Dr. Slaa wodini Muhimbili Hospital

Atapona tu Mungu amjaalie.
Nampenda Rais wangu Slaa ila ushauri ni kwamba apunguze kushiriki tendo lile tamu kwa kipindi hiki make inasemekana ukiwa unaumwa either mguu au mkono ucvisit sana kale kamchezo katamu so nahisi atakuwa anafanya hivyo.
Huu ni ushauri msiende mbali jamani Magreat Thinkers make hamchelewi kuipindua maada husika na kuanza kunishambulia mimi.
Namwomba azingatie hilo coz tunamhtaj sana sahz coz c mda tutaanza maandamano ya Nchi nzima kushinikiza upatikanaji wa katiba mpya sio mchakato waprolong mpaka uchaguzi ujao coz kwanijuavyo mm b4 dec2015 Dk wetu atakuwa Mtukufu Rais wa URT.
Ni hayo tu.

Wacha kumdhalilisha Watara wetu! atafanyaje kamchezo katamu na bado hajaoa?
 
Wewe Zomba unauliza Rais wa nchi ipi? Jibu mbona unalo Rais wa Watanzania walio wanyonge MIMI WEWE NA YULE. Nani asiyefahamu hilo. Dr. Slaa tunakutakia upone haraka mungu huruma na mwingi wa rehema atakuponya.
 
Kama ni kweli namuombea apone haraka aendeleze mapambano!!!Mafisadi hamna kupumua kwama huu!!!
 
Namtakia afya njema, apone haraka, raisi wako, mtanzania mwenzangu ambaye pia ni katibu mkuu wa chadema dr, slaa.

Wadau wa JF kunatetesi kuwa Rais wetu Dr. Slaa amelazwa toka juzi jumamosi kwa tatizo la mkono kuwa kafanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Muhimbili kitengo cha Mifupa(MOI). Tunaomba mtujuze kama ni kweli kuhusu tetesi hizi sisi tulio mbali na Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom