Dr Slaa kutikisa Arusha Jumamosi

Mkuu gamba Ritz mimi nimeshuhudia watu wakifunga biashara zao Arusha ili kuhudhuria maandamano na mikutano ya CDM...
Kwa taarifa yako moja ya mikoa ambao watu wake wanachapa kazi kisawa sawa ni Arusha na Kilimanjaro....

Ahaaa haa wanafunga kwa kuogopa vibaka!!!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Tafuta shughuli mkuu kwenye hiyo mikutano kuna jipya ambalo hulijui?

Chama
Gongo la mboto DSM

1.Licha ya kuwa katika post yangu haioneshi kuwa nitahudhuria huo mkutano na sijui umepata wapi tafsiri hiyo,
2.Unasema hakuna jipya katika mikutano hiyo ,nitakuamini kama utanihakikishia kuwa ni wewe ndiye unayeandaa ajenda za mikutano hiyo.
3. Kwa kuwa shughuli yangu ni kuuza maji itabidi niwepo ili kupata kipato kwa kuuza maji kwa watakaokuwepo mkutanoni.
 
Mkuu
Naona akili na mawazo yako yanafanana ana avatar yako; namba 1 umeuliza swali namba 3 umejijibu mwenyewe

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom