Dr Slaa TAZAMA SAA YAKO NI SAA NGAPI HIVI SASA? WATU WAFUMBUA MACHO!!!

WanaJf,

Kuna mambo amabyo watu tunatakiwa kuwa serious.Yaani baadhi ya comments huku zinaonyesha ni kwa nini kiwango cha ufaulu kinashuka.Kumbe pengine tuna tatizo kubwa la kuelewa.Kuna mtu kaanzisha thread na kuwaingiza watu mkenge hasa wale wanaopenda kuona mgogoro ndani ya Chadema.Nawapa pole,hebu someni kitu kilichosemwa.Sasa sijui ni wapi chadema ilitangaza kwamba leo saa saba watawafukuza madiwani

Some other comments sucks,na nyingine zinachekesha tu.Hizi thread nyingine lengo lake ni kuhamisha attention ya watu ili wasijadili mambo mazito yanayolikumba taifa letu.Tena kuna thread nyingine kule ya kuhamasisha mapinduzi ya umma.Tuhamie kule tuachane na hizi trivial issues
 
Unajua siku hizi watetezi wa magamba kila topic inayoanzishwa kwao ni moto kwa hiyo wanaanzisha thread kama hizi ili kuji please utaona wamejazana na kufuraaahiiii utakuta mtu ananzisha thread Chadema Ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii basi nzi wote wa magamba watajazana pale.
 
WanaJf,

Kuna mambo amabyo watu tunatakiwa kuwa serious.Yaani baadhi ya comments huku zinaonyesha ni kwa nini kiwango cha ufaulu kinashuka.Kumbe pengine tuna tatizo kubwa la kuelewa.Kuna mtu kaanzisha thread na kuwaingiza watu mkenge hasa wale wanaopenda kuona mgogoro ndani ya Chadema.Nawapa pole,hebu someni kitu kilichosemwa.Sasa sijui ni wapi chadema ilitangaza kwamba leo saa saba watawafukuza madiwani

Some other comments sucks,na nyingine zinachekesha tu.Hizi thread nyingine lengo lake ni kuhamisha attention ya watu ili wasijadili mambo mazito yanayolikumba taifa letu.Tena kuna thread nyingine kule ya kuhamasisha mapinduzi ya umma.Tuhamie kule tuachane na hizi trivial issues

Nimekukubali maana umesema na umeona yale niliyo sema si hapa tu kila mahara penye mada uharo kama hii .Watu tujadili hoja na mada zenye tija
 
WanaJf,Kuna mambo amabyo watu tunatakiwa kuwa serious.Yaani baadhi ya comments huku zinaonyesha ni kwa nini kiwango cha ufaulu kinashuka.Kumbe pengine tuna tatizo kubwa la kuelewa.Kuna mtu kaanzisha thread na kuwaingiza watu mkenge hasa wale wanaopenda kuona mgogoro ndani ya Chadema.Nawapa pole,hebu someni kitu kilichosemwa.Sasa sijui ni wapi chadema ilitangaza kwamba leo saa saba watawafukuza madiwaniSome other comments sucks,na nyingine zinachekesha tu.Hizi thread nyingine lengo lake ni kuhamisha attention ya watu ili wasijadili mambo mazito yanayolikumba taifa letu.Tena kuna thread nyingine kule ya kuhamasisha mapinduzi ya umma.Tuhamie kule tuachane na hizi trivial issues
Ben,Nadhani umeandika post yako kwa gadhabu naona ungefatilia kauli ya Dr Slaa juzi wakati anaongea na TBC kwa njia ya simu ungejua kwa nini watu wanachangia kwa wingi hii thread!Kwa kukufahamisha Dr Slaa aliulizwa swali una maoni gani kuhusu hawa madiwani wa Arusha, Dr Slaa,alisema hana muda wa kubishana na mtu mmoja mmoja wasubiri siku ya Ijumaa CDM watatoa jibu Dr Slaa, alisema, kama wewe hii thread imekufanya Resent unaweza kwenda kwenye thread unayoipenda
 
Back
Top Bottom