cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,797
nimeolewa kwao, muache aseme! Wanaona jinsi serikali yetu ni dhaifu, acha waseme!i can conclude wewe sio mtanzania...
nimeolewa kwao, muache aseme! Wanaona jinsi serikali yetu ni dhaifu, acha waseme!i can conclude wewe sio mtanzania...
Naomba kuuliza kwani kwa nini JENGO KUBWA YA BUNGE ???? THIS IS ABUSE OF TANZANIANS RESOURCES. Hiyo Bunge kuna watu wangapi mpaka ijengwe kubwa kiasi hisho ??? Tunaona Wabunge awajii kwenye Bunge haasa mchana kwani wanaenda wapi ??? Na kama wanalipua POSHO hiyo POSHO ya nini wakati awakae Bungeni kutetea WATANZANIA ??? Tunaomba kujua kwa nini wamechenga Bunge Kubwa kiasi hicho ?? na imegaramia Shilingi ngapi wakati inakaa wazi na mtupu mpaka tena Bunge... Watanzania wanakufa na njaa kazi yao CCM nikupiga meza tuu. Tumechoka jamani ni aibu... Angalia Kenya Bunge yao ni kidogo kwani hawa VIOGOZI WETU WA CCM wana matatizo gani ? 10% inatuowa jamani.
Don Draper hakuna daktari MD (wa degree) ambaye yupo mtaani bila kazi. Ila wapo 'madaktari wa 'UPE'' kama Clinical Officers (Diploma) kwa wingi na Assistant Medical Officers (Advanced Diploma) kwa uchache sana ambao ndio hawana kazi.wapo wanatafuta kazi mitaani
Mkuu hata hao kwenye red hakuna ambaye yupo mtaani(jobless)Don Draper hakuna daktari MD (wa degree) ambaye yupo mtaani bila kazi. Ila wapo 'madaktari wa 'UPE'' kama Clinical Officers (Diploma) kwa wingi na Assistant Medical Officers (Advanced Diploma) kwa uchache sana ambao ndio hawana kazi.
....asikutishe bwana,hawa madakitari wanaojifanya wajanja ni wajinga sana wanajifikilia wao tu,waulize kama wanaweza fanya kazi bila nesi au mtu wa usingizi au driver wa kuwapeleka kazini,waache ubinafsi,wapo wengine ni majina tu kila akiingia theatre anatoka na maetrnal death,wengine wana vyeti feki tunawajua akifika hospital anataka uongozi tu uwezi muona anatibu mtu, hapa kitakachofuata ni kuwataja majina...ndugu yangu usibabaike na hawa wanaokutisha ndo wale wale
Kama ma daktari waliopo hawakubaliani na terms za serikali hapajaharibika neno.
Nashauri wajiuzulu na serikali iajiri madaktari wapya ambao wako tayari kuendelea na kazi.
Haiwezekani taifa la watu milioni 45 kuwa held hostage na kundi la watu ambao hawataki ku reason mbele ya meza ya majadiliano.
Its about time serikali ikawa decisive na maamuzi. Wapo watu ambao wako stand by kuchukua hizo kazi za hawa jamaa zake akina Dr Ulimboka
wapo wanatafuta kazi mitaani
Haya ni maneno yako au ya Dr. Ulimboka ? Sijaelewa
Don Draper hakuna daktari MD (wa degree) ambaye yupo mtaani bila kazi. Ila wapo 'madaktari wa 'UPE'' kama Clinical Officers (Diploma) kwa wingi na Assistant Medical Officers (Advanced Diploma) kwa uchache sana ambao ndio hawana kazi.
wapo wanatafuta kazi mitaani
....asikutishe bwana,hawa madakitari wanaojifanya wajanja ni wajinga sana wanajifikilia wao tu,waulize kama wanaweza fanya kazi bila nesi au mtu wa usingizi au driver wa kuwapeleka kazini,waache ubinafsi,wapo wengine ni majina tu kila akiingia theatre anatoka na maetrnal death,wengine wana vyeti feki tunawajua akifika hospital anataka uongozi tu uwezi muona anatibu mtu, hapa kitakachofuata ni kuwataja majina...ndugu yangu usibabaike na hawa wanaokutisha ndo wale wale
Kumbe kwasababu hakuna mbadala wa watu eh!!!hao madaktari wapya wa kuajiliwa wako wapi?
Tena wengine wako wilaya za mbali huko ambako hakuna hata Dispensari ya kufanya kazi kwa muda wa ziada ambao walioko hapa mjini wana nafasi hiyo.wapo wanatafuta kazi mitaani
Hao wapya ndo watakuja na vifaa na madawa ambayo sio feki? Kwa nini tunajifanya hatuelewi madai ya madaktari? Mbona hali ya hospitali zetu iko wazi kwz kila mmoja kuona? Kupotosha huku kwa wazi kunatusaidia nini?wapo wanatafuta kazi mitaani
Huyu jamaa hata uwezo wa kuandika hana halafu analilia udaktari, eti yupo mtaani