Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,524
Waziri wa maendeleo ya mifugo na uvuvi Dkt Titus Kamani
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, ambaye pia ni Mbunge wa Busenga (CCM) Dr Titus Mlengeya Kamani, Yupo Star TV akiongea na wananchi Nia yake ya Kutaka kugombea Urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Mkutano huo anaufanyia katika ukumbi wa Gandhi Memorial Nyamagana Jijini Mwanza.
Msikilizeni.