Dr. Slaa Arumeru Wangekuuliza hivi..... UNGEJIBUJE??

Swali zuri sana mkuu, ila watanzania tumetekwa na ushabiki, hatusumbui vichwa vyetu kutafakazi maneno kama haya. Hivi kweli kwa nini SLAA akiguswa anakimbilia kusema kma kuna ushahidi na waende mahakamani, yeye wakati anataja listi of shem hakujua kama kuna mahakama au alitudanganya ili apate umaarufu.
Swali zuri kwa watu wanao tumia kamasi kufikilia......kama unataka dr Slaa awaleke mahamakani mafisadi wote basi mimi na wewe tuungane kupigania katiba ili mwisho wasiku tuwe na tume bora na siyo bora tume nina uhakika ataongoza serikali halafu hayo maswali yata pata majibu....
 
Stephen Wassira, Mbunge anayeongoza kwa kusinzia bungeni, yeye aliwaambia wananchi wa Arumeru kuwa Dr. Slaa aliiba fedha za kanisa Katoliki mwaka 1990. Bahati mbaya katika maelezo yote Wassira hakuonyesha ni wapi ziliibiwa, hakusema yeye ameteuliwa na nani kuwa msemaji wa Kanisa katoliki nchini Tanzania. Kanisa katoliki, Taasisi yenye wasomi wengi nchini, ingeweza kweli kukosa wasemaji, mpaka wakachukue wanasiasa wa kiwango cha Wassira? Hivi Waasira anataaluma ya Uhasibu au ukaguzi wa hesabu za Kanisa Katoliki? Na je anajua sababu ya kuondoka Dr. Slaa katika Kazi ya Upadre ilitokana na masuala ya Pesa? . Mwaka 2010 wakati wa uchaguzi Mkuu, CCM walisema kuwa Dr. Slaa alipigiwa kampeni na Makanisa, hivi ilikuwaje watu hawa walioibiwa wakawa na mapenzi na mwizi wao? . Kama Mkapa, Wasira na Lusinde ndio waliochaguliwa na wakaonekana wanafaa na ndio mpaka sasa wamesema hayo, basi CCM hali ni mbaya mno, imekosa wasemaji, imekosa wasafi na inatapatapa tu. Tangu 1990 hadi Sasa Kanisa limekosa msemaji mpaka Wasirra ndo aseme. Aibu tu ya wazee wa CCM.
 
Heshma kwenu wakuu;

Hizi kampeni zinazoendelea Arumeru zimezidi kuonesha picha ya mipasho, majibizano na tuhuma ambazo kimsingi si mahala pake. Mi nadhani kazi walizo nazo wagombea, Kampenin Meneja na viongozi wao ni kumnadi mgombea wao na kuhakikisha kuwa Sera pamoja na Itikadi zinawafika ipasaavyo wananchi ambao ndio Maboss wao.

Na kama si uuzwaji wa Sera basi waendelee na kutanabaisha UDHAIFU wa wapinzani wao na si Personal attacks. Nimeshangazwa na namna ambavyo Dr. Slaa naye anaendeleza tabia ile ile ambayo Vijana wake wameanza nayo ya kushambulia mtu kwa mtu mi nilidhani yeye angetumia busara kurekebisha.

Jana katika Mkutano Dr. Slaa alikaririwa akimtaka Wassira ati kama anaushahidi wa Ufisadi alioufanya akiwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu basi aende Mahakamani kumfungulia shitaka sasa nami nimepata taabu kidogo kama Dr. angeulizwa ni kwa nini na yeye hakuwapeleka wale aliowaita mafisadi (ref. list of shame) Mahakamani kama alikuwa na ushahidi?? Hizi ni athari za kutupiana maneno mtu kwa mtu manake wakati mwingine unaweza kuonekana mwongo ama kusahau pale ambapo unasimamia.

Sera kwanza mipasho baadae...

Ndo sera yake hiyo - hana mpya
 
Waungwana tujenge nchi mambo yakuchafuana na kupotezeana muda hayatatusaidia. Hivi kwanini hatuna shukrani kwa kiongozi ambaye ameamua kutoa ufafanuzi kiurahisi tunamchosha kwa kuwa anafikika? Tutawakimbiza halafu tutajilaumu.
 
Stephen Wassira, Mbunge anayeongoza kwa kusinzia bungeni, yeye aliwaambia wananchi wa Arumeru kuwa Dr. Slaa aliiba fedha za kanisa Katoliki mwaka 1990. Bahati mbaya katika maelezo yote Wassira hakuonyesha ni wapi ziliibiwa, hakusema yeye ameteuliwa na nani kuwa msemaji wa Kanisa katoliki nchini Tanzania. Kanisa katoliki, Taasisi yenye wasomi wengi nchini, ingeweza kweli kukosa wasemaji, mpaka wakachukue wanasiasa wa kiwango cha Wassira? Hivi Waasira anataaluma ya Uhasibu au ukaguzi wa hesabu za Kanisa Katoliki? Na je anajua sababu ya kuondoka Dr. Slaa katika Kazi ya Upadre ilitokana na masuala ya Pesa? . Mwaka 2010 wakati wa uchaguzi Mkuu, CCM walisema kuwa Dr. Slaa alipigiwa kampeni na Makanisa, hivi ilikuwaje watu hawa walioibiwa wakawa na mapenzi na mwizi wao? . Kama Mkapa, Wasira na Lusinde ndio waliochaguliwa na wakaonekana wanafaa na ndio mpaka sasa wamesema hayo, basi CCM hali ni mbaya mno, imekosa wasemaji, imekosa wasafi na inatapatapa tu. Tangu 1990 hadi Sasa Kanisa limekosa msemaji mpaka Wasirra ndo aseme. Aibu tu ya wazee wa CCM.
I support what you have said! It doesn't make sense waibwaji kumtetea muibaji.
 
tatizo lako ukiulizwa maswali magumu hujifanya upo bize na mambo mengine ambayo hudai ni muhimu zaidi ya kile ulichoulizwa.kuingia tu hapa jf kila siku na kupost ***** sio kupoteza muda? Wadanganye hao hao jibu maswali acha kuzuga zuga.Tumeshakustukia huna jipya
WanaJF,
Narudia tena lengo la ku divert attention toka Arumeru to Non Issues hazitafanikiwa. Mimi niko site, nafahamu wana Arumeru wanahitaji nini at this matterial time. Thread hii na nyingine ya aina hii sitapoteza tena muda wangu. Nahitaji Nassari ashinde. Time is money. I will do what my res responsibility demands of me and my answerability for time being is to Wana Arumeru na Watanzania wote ambao kwa dhati wanapiga vita ufisadi, wanataka mabadiliko ya kweli.
 
Hata km una2mwa na hao MAFISADI kuja ku2ma threads zako humu na ww angalau utumie akili yako kdogo,ivi unaposema Dr.Slaa awapeleke MAFISADI mahakamani na hela waliyoiba ni ya SERIKALI who is supzd to take action km sio SERIKALI na ushahidi Dr. alikua nao? imagine waziri tena ni mwanachama wa C.C.M kalishwa sumu SERIKALI hiyo hiyo iliyopaswa kumlinda wanashabikia kwa kutoa majibu ya kihuni thn howcm unategemea Dr. Slaa awapeleke mahakani MAFISADI wakati wenyewe ndo wamekalia system,anachokifanya Dr. Slaa ni kuendelea ku2fumbua macho watanzania ili mwisho wa siku 2weze kufanya mabadiliko cz cc wananchi tuna last say ya kuwaondoa hao MAFISADI
 
tatizo lako ukiulizwa maswali magumu hujifanya upo bize na mambo mengine ambayo hudai ni muhimu zaidi ya kile ulichoulizwa.kuingia tu hapa jf kila siku na kupost ***** sio kupoteza muda? Wadanganye hao hao jibu maswali acha kuzuga zuga.Tumeshakustukia huna jipya

Sasa umeongea nini? THREAD inaongelea Arumeru na Dr anaongelea kuwa buzy Arumeru
 
Ukitumwa tena kifisadi usiende...SLAA Hawezi kumpeleka mtuhumiwa wa ufisadi mahakamani..mhusika mkuu ni SERIKALI...pesa zilizotafunwa ni za serikali...yeye alichokifanya ni kukuonesha mwizi ni yupi .tena akakupa na ushahidi ndo maana hadi sasa kuna wengine wameshashitakiwa na wenyine wamejiuzulu ubunge tayari...

Fikiria kabla ya kutennda au kuwasilisha mada ,usikurupuke kwa kusukumwa na mapenzi binafsi na mlo wa siku moja kama ESAU tumsomae kwenye vitabu vitakatifu...nahsi hata tukikupa kijiji huwezi ongeza hakika kwa sababu nafsi yako imefunikwa na giza tena nene lililosheni uhuni,chuki,ubnafsi,rushwa na tamaa....

Lakini siyo makosa yako nahisi ni malezi.....utabadilika tu.

KWA KHERI...

Majibu yako na hoja yangu havifanani, hakuna kitu kizuri kama kujua hoja na msimamo wa kawaida wa mtoa hoja, umekurupuka kwa post moja kati ya nyingi zinazohusu msimamo wangu kuhusu ufisadi na siasa ngumu za dar.

My brotherly advice, acha upuuzi kijana.... nimezungumzia siasa uchwara, wewe unaniambia Dr. Slaa,

what a waste!!
 
hana cha u buzy wala nini kashindwa kujibu anatoa maelezo mengine.Kama angekuwa buzy kaja kufanya nini hapa Jf? au umbeya na ulomleta.Acha kuburuzwa akili stuka dogo jamaa msanii huyo.Kaiba church sasa yupo uraiani anawakamua,stuka wewe....ebo
Sasa umeongea nini? THREAD inaongelea Arumeru na Dr anaongelea kuwa buzy Arumeru
 
hana cha u buzy wala nini kashindwa kujibu anatoa maelezo mengine.Kama angekuwa buzy kaja kufanya nini hapa Jf? au umbeya na ulomleta.Acha kuburuzwa akili stuka dogo jamaa msanii huyo.Kaiba church sasa yupo uraiani anawakamua,stuka wewe....ebo

Nikishastuka nije CUF au CCM?
 
JF tuna jukumu la kunyoosha siasa uchwara, unfortunately siku zinavyokwenda sie tunakua sawa kabisa na uchwara wenyewe

Ili kuwa na heshima na upeo wa uelewa vizuri, Ma moderator wawe wanafuta mada pamoja na michango ya kuchafua hali ya hewa mara moja! Msafara wa mamba kenge wamo! Ukweli usiopingika tuna uona hata katika pitapita zetu mitaani, huwezi kukosa kuona mtu mzima nadhifu kabisa, lakini kichwani makamasi matupu. Watu hivyo wafanyiwe kazi. Hata kama watalalamika kuwa wanaonewa, Mwisho wa siku ile heshima ya jf ya zamani itarejea. Mod shika fagio, ondoa michongo michafu inayoshushia heshima jukwaa bora kabisa lisilolinganishika Tanzania.
 
Edtume.jpg
 
WanaJF,
Narudia tena lengo la ku divert attention toka Arumeru to Non Issues hazitafanikiwa. Mimi niko site, nafahamu wana Arumeru wanahitaji nini at this matterial time. Thread hii na nyingine ya aina hii sitapoteza tena muda wangu. Nahitaji Nassari ashinde. Time is money. I will do what my res responsibility demands of me and my answerability for time being is to Wana Arumeru na Watanzania wote ambao kwa dhati wanapiga vita ufisadi, wanataka mabadiliko ya kweli.

Heshima yako mkuu. Huko Arumeru uko kwa siku ngapi au mpaka siku ya mwisho wa kampeni? Vipi Josephine na yule house girl nao upo nao wote?
 
daktari wa ukweli alichakachua za kanisa sasa anashirikiana na bob mbowe kuchakachua za chadema.

na yeye anachakachuliwa na josephine. jopsephine namhonga mungu kumpa walinzi wa kanisa.
 
Hapa ndipo napo muheshimu mutikila,hana ubabaishaji wa hovyo hovyo
kama wanasiasa wengine,yeye kama mtanzania ni haki yake kumshitaki yeyote
anae iba mali za serikali.

Dr.Slaha hana chembe ya ukweli.

Mtikila amewahi kumshitaki nani aliyeiba mali za serikali? ukielimishwa elimika Mtikila hufungua kesi za kikatiba au mashauri ya madai na hayo hufanywa na watu wengi sema Mtikila ni famous lakini mashauri ya jinai mshitaki ni serikali kupitia kwa DPP na sio mtu binafsi
 
Wakubwa,
Kupanga ni kuchagua. Nimekuja Arumeru kufanya kazi iliyoko mbele yetu. Pamoja na njema ya kutaka kutoa usahihi wa taarifa kila inapohitajika, kupashana habari ninachagua sasa kufanya kazi Arumeru. Sitapoteza muda wangu muhimu kwenye kujibu propaganda au jambo ninaloona halina tija kwa wananchi wa Arumeru au maneno ya kulishwa kama mtoa thread hii anavyofanya. Wenye nia njema wafanye kwanza utafiti. Wanafalsafa wanasema adhabu ya mpotoshaji, mwongo,mzushi ni kum ignore.

daktari wa ukweli unalipwa ngapi kwa siku kukaa arumeru?
 
Swali zuri sana mkuu, ila watanzania tumetekwa na ushabiki, hatusumbui vichwa vyetu kutafakazi maneno kama haya. Hivi kweli kwa nini SLAA akiguswa anakimbilia kusema kma kuna ushahidi na waende mahakamani, yeye wakati anataja listi of shem hakujua kama kuna mahakama au alitudanganya ili apate umaarufu.

Kweli ni swali zuri kwako lkn si swali la kuwauliza watu wenye akili zao hapa JF. Dr.Slaa hana dola na ndio maana anaikosoa dola iliyopo. Government Prosecutor anaajiriwa na Dr.Slaa au serikali? Ninashangazwa na namna ulivyojinadi kuwa umefikiri kabla hujaandika huu uchwara na kumpongeza mwenzio alioupost: kwa hiyo haya ndio uliyoyaona baada ya kufikiri?

Ngoja basi nikuoneshe ujinga wako, wa CCM na dola yetu: Siku Didas Masaburi aliposema kuwa wabunge wa DSM wanafikiri kwa kutumia 'masaburi' hakuwa ameanzia hapo. Ishu ilikuwa kuwa wanamfuatafuata. My concern is what he said next; "kama wakiendelea kuniandama basi na mimi nitasema madudu yao, wasifikiri mimi sijui madhambi yao". Kama wewe huwa unafikiri, basi ungeona kuwa hapa kuna walakini. For what I know, blackmailing ni criminal offense. Sasa wewe mwenye kufikiri unaweza kuniambia kwa nini mpk sasa Polisi/Mwanasheria Mkuu wa CCM (AG) na wazee wa habari za kiintelijensia hawajafanyia kazi tishio hilo na kumwajibisha masaburi?

Imani yako kwa serikali inayoongozwa na CCM ndio kipimo cha uwezo wako wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom