JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 7,525
- 7,574
Yakhe! We hauli bwana. We waliwa tu!
utajijuu!kelele zamlango haziinyimi ccm kutawala, ukisusa wenzio twala
utajijuu!kelele zamlango haziinyimi ccm kutawala, ukisusa wenzio twala
Mrema hakuwahi kuunda chama chake.Hayo uliyo yaongea siwezi kubisha wala kuyasuport,,
Kwakuwa Marando alishiriki kuifanya NCCR mageuzi kuwa pale na ndiye aliye mfanya Mrema kuamua kuunda chama chake,,,
lakini tukumbuke Pia SLAA ni bora zaidi kuliko kikwete
Watanzania muwe macho na watu waliochoka amani. Dr slaa, inaonesha ni kwa jinsi gani ambavyo alitegemea kwa kuwahadaa wananchi wangempa kura. Kumbe hakuna kitu. Nilitahadharisha yale ya Mrema ya 1995 yasije yakamkuta, lakini mzee wa kibandiko yeye akujali leo ni mbunge mteule. au inawezekana walio karibu na Dr wa Kanisani walimdanganya na baadae achekwe. Kubali matokeo au leta yako yalinganishwe na ya kiravu na makame ndo tuelewe mbivu na mbichi. Sisisi tumemaliza uchaguzi lililobaki ni kusonga mbele. unadai uchaguzi wa rais urudiwe kwa nini usiwe uchaguzi mzima hata wabunge wako wapigiwe kura. jitahidi sana kufikiri kabla ya kutamka.
I hope watu wanajua madhara ya kauli ya Dr. Slaa.... CUF walishindwa kuitawala Tanzania wakitokea Pemba, vivyohivyo CHADEMA hawatoitawala Tanzania kama wataendelea kujifungia Uchagani na kuishi katika ndoto na Fikra za MZEE MTEI. Ningependa kuona vyama vya upinzani vyenye sura ya kitaifa zaidi. Laiti kama CCM wasingefanya kosa kwenye kura zao za maoni ndani ya chama, sidhani kama CHADEMA wangepata japo hicho kidogo walichopata:nono:... usipanic:A S angry:...fikiria kwanza...

sijui mmetumwa au mnabadilisha ID, mnakera kweli.Nasisitiza... CHADEMA walimtumia Dr. Slaa kuongeza idadi ya WABUNGE lakini sikuona maandalizi yoyote ya kumpa kiti cha Urais!!! Na siyo kweli kwamba CHADEMA ina wanachama wengi, kama umetafiti vizuri utagundua kwamba wana-CCM wamepigia kura wapinzani hasa Wabunge. Na hiyo imetokana na kutokuheshimiwa kwa Demokrasia ndani ya vyama kwamfano: CHADEMA wamepoteza jimbo la TARIME baada ya kumkataa bwana Mwera ambaye alikuwa anakubalika na wengi kisha kina Slaa wakamweka mtu wao ambaye ameshindwa...mbona hili hawalisemi? Dhambi ya kudharau demokrasia imevitafuna vyama vya siasa mwaka huu na wala siyo wizi wa kura......