Dr. Slaa Arumeru Wangekuuliza hivi..... UNGEJIBUJE??

tatizo lako ukiulizwa maswali magumu hujifanya upo bize na mambo mengine ambayo hudai ni muhimu zaidi ya kile ulichoulizwa.kuingia tu hapa jf kila siku na kupost ***** sio kupoteza muda? Wadanganye hao hao jibu maswali acha kuzuga zuga.Tumeshakustukia huna jipya
Wajinga mpo wengi, tatizo lako unanufaika na serikali ya mafisadi na ndio maana upotayari hata kufa ukiitetea serikali hiyo. Na kwa upumbavu wako unadhani watu wote tupo pamoja na nyie wehu.
 
Hivi kumbe unaweza mpa mtu heshima kumbe ni hovyo kabisa hayo majibu yako Daktari ni ya hasira ama!!!! Never exoected this from the so called you.

Kwanza kama kweli uko busy ungeacha kujibu mpaka utakapopata hicho unachookiita ushindi, lakini pili kea jinsi ulivyojibu ni kama vile hili jambo linakuumiza sana na hutaki lizungumzwe na tatu ningeona BUSARA sana kama ungesoma thread na kuielewa kimantiki na ujumbe uliobebwa na thread hii ni kutokukutaka wewe kuendelea na majibizano badala yake waambie watu wa Meru kwa nini uko huko! Uelewa wako uliucha wapi wakati ukitoa majibu yako hayo???

Nashukuru Mungu wachangiaji wamekupa vya kutosha japo hukustahili hayo ila kukurupuka ndiko kulikosababisha hayo yote. Hii ni hatari sana umekuja kuwaje ghafla???? Kuna thread kaiandika Mzee Mwanakijiji humu kama angekuwa na uwezo angewacharaza Viongozi wa CDM Taifa nafkiri kwa unakoelekea angeanza na wewe aisee khaaa!!!

Halafu principally "he who allege must prove either byond no doubt or rather in the balance of probability" sasa elimisha vijana wako kwamba kama ulivyomtaka Wassira nawe pia ni jukumu lako hilo. Acha nyeusi iwe nyeusi na si nyeupe

Napata mashaka kuna mtu anatumia ID ya Dr Slaa humu. Huyu si yeye halisi huyu! Kwa majibu haya? Hapana.
 
Ili kuwa na heshima na upeo wa uelewa vizuri, Ma moderator wawe wanafuta mada pamoja na michango ya kuchafua hali ya hewa mara moja! Msafara wa mamba kenge wamo! Ukweli usiopingika tuna uona hata katika pitapita zetu mitaani, huwezi kukosa kuona mtu mzima nadhifu kabisa, lakini kichwani makamasi matupu. Watu hivyo wafanyiwe kazi. Hata kama watalalamika kuwa wanaonewa, Mwisho wa siku ile heshima ya jf ya zamani itarejea. Mod shika fagio, ondoa michongo michafu inayoshushia heshima jukwaa bora kabisa lisilolinganishika Tanzania.

tumeishajua Jf ni ya chadema wala hilo halitusumbui mwambie afute tu na abakize thread za chadema zenye kumsifia padre mstaafu na housegirl wake basi.
 
Kukutiaole na wenzako nyie ni wazandiki,mleteni mukama wenu live ajibu hapa kama atakuja,2nafanyakazi na viöngozi wa watu kama Dr slaa na si hao miungu watu wasiojitokeza ktk society hizi.dr wala hajalumbana na sokwe mtu,dr ameonyesha uvumilivu mkubwa dhidi ya hao magamba.slaa be quet at al,lead da campagn there,w stil 2gether daily.
 
Dr wa ukweli katoa orodha ya mafisadi na ushahidi na vielelezo vinavyojitosheleza. Si mtu wa kukurupuka kama...Lakini kama waliotuhumiwa na Dr ni mafisadi na wao wanaamini si kweli kwa nini hawakumshtaki?HILI LINATHIBITISHA NI MAFISADI na hata na wewe naamini unalelewa kuwa FISADI hatari wa baadae!
 
JF tuna jukumu la kunyoosha siasa uchwara, unfortunately siku zinavyokwenda sie tunakua sawa kabisa na uchwara wenyewe

umenena mkuu, yaani mimi jf nakaribia kuichoka, mada zetu za siku hizi utakuta mipasho ya ccm na chadema ni 99% na 1% ndo masuala ya maana yasiyohusiana na mipasho ya uchadema na uccm, halafu nao ma-mods sijui wamejisahau wanachokifanya, maana itafika siku mtu akigombana na jirani yake atakuja kuandika thread ya kumsuta kisa ni chadema au ccm, leteni maada zenye mguso wa kijamii kama lilivyo jina la forum yetu tuzijadili kama mmekosa mwaweza kukaa kimya au kama mnataka jukwaa la kusutana kati ya ccm na chadema pia mnawekuomba mods wawaongezee pia utakuwa sawa tu, mi nilitegemea kuwa ccm au chadema wakikosea kule majukwaani hapa ndo mahala pa kuwapa mwanga wa kujua kuwa walikokuwa wanaelekea ni kubaya lakini sisi ndo tumekuwa vuvuzela za kuhamasisha upumbavu unaoongelewa huko majukwaani.
 
Wakubwa,
Kupanga ni kuchagua. Nimekuja Arumeru kufanya kazi iliyoko mbele yetu. Pamoja na njema ya kutaka kutoa usahihi wa taarifa kila inapohitajika, kupashana habari ninachagua sasa kufanya kazi Arumeru. Sitapoteza muda wangu muhimu kwenye kujibu propaganda au jambo ninaloona halina tija kwa wananchi wa Arumeru au maneno ya kulishwa kama mtoa thread hii anavyofanya. Wenye nia njema wafanye kwanza utafiti. Wanafalsafa wanasema adhabu ya mpotoshaji, mwongo,mzushi ni kum ignore.

Huyu sio Slaa, ninayemjua, Mkuu mbona majibu yako yamekuwa ya kuhamaki.
 
WanaJF,
Narudia tena lengo la ku divert attention toka Arumeru to Non Issues hazitafanikiwa. Mimi niko site, nafahamu wana Arumeru wanahitaji nini at this matterial time. Thread hii na nyingine ya aina hii sitapoteza tena muda wangu. Nahitaji Nassari ashinde. Time is money. I will do what my res responsibility demands of me and my answerability for time being is to Wana Arumeru na Watanzania wote ambao kwa dhati wanapiga vita ufisadi, wanataka mabadiliko ya kweli.

W. Slaa,
Punguza jazba Mkuu kuja kujibu humu Jamvini sio kupoteza muda mbona mara kwa mara unakuja Jamvini na kujibu au Mkuu umezoea kujibu maswali rahisi na ya kawaida ya Pro-Chadema JF? naona kwako kujibu maswali ya wapinzani wako ni kupoteza muda wako, lakini kumbuka watanzania wote sio wafuasi wa Chadema, kama utakuwa unachaguwa wa kuwajibu utakuwa unafanya makosa makubwa.
 
Hivi kumbe unaweza mpa mtu heshima kumbe ni hovyo kabisa hayo majibu yako Daktari ni ya hasira ama!!!! Never exoected this from the so called you.

Kwanza kama kweli uko busy ungeacha kujibu mpaka utakapopata hicho unachookiita ushindi, lakini pili kea jinsi ulivyojibu ni kama vile hili jambo linakuumiza sana na hutaki lizungumzwe na tatu ningeona BUSARA sana kama ungesoma thread na kuielewa kimantiki na ujumbe uliobebwa na thread hii ni kutokukutaka wewe kuendelea na majibizano badala yake waambie watu wa Meru kwa nini uko huko! Uelewa wako uliucha wapi wakati ukitoa majibu yako hayo???

Nashukuru Mungu wachangiaji wamekupa vya kutosha japo hukustahili hayo ila kukurupuka ndiko kulikosababisha hayo yote. Hii ni hatari sana umekuja kuwaje ghafla???? Kuna thread kaiandika Mzee Mwanakijiji humu kama angekuwa na uwezo angewacharaza Viongozi wa CDM Taifa nafkiri kwa unakoelekea angeanza na wewe aisee khaaa!!!

Halafu principally "he who allege must prove either byond no doubt or rather in the balance of probability" sasa elimisha vijana wako kwamba kama ulivyomtaka Wassira nawe pia ni jukumu lako hilo. Acha nyeusi iwe nyeusi na si nyeupe

Japo unajitahidi kujitutumua kutetea thread yako lakini bado dhamira yako iko weak sana. Na kibaya zaidi ni kwamba you already set you mind. Pole sana kwa kuingizwa choo cha kike. Shame on your face!!!
 
Toka mfumo wa vyama vingi urudi sijawahi kuona kiongozi kama DR. W.P Slaa, huyu nikiongozi mwenyesifa ya pekee anauwezo wa kuchukua mda wake hata kidogo na akafanya mijadala na watu wa aina zote ...na wala haogopi kukosolewa kwa maana hajifichi anajitokeza wazi katikamijadala mbalimbali. Ha wezi kupendwa na watu wote na ikitokea hivyo basi hatakuwa kiongozi bora maana hata Yesu hakupendwa na watu wote tofauti ni idadi tu. Kwahiyo nyie msie mpenda au kumkubali poleni sana kwa maana mnateseka sana kwa maana mtu huyu ana watu wengi sana wanao mkubali......
 
WanaJF,
Narudia tena lengo la ku divert attention toka Arumeru to Non Issues hazitafanikiwa. Mimi niko site, nafahamu wana Arumeru wanahitaji nini at this matterial time. Thread hii na nyingine ya aina hii sitapoteza tena muda wangu. Nahitaji Nassari ashinde. Time is money. I will do what my res responsibility demands of me and my answerability for time being is to Wana Arumeru na Watanzania wote ambao kwa dhati wanapiga vita ufisadi, wanataka mabadiliko ya kweli.

All the best Dr !
 
Back
Top Bottom