Elections 2010 Dr. Slaa mgombea urais 2010 kupitia CHADEMA

Status
Not open for further replies.

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema kwamba Dk. Slaa ndiye mgombea urais wa Chadema mwaka 2010.

9036dj.jpg

Kikao kilichomchagua Dr. Slaa kuwa mgombea urais wa CHADEMA

More to come
 
Dr. Slaa ni Member nadhani atakuja hapa kuelezea mikakati na nini kifanyike ili CCM ipate tabu katika huu Uchaguzi
 
Amejiandaaje kukaa miaka mitano kijiweni, simshauri kwa kuwa atapunguza msisimko bungeni
 
Du!,
Nimepata tetesi sasahivi wanamuandaa Prof. Mwesiga Beregu!. Kama kweli ni Dr. Slaa, CCM ikubali isikubali, JK mwaka huu, kazi anayo.
 
Taarifa zilizopatikana hivi sasa ni kuwa Dk. Wilbrod Slaa ndiye mgombea Urais wa Chadema 2010. Tanzania imepata mkombozi!
 
Hizi ni habari njema kwa upinzani na si njema sana kwa Chama Tawala. Nadhani uchaguzi huu utawa na ushindani wa ukweli. Bravo kwa Chadema kwa uteuzi huo makini.

Husiana na kupunguza msisimko wa Upinzani bungeni sidhani kama hilo litatokea maana ninaamini kwamba Bunge linalokuja baada ya Uchaguzi litakuwa ni Bunge lenye upinzani wa hali ya juu sana. Muda wa Mabadiliko ni huu umewadia.
 
Bora angegombea Ubunge ingelipa!!!!

Kulipa nini mkuu? This is not a bussiness na Nimjuavyo Dr. W Slaa haangalii sana Maslahi yake Binafsi bali anaangalia Maslahi ya Taifa zaidi, so CHADEMA needs a strong presedentila candidates ili wawe na Wabunge wa kutosha. Na Dr. Slaa is the right candidate

Go Slaa
 
Well - nilikuwa bado na "hang-over" ya JackD lakini sasa najisikia nafuu

This might not necessarily mean kuwa Dr Slaa atakuwa the next President But at least some voters have got "a person" to vote for kwenye presidential position.
 
Kwa mara ya kwanza leo amevaa MAGWANDA (combat) ya chadema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom