Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

hahahaha! Huyu Mzee Slaa reminds me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. and this was one of those kicks ... its a mater of time CDM kusambaratika ... Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. !

Wewe uko nchi gani? Mbona una omba dua za mbweha kwa binadamu na mikono yake? Chadema will fluorish and win the upcoming general and by-elections , like it o not.
 
Chadema bado hakijawa chama cha upinzani hasa...hebu kuna walau nukata moja ya sheria za nchi hii mumeshawishi kubadilishwa walau iwemo katika sehemu ya mafanikio yenu...naona mnapwaga tu!

Julius

Chadema hawapo kupigana kulazimisha mabadiliko ya sheria kwa maana ya kumwaga damu na kutoana ngeu

Ili mabadiliko ya sheria kufanyika uwingi wa kura unahitajika, sasa ni wazi idad ya wapinzan bungen haikidhi kigezo hiki kwa maana ya uwingi wa ccm

Hata hivyo mwanzo mzuri wa chadema unawapa faraja walau walalahoi wengi wa inchi hii kutaraji kuipata fulsa ya kupewe haki zao, kielim, afya na miundombinu

Ni kwa kuipatia chadema uingi wa wabunge ndipo utaona mabadiliko unayohoji, kura yako inahitajika kufanya mageuzi ya kweli.
 
Kumbe Chadema,inayojiita chama makini ina ugomvi na hata vyama pinzani?

Baada ya cuf kupoteza mwelekeo kwa kukubali ndoa na ccm kisha kukubali kuparaganyika kufuatia ugomvi wa seif sharrif hamad na hamad rashid ni wazi kwamba wanachama wengi wa cuf wamekata tamaa na hawaioni cuf ikiwaletea matumaini. Sasa kilichobaki kwao ni kuhamia Chadema ili wasijekuachwa na treni ya ukombozi 2015. Hata wewe unakaribishwa kupanda treni ya mabadiliko ya kweli ili usijekulia na kusaga meno come 2015!!
 
Wewe uko nchi gani? Mbona una omba dua za mbweha kwa binadamu na mikono yake? Chadema will fluorish and win the upcoming general and by-elections , like it o not.

Na Dr.Slaa ndiye atakayepigiwa mizinga 21 wakati JK atakapokabidhi the highest government office in TANZANIA, How joyful is it going to be????
 
hahahaha! Huyu Mzee Slaa reminds me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. and this was one of those kicks ... its a mater of time CDM kusambaratika ... Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. !

Viroba (Zed, Tyson, Valeur, Dollors, etc) vipunguzwe kilevi, au iwekwe sheria kuwa mtu apimwe uzito kwanza kabla ya kuuziwa kiroba cha aina yoyote. Kila baa iwe na mzani wa kupima uzito wa wateja.
 
Ah!ccm B kwishnei.....CDM muwapige cc tusha na tunaendelea kuwa arrest develomenti. Pole sultan a.k.a mzee WA kiti cha UN
 
Umechemsha hapo, unaijua kilosa au unaisikia, hii ilikuwa ngome ya ccm na hao wachaga unaosema ni wa kuokoteza usidanganye watu,tekelezeni ahadi zenu sio kuiba na kupeleka fedha uswis , lipo daraja pale kilosa treni na magari yanapita yote humo kisa mmeshindwa kujenga daraja la magari, poleni

Mkuu hujamwelewa Crashwise na wala hujamtendea haki.Rudia kumsoma vizuri btn the lines utamwelewa...M4C forever....
 
Kunguru welcome back

hahahaha! Huyu Mzee Slaa reminds me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. and this was one of those kicks ... its a mater of time CDM kusambaratika ... Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. !

inaonyesha wafuasi wa cuf kilosa wameamka na kugundua kua chama chao ni cha kigaidi kina vikundi kama uamsho so wameona bora wahamie kwenye chama kisichokua cha kigaidi
 
hahahaha! Huyu Mzee Slaa reminds me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. and this was one of those kicks ... its a mater of time CDM kusambaratika ... Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. !

Kauri zako zinanikumbusha matumaini ya mtu anayejua kuwa kifo kina mnyemelea! njiwa, upende usipende "is a matter of time, CCM is approaching a tomb"
 
Mkuu hujamwelewa Crashwise na wala hujamtendea haki.Rudia kumsoma vizuri btn the lines utamwelewa...M4C forever....

Inaweza kuwa sijamuelewa lkn upeo wangu mdogo wa kumuelewa ni kwamba anadai wachaga ni wengi ndio maana chadema imekubalika kilosa,ingawa amemalizia na unachomaanisha sijamuelewa lkn ukweli unabaki kuwa siku zote unapoandika insha lazima uanze na unachotaka mtu aelewe dhamira yako,to me amemaanisha hivyo, si unajua kila mtu anauelewa tofatu? Neno wachaga wengi limeondoa maana ya kile alichotaka kieleweke
 
Mkuu wangu Kamanda Crashwise alikuwa anakejeli Magamba wanaodai CDM ina nguvu sehemu zenye wachaga tu...Crashwise ni mpiganaji nguli wa M4C....
 
Inatia moyo na watu wazidi kufunguka zaidi ili tupate ukombozi kamili
 
Back
Top Bottom