Dr. Titus Mlengeya Kamani (Waziri), atangaza nia ya Kugombea Urais wa Tanzania

Ndikwega

R I P
Feb 1, 2012
5,979
5,524
kaman.jpg

Waziri wa maendeleo ya mifugo na uvuvi Dkt Titus Kamani

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, ambaye pia ni Mbunge wa Busenga (CCM) Dr Titus Mlengeya Kamani, Yupo Star TV akiongea na wananchi Nia yake ya Kutaka kugombea Urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.

Mkutano huo anaufanyia katika ukumbi wa Gandhi
Memorial Nyamagana Jijini Mwanza.

Msikilizeni.
 
Dr.Titus Kamani naye katangaza nia ya kugombea urais akiwa na kauli mbiu ya Safari ya Mafanikio na Uadilifu katika ukumbi wa Gandhi Memorial jijini Mwanza.Sera ni zile zile ila ufafanuzi ndo unakua tofauti.Wacha tusubiri mwisho tuone maana kila mtu anataka urais.
 
Hii katiba mpya kuna umuhimu wa kuongeza idadi ya marais, at least tuwe na maris wa nne kwa wakati mmoja
 
Sioni sababu ya watu kulalamika.Kuchagua na kuchaguliwa ni haki ya kila mtu.Tuache kuwa na husuda zisizo na mantiki kwa baadhi ya watu.Hao watachujwa na vikao vyao huko ndanı.Atakayepıtishwa ataletwa kwetu.Tutamkataa wakati huo kwa kura.Watz wengi wenye sifa kwa viwango vya Tz kuongoza nchi.Km Burundi waliuana na wengine kufungwa hasa key personalities wakati na baada ya vita, lakini kuna watu wameibuka na kuongoza hyo nchı, vp sisi tujione wenye sifa n Lowasa na Membe??Nkurunzınza alikuwa mhadhili msaidizi chuo kıkuu cha Bujumbula.Kabila kaibuka kiaina n.k.
 
Back
Top Bottom