Dr. Slaa, Upande wa Pili

cdm kunataharifa dk kafumaniwa na mke wa mtu tena,so wana cdm mliobaki msishabikie kama vpofu mfikiri pia yawezekana kanasa mtego koz nmesikia pia pichazake za fumanizi watu wausalama wanazo na alikua ikuli juzi akiomba chondechonde zisitolewe

Kachambe ukalale kesho shule. nenda kwenye website ya Magamba kule ndio saizi yako. hapa huna hadhi ya kuwa Great Thinker.
 
Baada ya hii picha, nikisikia Shyrose kajiunga cdm ntajuwa kweli Slaa, PhD wa kanoni bila bachelor's hata moja, mkali kwa totoz!

mbona sasa unataja bachelor au nawe unasubiri umalize Qt,uje f4,f6,bachelor ndo upige picha na shyrose,chunga tamaa mbaya....!!utasubiri sana na utoto wako!
 
Baada ya hii picha, nikisikia Shyrose kajiunga cdm ntajuwa kweli Slaa, PhD wa kanoni bila bachelor's hata moja, mkali kwa totoz!

unatafuta cheap popularity humu JF kupitia mgongo wa Slaa? jaribu kuheshimu waliokutangulia kiumri. Chuki ya kidini usiingize kila mahali.
 
cdm kunataharifa dk kafumaniwa na mke wa mtu tena,so wana cdm mliobaki msishabikie kama vpofu mfikiri pia yawezekana kanasa mtego koz nmesikia pia pichazake za fumanizi watu wausalama wanazo na alikua ikuli juzi akiomba chondechonde zisitolewe

Tetetehe teheee!!!!!!! Siwashangai. kwani magamba wana sera nyingine ya kuwaambia waTZ zaidi ya wake za watu, udini na ukabila???? afterall sisi hatuko interested na personal life ya mtu so long as walikubaliana na hakumbaka. tunaangalia anaweza kulifanyia nini Taifa hili. period.
 
cdm kunataharifa dk kafumaniwa na mke wa mtu tena,so wana cdm mliobaki msishabikie kama vpofu mfikiri pia yawezekana kanasa mtego koz nmesikia pia pichazake za fumanizi watu wausalama wanazo na alikua ikuli juzi akiomba chondechonde zisitolewe

Alifumaniwa ANAKUKAMUA wewe? mbona hiyo habari waijua wewe tu! teh teh.
 
sitta_mdee.jpg
hivi huyu dada pesa zoote za ubunge anazopata ameshindwa kweli kupata dawa ya mafenesi yake usoni?
 
http://www.blogger.com/share-post.g...894691&postID=3736477459876163260&target=buzz <script type="text/javascript">if (window['tickAboveFold']) {window['tickAboveFold'](document.getElementById("latency-3736477459876163260")); } </script> Shyrose Bhanji na Dk Wilbrod Slaa

Kada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Shyrose -Bhanji(kushoto)akiwa katika Picha ya Pamoja na Katibu Mkuu Wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)Dr Wilbrod Slaa
mmmmmmmmmmmmmmmm:A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103:
 
Baada ya hii picha, nikisikia Shyrose kajiunga cdm ntajuwa kweli Slaa, PhD wa kanoni bila bachelor's hata moja, mkali kwa totoz!

Faizer foxy akili yako ina matatizo makubwa sana. Nmegundua una comment za ajabu. Kama wewe ni mzima basi huna hekima wala chembe ya busara. Fikiria.
 
Sasa hapo sijui warasema kaiba demu ailiyeibwa na sugu au?
 
Back
Top Bottom