Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

hahahaha! Huyu Mzee Slaa reminds me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. and this was one of those kicks ... its a mater of time CDM kusambaratika ... Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. !

We unatania,subiri uambiwe wale wote walioficha fedha kule uswisi ni makada wa chama cha mabwepande,utabaki mdomo wazi.
 
Siku zote viumbe wa angani hawana uwezo wa kufikiri kwa kuwa wanapigwa sana na upepo sawa nawe njiwa, sikushangai sana
 
Slaa apumzike au atakuja kuangukiwa na majukwaa ,huyu kizere presha za uchaguzi haziwezi kabisa !
 
haya mabadiliko ya katiba yalikumo kwenye ilani ya ccm???
nani aliye sababisha kubalika kwa sheria ya mabadiliko ya sheria ??
kwa hali hii nadhani upo busy mno hata siasa huzijui nakushauri endelea na jukwaa lako la MMU

Pole ndg umeonyesha kama unasaidiwa kufikiri!
 
Back
Top Bottom