Mkuu kweli we mchokozi, umeenda kuifukua wapi hii thread, mi niliposoma tu heading mbio nikatune ITV nakuta bila.Mwisho wa Siku.
JK Ikulu
Slaa anakula hela bila kulipa kodi
Slaa anashutumu kuibiwa kura (Jambo ambalo hajalithibitisha hadi leo)
Slaa na Mbowe wanamhujumu bwana mdogo Zitto
Kijana aliefukuzwa na Slaa CHADEMA, kaondoka na Nyota yake na kuwapelekea kiti cha Ubunge NCCR
Slaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hana ishu