Dr Slaa, Tutangazie Majina ya Vigogo wa Madawa ya Kulevya!

Akitangaza mtafanyaje,alipotangaza ya mafisadi mbona mliishia kwenye keyboard kutoa mapovu

Hiyo ndiyo worry yangu. Anaweza kutangaza,.and then? Kama serikali haina nia ya kupambana na uhalifu huu hata akitangaza haitakuwa na tija. Rais alishasema anayo orodha. Kwanini asitangaze yeye?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
beko,

Pamoja na kuwa vita dhidi ya madawati ya kulevya ni yetu sote. Sioni sababu ya kufanya kazi Mara mbili yaani duplication.

I) umekiri Serikalini wanayo majina ya wahusika wakuu wa madawati ya kulevya.

2) Rais wa JMK aliwahi kutangaza na kunukuliwa na vyombo vya habari, na hajawahi kukanusha, naamini badala ya kumwomba Dr Slaa, tumtake Rais Kikwete sasa atangaze Majina hayo.

Kwa kuwa kwa kesi ya Arusha Polisi wameonyesha mfano wa Kumhoji Mbowe aliyetangaza kuwa anao ushahidi wa Polisi kuhusika, na pamoja na Mbowe na CC ya Chadema kusema kuwa hawatatoa ushahidi huo polisi kwa kuwa Polisi wenyewe ni watuhumiwa katika shauri Hilo na hakuna mtu anayeweza kuwa haiku katika kesi yake mwenyewe, na kwa kuwa Kikwete annoy listi na hajaomba chombo kingpin huru kwa kuwa vote ni vya kwake, basi Polisi wachukue jukumu Lao ka kisheria kumtaka Kikwete kuwasilisha list hiyo Polisi na Taifa lijulishwe kuwa amewasilisha. Iwapo hataki basi polisi wamhoji kwa taratibu za kisheria kwanini hataki kutoa ushahidi huo Polisi, na ikiwa atakataa basi utaratibu wa kumshitaki uandaliwe kwa kuwa hakuna aliye juu ya sheria nchi, hasa katika maswala ya jinai.

Nadhani nimeeleweka.
 
Last edited by a moderator:
Ameeen. Huyu ni miongoni mwa mfano wa watu waliojaribu kutamka tu kuwa wanayo orodha ya dealers wa madawa ya kulevya lakini kabla hajawataja, afa kifo ambacho inasadikika kuwa Mume wake Mpaka Njia alihusika kwa vile na yeye alikuwepo kwenye orodha hiyo

Hivi huyu Mpakanjia bado anaishi? Kama bado anaishi anastahili kukamatwa.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
hata siku moja hawezi kuthubutu kutaja kwani hao ndo wanaoamua nani awe Rais wa nchi hii..
 
Ameeen. Huyu ni miongoni mwa mfano wa watu waliojaribu kutamka tu kuwa wanayo orodha ya dealers wa madawa ya kulevya lakini kabla hajawataja, afa kifo ambacho inasadikika kuwa Mume wake Mpaka Njia alihusika kwa vile na yeye alikuwepo kwenye orodha hiyo

Amina Chifupa aliuawa na wanaCCM wenzake katika juhudi za kumzuia asigombee uenyekiti wa uvccm! Issue ya madawa ya kulevya ilichukuliwa tu kama cover!
 
Hao ndio wanarun uchumi wa tz..kikwete mwenyewe anawagwaya amekalia kuwachekea tu..si ajabu hata yeye yumo kwenye list hiyo
 
Dr.W.Slaa,

Rais alishawataja wauza sembe alisema kuna wachungaji wengi ndiyo biashara zao.
 
Last edited by a moderator:
nilivyopiga na maisha hiyo biashara hata mimi ukinipa mchongo fresh niko tiayari kufanya tumbo langu conteiner.
maisha yangu magumu na umri unasonga kwa kasi
Uko right sana mwanagu Marire ,Hata mimi niko tayari kubeba mzigo. Kila kitu wanajijazia wao wavaa suti wakati sisi bado tunapigika. Wametubana kila kona hatuna cha kufany zaidi ya kututumia kwenye kampeni zenu za kisiasa. Dah inauma sana. Sasa ukipata mchongo tushtuane mkuu:bored:
 
Hiyo ndiyo worry yangu. Anaweza kutangaza,.and then? Kama serikali haina nia ya kupambana na uhalifu huu hata akitangaza haitakuwa na tija. Rais alishasema anayo orodha. Kwanini asitangaze yeye?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
vyombo vya sheria vinaogopa watawala mkuu
 
nilivyopiga na maisha hiyo biashara hata mimi ukinipa mchongo fresh niko tiayari kufanya tumbo langu conteiner.
maisha yangu magumu na umri unasonga kwa kasi

Mdogo wangu hizo fikra zako siyo nzuri unawaza kubeba sembe upate maisha mazuri, angalia sana ikijingiza huko tutakusahau.

Wewe jitafutie kipato chako cha halali.

Pole sana...
 
Kwanza tumpeleke magogoni hlf ndo awataje.Maana Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anawaogopa ndo mnataka mumpe matatizo rais wetu mtarajiwa!?
 
Dr.W.Slaa,

Rais alishawataja wauza sembe alisema kuna wachungaji wengi ndiyo biashara zao.

mkuu hebu tuwekee hayo majina aliyotaja hapa. Me sijafanikiwa kuiona hyo list. Nadhan itakuwa jambo jema kwa wanajamvi wote hapa kuiona hiyo list aliyotaja mh. Rais.
 
Last edited by a moderator:
Ameeen. Huyu ni miongoni mwa mfano wa watu waliojaribu kutamka tu kuwa wanayo orodha ya dealers wa madawa ya kulevya lakini kabla hajawataja, afa kifo ambacho inasadikika kuwa Mume wake Mpaka Njia alihusika kwa vile na yeye alikuwepo kwenye orodha hiyo

Na baadae akafuatia yeye mpaka njia mwenyewe.
hawa wauza madawa ni serikali nyingine ndani ya JMT lakini hawawezi kuachwa wakitamba lazima wakamatwe la sivyo watoto wetu wataanza kuvuta unga wakiwa tumboni hapo baadae
 
wewe uliyetoa hili wazo una tofauti gani na aliyesema wapigwe tuu?nchi lazima ifuate utawala wa sheria sio hizi mahakama za mbuzi na majungu.
 
Back
Top Bottom