Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
TanganyikaRais wa nchi ipi?
TanganyikaRais wa nchi ipi?
TanganyikaRais wa nchi ipi?
We ni mtanzania au mtanganyika? watanganyika tunajua kuwa rais wetu ni Dr Slaa!Hapo kwenye RED imekaa VIPI..?!! Mzee slaa mbona mwananchi tu wa kawaida kama wewe.
P.S Get well soon SLAA
Si tukamkodie sheikh Yahya Hussein tu ili aimarishe ulinzi au?
Atapona tu Mungu amjaalie.
Nampenda Rais wangu Slaa ila ushauri ni kwamba apunguze kushiriki tendo lile tamu kwa kipindi hiki make inasemekana ukiwa unaumwa either mguu au mkono ucvisit sana kale kamchezo katamu so nahisi atakuwa anafanya hivyo.
Huu ni ushauri msiende mbali jamani Magreat Thinkers make hamchelewi kuipindua maada husika na kuanza kunishambulia mimi.
Namwomba azingatie hilo coz tunamhtaj sana sahz coz c mda tutaanza maandamano ya Nchi nzima kushinikiza upatikanaji wa katiba mpya sio mchakato waprolong mpaka uchaguzi ujao coz kwanijuavyo mm b4 dec2015 Dk wetu atakuwa Mtukufu Rais wa URT.
Ni hayo tu.
Rais wa nchi ipi?
Wadau wa JF kunatetesi kuwa Rais wetu Dr. Slaa amelazwa toka juzi jumamosi kwa tatizo la mkono kuwa kafanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Muhimbili kitengo cha Mifupa(MOI). Tunaomba mtujuze kama ni kweli kuhusu tetesi hizi sisi tulio mbali na Dar es salaam.
Michizi mingine bana, Haijui hata mada inaongelea nini. Utafikiri zezeta!Dowans Jamani huku mgao umeanza mapema sana! Kila unapotokea mgao nazidi kumchukia Mkwere alisema hiyo itakuwa historia.