- Thread starter
- #21
Mimi nina nia njema kabisa. hakuna chama kimetopiga vita kama nccr. Kuna jamaa anaitwa sungura aliandika makala gazeti la rai akieleza kuwa ni afadhali ccm kuliko chadema, hayo ndio yalikuwa mawazo ya mbatia na mvungi. Lakini leo tumezungumza. Mimi nazungumzia hasa swala la katiba kuwa kushirikiana na cuf ili tupate nguvu kubwa ni muhimu. Kwani chadema tunataka nini zaidi tukipata tume huru ya uchaguzi, serikali ya tanganyika nk. Lakini ni ukweli kuwa bila cuf hatutaweza ku achieve haya na pia uzuri cuf wanakubaliana na chadema kuhusu haya. Kwa maana nyingine cuf wakiikataa katiba haitapita, chadema pia tunaweza kupata 1/3 tukaipinga ila wanaweza kuchakachua.kuungana au kushirikiana sio lazima kukutana na kukaa pamoja busara na hekima ndio vinahitajika kwamba yale mambo ambayo CUF wanayasimamia na CDM wakiona na kuhakikisha ni kwa maslahi ya watanzanania na hayakiuki sheria na muongozo wa chama wanaweza kuyaunga mkono kadhalika na CUF hivo hivo ila hili la kukaa na kuzungumza ni gumu kidogo kwa kuwa CUF tayari wapo kwenye coalition government na ccm so kukubaliana na cuf automatically ni kukubliana na ccm, mbona uchaguzi uliopita cdm walisimama wenyewe bado wkashinda viti vingi?? mbona Igunga cuf waliinga cdm hadharani na kwa nguvu zote lakini bado cdm ikashika nafasi ya pili so cdm fight alone!
Msingi hasa wa hoja yangu ni kuwa chadema akiweza kuwa win cuf itawabidi ccm wa compromise mambo mengi ili katiba ipite, nadhani mmenielewa wandugu wapenzi