Dr Slaa Tafadhali Kutana na Maalim Seif

Kwa cuf hapana,chama kinaiponda sana chadema! Labda chadema hebu kaeni na hivyo vyama vidogo kwanza,muwe kitu kimoja.
 
tatizo CUF hawana hoja
hawapingi mambo kwa hoja bali visasi na historia historia zisizosaidia

cuf ni pumba tupu kwa hiyo hamna haja ya kuingia mapumba ndani ya cdm

think of maalim seif anakuwa rais atatusaudia kwa kipi ?
 
Back
Top Bottom