Dr Slaa TAZAMA SAA YAKO NI SAA NGAPI HIVI SASA? WATU WAFUMBUA MACHO!!!

Mzee Wa Maono

Member
Jul 18, 2011
52
10
Kwa mujibu wako mwenyewe, ulisema deadline ni leo saa saba mchana, kwa madiwani wa arusha wawe wametoa taarifa za kujiuzulu, tunakusubiri wewe mzee rais kivuli wa tanzania!
 
Kwa mujibu wako mwenyewe, ulisema deadline ni leo saa saba mchana, kwa madiwani wa arusha wawe wametoa taarifa za kujiuzulu, tunakusubiri wewe mzee rais kivuli wa tanzania!

huku kwetu umeme ulikatwa kuanzia saa saba usiku wa manane hadi saa 2 usiku wa kesho yake.

kabla dr. slaa ahajaangalia saa yake, muambie kwanza huyo goigoi wenu wa magogoni atatue tatizo la umeme badala ya kurandaranda kujipendekeza kwa zuma ati ziara ya kihistori...ina huu?
 
Ngoma ngumu jamani msichukulie ili suala kama Kitchen Party!Dr Slaa, alipiga mkwala wa barua kakutana ni mtu wa shoka Naibu Meya wa CDM kamgeuzia kibao anataka Dr Slaa aitishe mkutano na vyombo vya habari hawaombe radhi Madiwani wote kama ataki ngoma mahakamani
 
huku kwetu umeme ulikatwa kuanzia saa saba usiku wa manane hadi saa 2 usiku wa kesho yake.

kabla dr. slaa ahajaangalia saa yake, muambie kwanza huyo goigoi wenu wa magogoni atatue tatizo la umeme badala ya kurandaranda kujipendekeza kwa zuma ati ziara ya kihistori...ina huu?

laiti ningekuwa mtu wa karibu na jk ningemwambia kabisa, ila huyu slaa aliyetamka hewani kabisa kuwa leo atawashughulikiamadiwani tuna haki ya wazi na kwakuwa siku hizi anachungulia tu na haandiki kitu basi afanye aliyoyaahidi mzee huyu hatari sana.....
 
Hapa sasa ndio patamu. Naomba sana Slaa awafukuze chama.
Be careful Dr Slaa, hata sisi mnotuita wa magamba tunakihitaji CDM kwa reflection ya mambo ya nchini Tz. A useless CDM is of no use to even to CCM.
Hapa ndio mtauelewa uvumilivu wa CCM kwa wanachama wake ambao wengine ni uozo, wanavumiliwa mpaka wajivue wenyewe.
Busara please!!!
 
laiti ningekuwa mtu wa karibu na jk ningemwambia kabisa, ila huyu slaa aliyetamka hewani kabisa kuwa leo atawashughulikiamadiwani tuna haki ya wazi na kwakuwa siku hizi anachungulia tu na haandiki kitu basi afanye aliyoyaahidi mzee huyu hatari sana.....

unadhani dr.slaa akifanya yale unayotamani afanye ndiyo matatizo sugu ya ukosefu wa umeme na rushwa ndani ya serikali yatakoma?
 
Ngoma ngumu jamani msichukulie ili swala kama Kitchen Party! Sla alipiga mkwala wa barua kakutana ni mtu wa shoka Naibu Meya wa CDM kamgeuzia kibao anataka Dr Slaa aitishe mkutano na vyombo vya habari hawaombe radhi Madiwani wote kama ataki ngoma mahakamani
Nasikia wewe ndo Riziwani Kikwete.(samahani kama siye).However if so,nadhani mtakuwa mmeshawavutia za kutosha.Njaa mbaya sana.
 
Kufukuzwa lazima wafukuzwe kwani tayari nyie mumeshawanunua.Hatwezi kufuga mamluki, chukueni wenyewe mizoga yenu mtajua mtakachowafanya

Hata mimi naunga mkono hoja yako mkubwa kweli kabisa hatuwezi kufuga mamluki ndani ya cdm....maana wao ni nani hata wampinge mbowe na lema?hawa watatuumiza vichwa bora tuwafukuze kabisa...mzee slaa uko wapi au ulikua unatupiga mchanga machoni kutuvaa mkenge...tunakupima wewe mzee kama ukatibu umekushinda mwachie mbowe wewe uwe mwenyekiti.
 
unadhani dr.slaa akifanya yale unayotamani afanye ndiyo matatizo sugu ya ukosefu wa umeme na rushwa ndani ya serikali yatakoma?

basi kama hawezi kufanya anachokiongea mkatazeni kuropoka hovyo hovyo anashusha hadhi ya chama kama makamba! nakwambia si muda mrefu atafanana na makamba.
 
Guys mbona kuna maongeziu hayana staha ? Slaa kuwa hapa jamvini haina maana kwamba tumshushie hadhi .Kweli unaweza kusema anaropoka ropka na mkifungiwa mnalalamiaka ? Sidhani kama Slaa na hao wachadema Arusha ni issue kubwa kuliko ya Jairo na Ikulu na umeme Tanzania .Lakni ile iko ambayo inaumiza Taifa kwa kiasi kikubwa .Kashfa nzito ya rushwa na ikulu imekaa kimya eti likizo au kasimamishwa kwa nusu mshahara kuchunguza .Hebu tuweni wastaarabu .Kutumia majina ya kuficha si ruhusa kumtukana Slaa na swala Arusha ni lao Chadema nyie ccm mnahesabu saa ipi ? Iwasaidie nini ? Hebu tusimamie maswala ya Nchi Chadema wamesema kwa wana chama wao wacha tuone Slaa kama KM atafanya nini .Hawezi kufanya maamuzi kupitia JF .
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom