Mzee Wa Maono
Member
- Jul 18, 2011
- 52
- 10
Kwa mujibu wako mwenyewe, ulisema deadline ni leo saa saba mchana, kwa madiwani wa arusha wawe wametoa taarifa za kujiuzulu, tunakusubiri wewe mzee rais kivuli wa tanzania!
Hapa sasa ndio patamu. Naomba sana Slaa awafukuze chama.
Kwa mujibu wako mwenyewe, ulisema deadline ni leo saa saba mchana, kwa madiwani wa arusha wawe wametoa taarifa za kujiuzulu, tunakusubiri wewe mzee rais kivuli wa tanzania!
Kufukuzwa lazima wafukuzwe kwani tayari nyie mumeshawanunua.Hatwezi kufuga mamluki, chukueni wenyewe mizoga yenu mtajua mtakachowafanya
huku kwetu umeme ulikatwa kuanzia saa saba usiku wa manane hadi saa 2 usiku wa kesho yake.
kabla dr. slaa ahajaangalia saa yake, muambie kwanza huyo goigoi wenu wa magogoni atatue tatizo la umeme badala ya kurandaranda kujipendekeza kwa zuma ati ziara ya kihistori...ina huu?
Be careful Dr Slaa, hata sisi mnotuita wa magamba tunakihitaji CDM kwa reflection ya mambo ya nchini Tz. A useless CDM is of no use to even to CCM.Hapa sasa ndio patamu. Naomba sana Slaa awafukuze chama.
laiti ningekuwa mtu wa karibu na jk ningemwambia kabisa, ila huyu slaa aliyetamka hewani kabisa kuwa leo atawashughulikiamadiwani tuna haki ya wazi na kwakuwa siku hizi anachungulia tu na haandiki kitu basi afanye aliyoyaahidi mzee huyu hatari sana.....
Nasikia wewe ndo Riziwani Kikwete.(samahani kama siye).However if so,nadhani mtakuwa mmeshawavutia za kutosha.Njaa mbaya sana.Ngoma ngumu jamani msichukulie ili swala kama Kitchen Party! Sla alipiga mkwala wa barua kakutana ni mtu wa shoka Naibu Meya wa CDM kamgeuzia kibao anataka Dr Slaa aitishe mkutano na vyombo vya habari hawaombe radhi Madiwani wote kama ataki ngoma mahakamani
Kufukuzwa lazima wafukuzwe kwani tayari nyie mumeshawanunua.Hatwezi kufuga mamluki, chukueni wenyewe mizoga yenu mtajua mtakachowafanya
alikuwa anapima upepo wa Mallah. Hafukuzwi mtuHapa sasa ndio patamu. Naomba sana Slaa awafukuze chama.
unadhani dr.slaa akifanya yale unayotamani afanye ndiyo matatizo sugu ya ukosefu wa umeme na rushwa ndani ya serikali yatakoma?
Sasa huyu Mzee havai saa? mbona kimya mpaka saa hizi, tunangoja tukachukue viti vyetu.