Dr Slaa kutikisa Arusha Jumamosi

Mkuu Ritz
Hivi watu wa Arusha hawana shughuli za kufanya za maendeleo? Haya maandamano na mikutano isiyokwisha taifa wanalijenga wakati gani?kweli tuliimaanisha Arusha iwe mji wa mikutano kwa kujenga AICC hatukumaanisha uwe mji wa mikutano hii ya kiwendawazimu isiyokwisha au ndio tuseme wana vichwa vigumu kuelewa?
Chama
Gongo la mboto DSM

Wewe usiye andamana umezalisha kiasi gan? Umbea mbaya
 
I salute Arusha ever since, mmeonesha njia!!!!!!!!!!! Dr nendeni na kata za Mtibwa, Mahenge, Mpwapwa na Msalato kule ni vema mkapeleka nguvu ya watu makini zaini aina ya GJL ambaye najua anakuwa anamaliza mambo ndani ya daraja 2
 
safari anazoenda m.k.were nje ya nchi hata naibu waziri nyingine angwakilisha acha waziri mkuu,..huyu bwana kwa ushamba wa ndege ni nouma!!!!!huko america alipo akisikia jina la slaa anapoteza appetite ya burger maana anajua rais wake anakusanya umati

Unamaanisha raisi wa Arusha au wa Tanzania?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kila mtu ana mtindo wake wa kufanya siasa, mbona mnakosa pozi mkisikia dr atafanya hili au lile?

Sisi tupo poa tunachohoji ni upeo wa kuelewa wa watu Arusha inawezekana somo halieleweki

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Umeonyesha ukomavu wa kufikiri kwa kupiga mbizi! Uchaguzi wa madiwani nao umeitishwa ili Mikutano ya AICC isifanyike?

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.

Mgosi umeingilia ngoma usiyoijua

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Karibu chuga kamanda.hakuna raisi mwingine tz zaidi yako.wataisoma namba hata kama ni kimoyomoyo.
 
Kama maandamano unayosema yanazuia shughuli za maendeleo, je huo mkoa wa Arusha unaoutaja kwamba umezidi kwa maandamano na mikoa mingine isiyo na maandamano sana, kwa mfano Pwani, Lindi, Mtwara, Kigoma, Singida, Tabora, Shinyanga; je, mikoa hiyo ina maendeleo gani zaidi ya Arusha?

Naona hoja yako haina nguvu.... Nadhani ni hofu tu!

Maendeleo hayo unayoyaongelea yamepelekwa na Chadema?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu Molemo vipi mabasi yatakuwepo kwa sisi ambao kidogo tupo nje ya mji?
Maana kuna chama nilisikia siku hizi kinabeba watu kutoka dar mpaka Arusha kwa ajili ya kujaza watu.
 
Ha ha haa chama uwezo wako wa kufikiri na kujenga hoja una deteriorate kwa spidi ya ajabu sana, sijui utakuwa katika hali gani hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu.

We endelea na miradi yenu ya visima vya majimachafu huko gongolamboto, hii mambo ya Arusha ni makubwa kwako.
Juzi juzi tumemshuhudia kikwete akigawa ng'ombe wilayani monduli kwa mshikaji wake lowasa lakini hatujawahi kusikia wananchi wa Arusha wanaomba msaada wa chakula kwakuwa wanajitambua na wanajiweza, na hawategemei magamba kuendesha maisha yao, na hilo ndilo linawaumiza vichwa vya kuku wengi hapa JF na huko mitaani.

Ahaaa haa mkuu uwezo wangu mkubwa sana kwenye kujenga hoja hapa vilaza wengi sana kujipishana nao kupoteza nguvu bure; sasa mkuu jiografia pia inakushinda? Hivi Monduli ipo Singida? Mwita naona upeo unapungua umejishusha level yako ili ufanane na hawa vilaza wa shule za kata; mkuu unapoteza mwelekeo!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu Molemo vipi mabasi yatakuwepo kwa sisi ambao kidogo tupo nje ya mji?
Maana kuna chama nilisikia siku hizi kinabeba watu kutoka dar mpaka Arusha kwa ajili ya kujaza watu.

Mkuu wangu hawa wasomba watu nimesikia leo wako Kagera.Inawezekana wamesomba watu kutoka Dar hadi Bukoba.
 
Hiyo michezo ipo Chadema ndiyo chama chenye urafiki na vyama vyenye sera za ushoga!

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu wangu chama,
Hawa makamanda siku zote nakuambia ni wahuni, angalia hata kauli zao wakiishavuta ugoro na kunywa mbege ni kuropoka matusi tu.
 
Last edited by a moderator:
Maendeleo hayo unayoyaongelea yamepelekwa na Chadema?

Chama
Gongo la mboto DSM

Hoja yako haikuwa hayo maendeleo yamepelekwa na nani!

Ulichokuwa unamaanisha ni kwamba eti watu wa Arusha wakienda kuandamana wanapoteza muda wa kufanya shughuli zingine za maendeleo! Which is untrue!!!!

Kwanini watu wanapokwenda Uwanja wa Taifa kuangalia mechi ya Simba na Yanga n.k, husemi kwamba hawana shughuli za maendeleo!
 
Mkuu wangu chama,
Hawa makamanda siku zote nakuambia ni wahuni, angalia hata kauli zao wakiishavuta ugoro na kunywa mbege ni kuropoka matusi tu.

Mkuu Ritz
Makamanda hawana hoja wanachokimbilia ni matusi labda ndio lugha wanayofundishwa wakiwa kwenye M4C

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu Ritz
Makamanda hawana hoja wanachokimbilia ni matusi labda ndio lugha wanayofundishwa wakiwa kwenye M4C

Chama
Gongo la mboto DSM
Hivi kuna chama kinaongoza kwa kutukana zaidi ya CCMabwepande
 
Back
Top Bottom