Dr Slaa kutikisa Arusha Jumamosi

Dr Slaa Chapa kazi
Tena kisawa sawa mimi nauhitaji urais nimeona hamna m2 yeyote aliyezaliwa kabla ya kuanyiashwa vyama vingi anayeweza kulikomboa taifa hvyo ss ambao 2mezaliwa baada ya kuanzishwa vyama vingi ni muda wetu kuuhitaji urais
 
Dr Slaa Chapa kazi
Tena kisawa sawa mimi nauhitaji urais nimeona hamna m2 yeyote aliyezaliwa kabla ya kuanzishwa vyama vingi anayeweza kulikomboa taifa hvyo ss ambao 2mezaliwa baada ya kuanzishwa vyama vingi ni muda wetu kuuhitaji urais
 
Huo mtaa wa Ndarvoi uko wapi Arusha? Mtoa mada toa directions basi maana wengine ndio kwanza tunausikia!
 
Taarifa za awali zinasema mkutano huo pia utatumika kufuta nyayo za chama cha CUF ambacho kilisomba watu Dar-es-Salaam kwenda kuwahutubia Arusha ili kuepuka aibu ya kukosa watu.

Aibu yetu aibu yao? aibu yao wenyeweeee cuf!
Katika hili sina wasiwasi kabisa na watu wa Arusha. Halafu tuone kama cuf wataendelea kusomba watu kila wakienda huko kufanya mikutano yao.
 
Mkuu Ritz
Hivi watu wa Arusha hawana shughuli za kufanya za maendeleo? Haya maandamano na mikutano isiyokwisha taifa wanalijenga wakati gani?kweli tuliimaanisha Arusha iwe mji wa mikutano kwa kujenga AICC hatukumaanisha uwe mji wa mikutano hii ya kiwendawazimu isiyokwisha au ndio tuseme wana vichwa vigumu kuelewa?
Chama
Gongo la mboto DSM

Kama maandamano unayosema yanazuia shughuli za maendeleo, je huo mkoa wa Arusha unaoutaja kwamba umezidi kwa maandamano na mikoa mingine isiyo na maandamano sana, kwa mfano Pwani, Lindi, Mtwara, Kigoma, Singida, Tabora, Shinyanga; je, mikoa hiyo ina maendeleo gani zaidi ya Arusha?

Naona hoja yako haina nguvu.... Nadhani ni hofu tu!
 
Mbaya zaidi, Maandalizi yamekamilika. UJUMBE huu umfikie CHAMA. GONGO LA GONGO.
 
lukatony, yaonyesha una bifu na dr wetu mpendwa Slaa. Unasema Slaa malaya kamzidi umalaya nani? Baba au mamako? Unamlinganisha na nani hasa. Hatupendi ukorofi, mwache Rais wetu afanye kazi ya Watanganyika.
 
yeuwomii....ni nini mae kujificha hivyo...? basi uje hata mkutanoni tuonane ndaoo....sio vizuri eti.....

ntakuja mae wangu, tukitoka hapo tunaenda first left kujikumbushia za enzi hizo, au Narok...juzi msafara wa lema ulinikuta natokea pale vodacom, nikakuchungulia kwa bidii zote mae, holaaa ndao.
 
Mkuu Ritz
Hivi watu wa Arusha hawana shughuli za kufanya za maendeleo? Haya maandamano na mikutano isiyokwisha taifa wanalijenga wakati gani?kweli tuliimaanisha Arusha iwe mji wa mikutano kwa kujenga AICC hatukumaanisha uwe mji wa mikutano hii ya kiwendawazimu isiyokwisha au ndio tuseme wana vichwa vigumu kuelewa?
Chama
Gongo la mboto DSM

Nadhani Ritz ndiye mumeo au!
 
Kaka Town kunani saa hii, niko hapa kwa pole FFU tano zimepita taa juu ready for war.
Sija ziona na wala sijasikia issue yoyoyte na niko hapa mjini kati labda nifatilie nikizipata nitakujuza...
 
ntakuja mae wangu, tukitoka hapo tunaenda first left kujikumbushia za enzi hizo, au Narok...juzi msafara wa lema ulinikuta natokea pale vodacom, nikakuchungulia kwa bidii zote mae, holaaa ndao.

mi nilikuwa upande ule wa Stanbic.......basi jumamosi tutafanikisha kila kitu......
 
Back
Top Bottom