THK DJAYZZ
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 2,167
- 175
Khaaa... !!!
Nimekuwa nikifatilia mitazamo ya wanasiasa ndani ya AFRIKA ambao wengi wao wamelaani kuuawawa kwa GADDAFI lakini bwana SLAA kwake ni furaha kama waasi wa LIBYA ndipo nikagundua SLAA ni kivuli cha MABEPARI ambao anadhani watamsaidia baadae! Bora ya NAPE anaweza akawatetea watanzania wanyonge kuliko wewe unayefikiria madaraka tu! NAPE jipange sawa sawa nakutabiria uje uwe RAIS wa TZ nyota yako inang'aa hadi mafisadi wanakuogopa kuliko upizani kwa vile upo makini sanaa...
changia maada kama wewe mjanja usikurupuke...tunahitaji AFRIKA HURU siyo kuletewa vichaa wa madaraka kama anavyofikiria SLAA.WE NEED ONE VOICE OF AFRICA BY AFRICANS NO MATTER WHAT POOR WE ARE!!!GADAFI DID A LOTS FOR LIBYANS THAN WHAT HE HAD BN FAULTED
kweli nimeamini 100% ya mwili wa mwanadam ni mimaji michafu hasa wewe
Tatu , tuluaminisha kua saadam ana silaha za maangamizi (weapons of mass destruction zilipatikana.
Suala hapa ni ku outline well defined disciplines that will guide our leaders whether it be chdm or CCM or Cuf ambazo tutaongozwa nazo
Lingine ni kwamba Libya kuna mikono ya waume wa dunia. US,UK and FRANCE sasa Hawa. NTC wanatakiwa kupokea maelekezo toka Kwao na wamegawanyika there is some who are loyal to FRANCE some UK and Some US and at different occasion they both recruited their puppets and they supported them kwahiyo na Hawa waume hawana kificho as far as interest is concerned ... National interest should be served first at any cost.....
Sasa wasiwasi wa wanao mshangaa na kumuita SLAA kibaraka ni kua anafadhikiwa Sanaa na Hawa waume inawaje kwa wenye akili timamu hawakutarajia SLAA amlilie Ghadaf ila ni kwamba pengine hawajui hii ngoma inavyichezwa...
Angalizo
Sio SLAA pekee ndio mwenye akili nchi hii na yeye sio suluhisho la matatizo yetu Tanzania
Tuchangie Bila kuvutwa na hisia kua anaekosoa yoyote ni CCM na chadema ndio wazalendo kuliko wengine wote siamini.
Imekaa vizuri ingekuwa hivyo leo tusingetofautiana na Ivory Coast.time will tell kama Libya walichoka na mfumo wa kidictetor basi nasisi watanzania tutafika,tuko karibu meli inaelekea kuzama.
Nimekuwa nikifatilia mitazamo ya wanasiasa ndani ya AFRIKA ambao wengi wao wamelaani kuuawawa kwa GADDAFI lakini bwana SLAA kwake ni furaha kama waasi wa LIBYA ndipo nikagundua SLAA ni kivuli cha MABEPARI ambao anadhani watamsaidia baadae! Bora ya NAPE anaweza akawatetea watanzania wanyonge kuliko wewe unayefikiria madaraka tu! NAPE jipange sawa sawa nakutabiria uje uwe RAIS wa TZ nyota yako inang'aa hadi mafisadi wanakuogopa kuliko upizani kwa vile upo makini sanaa...
changia maada kama wewe mjanja usikurupuke...tunahitaji AFRIKA HURU siyo kuletewa vichaa wa madaraka kama anavyofikiria SLAA.WE NEED ONE VOICE OF AFRICA BY AFRICANS NO MATTER WHAT POOR WE ARE!!!GADAFI DID A LOTS FOR LIBYANS THAN WHAT HE HAD BN FAULTED
Nimekuwa nikifatilia mitazamo ya wanasiasa ndani ya AFRIKA ambao wengi wao wamelaani kuuawawa kwa GADDAFI lakini bwana SLAA kwake ni furaha kama waasi wa LIBYA ndipo nikagundua SLAA ni kivuli cha MABEPARI ambao anadhani watamsaidia baadae! Bora ya NAPE anaweza akawatetea watanzania wanyonge kuliko wewe unayefikiria madara..
Nimekuwa nikifatilia mitazamo ya wanasiasa ndani ya AFRIKA ambao wengi wao wamelaani kuuawawa kwa GADDAFI lakini bwana SLAA kwake ni furaha kama waasi wa LIBYA ndipo nikagundua SLAA ni kivuli cha MABEPARI ambao anadhani watamsaidia baadae! Bora ya NAPE anaweza akawatetea watanzania wanyonge kuliko wewe unayefikiria madaraka tu! NAPE jipange sawa sawa nakutabiria uje uwe RAIS wa TZ nyota yako inang'aa hadi mafisadi wanakuogopa kuliko upizani kwa vile upo makini sanaa...
Hivi huyu Slaa ni Mungu naye ni binadamu anahisia zake na mitazamo yake pia hizo ni hisia zake. kwa hiyo mkuu acha kuwa na mawazo mgando
wanajf
issue ni principle. Kama mtu huna principle hutaweza kuhukumu jambo lolote kwa dhamira. I. Udikteta ni mbaya na unapaswa kukemewa bila kumumunya maneno. 2. Haki za binadamu zinapaswa kulindwa kwa nguvu zote bila kuangalia sura,rangi,kabila au taifa la mkandamizaji. Wenye uwoga wa kuchukua maamuzi ni wale ambao kwa namna moja au nyingine ni beneficiaries wa udikteta huo. Ukiishi katika ukweli au unachoamini kwa dhati within limits humanly possible utaishi,kutenda na kunena uhuru.

thanks Dr. kwa majibu yako yalioenda shule, wenye akili wameelewa ile hotuba ya Membe, ni hotuba ya kinafiki kwakweli.
ingekuwa enzi za utawala wa Nyerere nina hakika majeshi yetu yangeenda kusaidia ukombozi wa libya, japo nina mashaka kidogo na maisha ya hawa raia wa libya, isije kuwa wametoa dikteta wameingiza aina mpya ya udikteta.
Zumbemkuu
Thanks. The problem is people tend not to look at issues with objevtivity needed. It is also sad when people confuse the issues. You never reach a definitive and objective conclusion from scrambled premises. Tutenganishe ubaya wa msingi na mema yaliyofanyika kwa kutumia rasilimali za Taifa, wakati huo huo uwema huo upimwe dhidi ya rasilimali zilizokuwa misappropriated.we need to look at such issues with unquestionable objectivity and put aside our ushabiki. Kuna mambo tunaweza kufanya ushabiki na utani na kuna mambo lazima tuwe serious. Maisha ya watu, haki za binadamu hazina cha kufananisha nayo.