Elections 2010 Dr Slaa kwa mara nyingine tena Iringa

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Nimesikia leo Dr anatinga iringa kwa ngwe ya mwisho kuanzia majira ya sanane
Ngoja niwasiliane na wadau uko watupe updates
 
tupeni habari.
kuanzia saa 10.00 the same atakuwa hapa dodoma kwenye viwanja vya barafu na umati wa watu unamsubiri kwa hamu; angalia post nyingine dr slaa: live dodoma!!!
 
Any updates from Mr president Hn Dr P.W. Slaa (PhD) kuhusu Iringa and Dodoma?
 
Mpira si dakika tisini tu bali mpaka refa apulize filimbi ya mwisho. Dr Slaa na timu yako endelea kushambulia goli la adui na kulenda goli lenu. Msiji kupoteza points dakika za lala salama.
 
Ushindi upo jamani hamasisheni watu,majirani,marafiki,kaka,dada,mama,baba,ndugu zetu wooote jamani mpigieni slaa.
 
Nimesikia leo Dr anatinga iringa kwa ngwe ya mwisho kuanzia majira ya sanane
Ngoja niwasiliane na wadau uko watupe updates

karibu daktari mjini iringa utasaidie hii baridi utatujengea heater au?mpelekeeni ujumbe huu
 
Mpira si dakika tisini tu bali mpaka refa apulize filimbi ya mwisho. Dr Slaa na timu yako endelea kushambulia goli la adui na kulenda goli lenu. Msiji kupoteza points dakika za lala salama.
Ni kweli kabisa mkuu HK,
Hakuna kulala mpaka kimeeleweka!Tuendelee kumuomba Mungu awalinde wapambanaji wote ktk mizunguko yao huko mikoani.
 
Ushindi upo jamani hamasisheni watu,majirani,marafiki,kaka,dada,mama,baba,ndugu zetu wooote jamani mpigieni slaa.

ha ha ha, mimi shamba boy wangu mmoja alikuwa CCM na kandi mpyaa, siku namfungulia bank account namwambie nipe ID yako, akanipa kadi mpya ya CCM nikamuuliza umeipata wapi kasema alipewa na kada wa chama kwenye kura za maoni.

Juzi nikawakusanya wote, house girl na shamba boys 3, tukaanza kumsikiliza DR. Slaa Mwanzo mwisho LIVE-- woteee wamekata shauri wenyewe sikutumia neno lolote la kuwashawishi ila ni Nondo za DR. ziliwapenya ndani ya mionyo yao. Manake alikuwa anapangua moja baada ya jingine. :smile-big::smile-big:
 
Kwa bahati mbaya mpaka 6;00pm Dr PHONE PICTURES 001.jpg alikuwa hajafika pale uwanja wa mwembe togwa inasemekana helcopter ilikorofisha angalia nyomi ikiondoka kwa hudhuni baada ya kumkosa Raisi wao PHONE PICTURES 002.jpg inasemekana ameingia late so anaweza hutubia kesho munuakipenda
 
Mkuu nadhani kesho Dr Slaa atapata nafasi ya kuhutubia, kwa hiyo tusubiri kuona yapi yanayojiri.
 
Unajua ilipofika kumi na mbili kamili FFU wakaanza toa Tangazo kuwa watu wote watawanyike.
Kuna mzee nilimsikia akiwajibu Kwani mlituleta?Nkajua kumbe mwamko ni mpaka kwa wazee?
FFU wakaendelea kusema kutawanyika ni amri,watu wakaanza ondoka taratibu.
Just imagine watu walikuwa uwanjani toka sanane mchana mpaka 6pm bado wanakomaa kumsubuiri dokta.
Ama kweli Slaa ni Musa kwa watanzania
 
Slaa aomba radhi kuwa alikuwa kigamboni akaenda moro then akaenda Dodoma wakati anataka toka kuja Iringa wananchi walifunga njia na kuchelewa kutoka.Wananchi waliwafuata mpaka Airport na umati ni kama wa mikutano mitatu.
Akitoka Iringa anaenda Njombe,Ruvuma na Mbeya
Source:Ebony Fm news 8:00 leo
 
Kwa wana CHADEMA haya ni mahojiano ya Dr, Slaa kwenye redio kule Iringa. CHADEMA tunatisha, Slaa ni kiboko yao. Ushindi ni wetu hata wakishakachua itawachuka wiki mbili kujitangaza washindi

[video]http://francisgodwin.blogspot.com/2010/10/livemahojiano-ya-dk-slaa-hivi-sasa.html[/video]
 
Any updates from Mr president Hn Dr P.W. Slaa (PhD) kuhusu Iringa and Dodoma?
Siasa ni kama maigizo watu wamedanganywa Slaa anakuja Iringa kwa sababu watz ni wale watokanao na nchi ya zamani iliyojulikana kama DANGANYIKA walijazana viwanja na huyo ajae asije.nchi haiwezi kuwa na viongozi waongo.halafu tumpe ikulu akafanye nini hana maadili,hatimizi ahadi mtu gani?NO WE CAN'T KILL OURSELVES CAUSE LYING IS NOT OUR CUTURE.
 
Acha mambo ya ajabu wewe! Umefuatilia kujua ni sababu ipi alichelewa kufika Iringa ama unalipuka tuu. Fuatilia video yake hapo juu alafu utajua kuwa kila mahali wanamtaka kuwa Rais wa Tanzanania. Dodoma mpooooooo... Chagua CHADEMA.. Chagua Slaa :smile-big:
 
Sasa kila mahali wanamtaka kuwa rais wa tanzanania sijakataa lakini hawezi kuwa rais wa Tanzania.Na hiyo Tanzanania ipo dunia gani? KIFUPI HATUTAKI RAIS ASIYE NA MAADILI MUONGO HODARI WA VISINGIZIO KAMA HIYO VIDEO YAKO INAVYOSEMA.KAMA MTU MUUNGWANA UNAPOPANGA RATIBA LAZIMA UITEKELEZE LA HUWEZI UNATOA UDHURU KABLA YA KUKUSANYA WATU UPOOOOOOOOOOOO SLAA KUWA RAIS NI SAWA NA MENDE KUANGUSHA KABATI.MTAJIJU
 
Msema kweli unanifurahisha ungekuwa mwanafunzi wangu ningekupa zero.
Chukua sababu ya kuchelewa kwake then ndo uanze kuijadili and not otherwise.
Unaambiwa watu walizuia msfara wake wakti akienda kwa airport ilipo helcopter wewe ulitaka watu watawanywe kwa mabomu?
Basics za masoko zasema mteja ni mfalme ingawa kwa CCM mteja/mpiga kura ni mtumwa wa kura yake
 
Msemakweli najua kura unampa Dk(PhD) Slaa. Hapa unapima pressure za watu tu. Tuko pamoja. :bowl:
 
Back
Top Bottom