Dr Ulimboka: Bora serikali iajiri ma daktari wapya.

2AUAAAAAElFTkSuQmCC
 
Nionyeshe wapi nimevunja sheria ja JAMII FORUMS zaidi ya kuwa na mawazo mbadala?

acha kutisha watu hapa

Mawazo mbadala my foot! Wewe sema umetumwa na mabwana zako tunaowafahamu. Sasa kawaambie hivi: Tanzania ya leo si ile ya zamani. Now get lost!
 
Kama ma daktari waliopo hawakubaliani na terms za serikali hapajaharibika neno.
Nashauri wajiuzulu na serikali iajiri madaktari wapya ambao wako tayari kuendelea na kazi.

Haiwezekani taifa la watu milioni 45 kuwa held hostage na kundi la watu ambao hawataki ku reason mbele ya meza ya majadiliano.

Its about time serikali ikawa decisive na maamuzi. Wapo watu ambao wako stand by kuchukua hizo kazi za hawa jamaa zake akina Dr Ulimboka

Umetumwa..?maana mara ulikuja na kuwa kuna nchi za Magharibi zinasababisha huu mgomo....watu wamekudhalau na upuuzi wako,umeamua kuja na kituko hiki..acha ujinga wewe...
 
Kama ma daktari waliopo hawakubaliani na terms za serikali hapajaharibika neno.
Nashauri wajiuzulu na serikali iajiri madaktari wapya ambao wako tayari kuendelea na kazi.

Haiwezekani taifa la watu milioni 45 kuwa held hostage na kundi la watu ambao hawataki ku reason mbele ya meza ya majadiliano.

Its about time serikali ikawa decisive na maamuzi. Wapo watu ambao wako stand by kuchukua hizo kazi za hawa jamaa zake akina Dr Ulimboka

Mkuu Don,
Dr Ulimboka kasemea wapi hayo maneno?
 
Saaafi sweetlady!Hata mimi sijamuelewa?Hawa ndio wanatumia jina la Ulimboka vibaya,Kuna mwingine nae kaweka namna hii heading yk!Sijui wanashida gani?
Codon mie nilifungua haraka haraka nikidhani labda Dr Ulimboka katoa tamko....kufika ndani nakutana na kiroja!
 
Last edited by a moderator:
Naomba kuuliza kwani kwa nini JENGO KUBWA YA BUNGE ???? THIS IS ABUSE OF TANZANIANS RESOURCES. Hiyo Bunge kuna watu wangapi mpaka ijengwe kubwa kiasi hisho ??? Tunaona Wabunge awajii kwenye Bunge haasa mchana kwani wanaenda wapi ??? Na kama wanalipua POSHO hiyo POSHO ya nini wakati awakae Bungeni kutetea WATANZANIA ??? Tunaomba kujua kwa nini wamechenga Bunge Kubwa kiasi hicho ?? na imegaramia Shilingi ngapi wakati inakaa wazi na mtupu mpaka tena Bunge... Watanzania wanakufa na njaa kazi yao CCM nikupiga meza tuu. Tumechoka jamani ni aibu... Angalia Kenya Bunge yao ni kidogo kwani hawa VIOGOZI WETU WA CCM wana matatizo gani ? 10% inatuowa jamani.

mh! Hicho kiswahili!!
 
Wewe ni ****** acha nipigwe ban.

Kama ma daktari waliopo hawakubaliani na terms za serikali hapajaharibika neno.
Nashauri wajiuzulu na serikali iajiri madaktari wapya ambao wako tayari kuendelea na kazi.

Haiwezekani taifa la watu milioni 45 kuwa held hostage na kundi la watu ambao hawataki ku reason mbele ya meza ya majadiliano.

Its about time serikali ikawa decisive na maamuzi. Wapo watu ambao wako stand by kuchukua hizo kazi za hawa jamaa zake akina Dr Ulimboka
 
angalia jumla ya ma DR waliopo nchini na jumla ya watu, na hao unaowasema wapo mtaani, kozi ya u DR c kama sociology. Na weka heading yenye kueleweka hayo maneno amesema saa ngp?
 
Kama ma daktari waliopo hawakubaliani na terms za serikali hapajaharibika neno.
Nashauri wajiuzulu na serikali iajiri madaktari wapya ambao wako tayari kuendelea na kazi.

Haiwezekani taifa la watu milioni 45 kuwa held hostage na kundi la watu ambao hawataki ku reason mbele ya meza ya majadiliano.

Its about time serikali ikawa decisive na maamuzi. Wapo watu ambao wako stand by kuchukua hizo kazi za hawa jamaa zake akina Dr Ulimboka

Tatizo la kufikiria kwa kutumia sehemu za kukaria badala ya kutumia kichwa.
 
naomba kuuliza kwani kwa nini jengo kubwa ya bunge ???? This is abuse of tanzanians resources. hiyo bunge kuna watu wangapi mpaka ijengwe kubwa kiasi hisho ??? Tunaona wabunge awajii kwenye bunge haasa mchana kwani wanaenda wapi ??? Na kama wanalipua posho hiyo posho ya nini wakati awakae bungeni kutetea watanzania ??? Tunaomba kujua kwa nini wamechenga bunge kubwa kiasi hicho ?? Na imegaramia shilingi ngapi wakati inakaa wazi na mtupu mpaka tena bunge... Watanzania wanakufa na njaa kazi yao ccm nikupiga meza tuu. Tumechoka jamani ni aibu... Angalia kenya bunge yao ni kidogo kwani hawa viogozi wetu wa ccm wana matatizo gani ? 10% inatuowa jamani.

i can conclude wewe sio mtanzania...
 
Hao watakaoajiriwa wapya! Watameet demands zao na kuboresha sekta ya afya kwa ujumla, au ndio yaleyale then afta a year na wao wagome! Maini ni maini kaka yangu, sio kwamba ukiyapandisha ndege kwenda uk yatabadilika na kuwa bandama! Labda yabadilike rangi tu!
 
Tatizo kubwa ni wananchi wakawaida hawajui upande wa pili wa shillingi.Je ni kweli Madaktari hawa wanadai pesa za mishahara na posho?Hivi tujiulize ni kwanini ile kamati ya kudumu ya Afya na ustawi wa jamii haijatupa ripoti yake kuna nini ndani yake?Mie nadhani watanzania tukijua kuna nini ndani ya hiyo ripoti then najua kwa ukweli kabisa wananchi wote watawasupport madaktari.
Kwa nini serikali haitaki ripoti hiyo ijadiliwe bungeni?Mwenye akili timamu ajiulize! Hivi Dr.Ulimboka akifa tatizo limekwisha?
Mimi ningeomba wabunge wote bila kijali itikadi zao iombe ripoti hii ijadiliwe tujue mbivu na mbichi?
Kama serikali itaweza kuajiri daktari kutoka nje maana yake inauwezo wa kulipa zaidi ya hata hiyo Mi.3.5 basi wawalipe watanzania na siyo kuajiri wageni na kuwalipa kodi zetu mie nitauita upumbavu.
 
Back
Top Bottom