.
Nashauri wajiuzulu na serikali iajiri madaktari wapya ambao wako tayari kuendelea na kazi.
Haiwezekani taifa la watu milioni 45 kuwa held hostage na kundi la watu ambao hawataki ku reason mbele ya meza ya majadiliano.
Its about time serikali ikawa decisive na maamuzi. Wapo watu ambao wako stand by kuchukua hizo kazi za hawa jamaa zake akina Dr Ulimboka
Kama hawaamini kuwa kuna watu wako standby wanasubiri kuchukua hizo nafasi zao,wajiuzulu halafu waone.
Your very mentally paralized kama hujui watu wapo wengi.WE CAN BATE ON THIS.Jiuzulu kesho uone mziki sio unalalamika halafu umeng'ang'ania serikaliniyour mad! Nitafutie madaktari 10 walio mitaani na uwaanzishie uzi kuwa wako tayari kuchukua na fasi hizo.
Labda utatibiwa na mr dhaifu ndiye dr aliye mtaani.
But i don think if you know what ur provoking!
You are very very out of touch with your environment and for that you deserve hell when it reaches you.Kama ma daktari waliopo hawakubaliani na terms za serikali hapajaharibika neno.
Nashauri wajiuzulu na serikali iajiri madaktari wapya ambao wako tayari kuendelea na kazi.
Haiwezekani taifa la watu milioni 45 kuwa held hostage na kundi la watu ambao hawataki ku reason mbele ya meza ya majadiliano.
Its about time serikali ikawa decisive na maamuzi. Wapo watu ambao wako stand by kuchukua hizo kazi za hawa jamaa zake akina Dr Ulimboka
nakubaliana nawe kama mtu hana hoja zenye mantiki humu JF waende vijiweni wakachonge huko.