Mtu aliye nitonya alikuwa Hospitaln hapo jumapili mchana kumuona mama yake nae alikuwa kafanyiwa upasuaji na ndipo alipomuona Rais Slaa akiwa wodini hapoMwenye uhakika atupe ujumbe tukamjulie khali. Wish him fast recovery Mr. Invisible President!
Atapona tu Mungu amjaalie.
Nampenda Rais wangu Slaa ila ushauri ni kwamba apunguze kushiriki tendo lile tamu kwa kipindi hiki make inasemekana ukiwa unaumwa either mguu au mkono ucvisit sana kale kamchezo katamu so nahisi atakuwa anafanya hivyo.
Huu ni ushauri msiende mbali jamani Magreat Thinkers make hamchelewi kuipindua maada husika na kuanza kunishambulia mimi.
Namwomba azingatie hilo coz tunamhtaj sana sahz coz c mda tutaanza maandamano ya Nchi nzima kushinikiza upatikanaji wa katiba mpya sio mchakato waprolong mpaka uchaguzi ujao coz kwanijuavyo mm b4 dec2015 Dk wetu atakuwa Mtukufu Rais wa URT.
Ni hayo tu.
Wadau wa JF kunatetesi kuwa Rais wetu Dr. Slaa amelazwa toka juzi jumamosi kwa tatizo la mkono kuwa kafanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Muhimbili kitengo cha Mifupa(MOI). Tunaomba mtujuze kama ni kweli kuhusu tetesi hizi sisi tulio mbali na Dar es salaam.

Kwa nini hakwenda CCBRT?
Dowans Jamani huku mgao umeanza mapema sana! Kila unapotokea mgao nazidi kumchukia Mkwere alisema hiyo itakuwa historia.