Elections 2010 Dr. Slaa mgombea urais 2010 kupitia CHADEMA

Status
Not open for further replies.
It's time for Dr Slaa to stand for presidential bid...natumai Chadema wamebeba tumaini la mabadiliko ya kweli katika siasa za nchi hiii..

no power like political power!! Go Dr Slaa, for change we need.
 
Well hii sio habari njema kwa Chadema kihivyo. Jimbo la Karatu linarudi CCM believe me. Na kwa taarifa tu ni kuwa kweli Dr. Slaa hawezi kupata urais kwa sasa. Kama yuko kupima anakubalika vipi ili agombee 2015 sawa.
 
Well hii sio habari njema kwa Chadema kihivyo. Jimbo la Karatu linarudi CCM believe me. Na kwa taarifa tu ni kuwa kweli Dr. Slaa hawezi kupata urais kwa sasa. Kama yuko kupima anakubalika vipi ili agombee 2015 sawa.

Kuliko kuwa na Wabunge 10 ( Including Slaa) Ni Bora Akautosa huo Ubunge agombee urais ili kuwe na na wabunge 100
 
Kwani akigombea Urais haruhusiwi kutetea jimbo lake (nikimaanisha ili kuwa rais ni lazima pia uwe mbunge)
 
Siasa ni mchezo wa kujitoa na kujaribu..kukosa jimbo la karatu sio ishuu kwa ukombozii wa nchii hiii...
 
Binafsi namfagilia sana Dr. Slaa.
Suala la kukaa kijiweni halipo wakuu!!
Msishangae huyu jamaa akawa rais wetu.
Hata mimi nilikua siamini kama walivyo wengi lakini kwasasa ninaamini kwa asilimia nyingi tu.
Kikwete lazima tumngoe round hii.
wafanyakazi wote tupigeni kura jameni.
Kura yako moja ndo italeta mabadiliko nchini.
nina sababu nyingi sana za kumkubali huyu jamaa.
1. The guy ana machungu na rasili mali zetu
2. He is the pioneer behind the fight of ''mafisadi''
3.
4.
5.
 
Well - nilikuwa bado na "hang-over" ya JackD lakini sasa najisikia nafuu

This might not necessarily mean kuwa Dr Slaa atakuwa the next President But at least some voters have got "a person" to vote for kwenye presidential position.

matumaini ya kupiga kura yanaanza kunirudia.
 
Kuna habari hapa. Ngoja kwanza nikapumzishe kichwa ili maluwe luwe yapungue.

Ila niseme mapema tu, kwamba sasa CHADEMA wamejipatia support yangu kilaini. Hadithi za Uchagga sasa zitatoka wapi?

Mhhh, JK itabidi atengeneze mabango mengi ya kuanika takwimu zake za kufikirika. Wakati huo nasubiri list of shame No. 2 ya kuanzia kazi! Mungu aifunue mioyo ya wabongo walioleweshwa na green ili waone huu mwanga. Tunaweza kuongea lugha tofauti kabisa kuanzaia Octber 31!
 
Hureeeeeeeeeeeeeee Dr Slaa Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kura yangu unayo Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeee Tukatafuta na Pweza wa kutabiri na ikudondokee wewe Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Weraaaaaaaa weraaaaaaaaaaa Aibu yetu Aibu yaaaooooooooooooo.................................
 
Yaani kama chadema watamweka dr w.slaa watakuwa wamefanya jambo la maana sana katika nchi hii.
 
Slaa ni mgombea makini kuliko Vasco Da Gama.

Najua CCM wanaangua kilio sasa namshauri Vasco achukue na forms za kugombea Ubunge maana tonge ndo linachomoka ivooo.

Hongera sana Dr. Slaa kwa uamuzi thabiti wa kugombea nafasi ya juu ya uongozi nchini. Tunakuombea Mungu akutangulie maana huko mbele MBWAMWITU ni wengi
 
Kikao kilichomteua Dr. Slaa.... wamo Mbowe na Zitto wanaonekana pale

9036dj.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom