Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

hata akipinga Kikwete atakuwa raisi tu.
aende Vatcan akapinge


Nilikuwa sijui kuwa hata soda zinalewesha! sasa Vatican ina uhusiano gani na,
icon1.gif
Re: Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume.


:puke:Soda!!
 
Tulishawaambia hapa hapa JF, huyu Slaa ni chizi. Mtu una over 40 years bado unaishi na mchumba? Bado mnasema ati maisha ya mtu binafsi hayana uhusiano na SIASA? Muhimu kawezesha watu kubadilika kimawazo na kuchangamsha nchi sana. Vinginevyo, hata itokee malaika kushuka, kamwe hawezi kuwa Rais wa nchi yoyote Duniani.

Kuishi na mchumba na urais vinahusiana nini? Mbona kuna viongozi wa chama flani ni mafuska na mashoga hatusemi. Tunaheshimiana. Toa hoja mdau achana na maisha binafsi hayahusiki kabisa
 
MGOMBEA urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema), Dk Willibrod Slaa amesema, atayakataa matokeo ya urais yatakayotangazwa na Tume ya Uchaguzi (NEC) kwa kuwa kumefanyika wizi mkubwa wa kura.Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Dk Slaa alisema, kama NEC inaitakia mema nchi hii, ifute matokeo yote ya urais na uchaguzi urudiwe upya.

Dk Slaa ambaye pia ni Katibu Mkuu wa chama hicho, alisema wamekuwa wakifuatilia matokeo ya nchi nzima kwa umakini mkubwa na wamegundua kuna wizi mkubwa wa kura kwenye nafasi za urais na ubunge.

"Kuna uchakachuaji mkubwa wa kura na kazi hiyo inafanywa na usalama wa taifa,"alisema Dk Slaa.

KUTOKA MWANANCHI UPDATES
 
tulishawaambia hapa hapa jf, huyu slaa ni chizi. Mtu una over 40 years bado unaishi na mchumba? Bado mnasema ati maisha ya mtu binafsi hayana uhusiano na siasa? Muhimu kawezesha watu kubadilika kimawazo na kuchangamsha nchi sana. Vinginevyo, hata itokee malaika kushuka, kamwe hawezi kuwa rais wa nchi yoyote duniani.

wewe tumia ubongo usiwe na jazba!
 
This is going to backfire. You watch. There goes the credibility. No spine. We knew all along Maalim Seif has more spine than your boi Slaa.

Mmeshaona waTanzania wote wahuni. Haya jipangeni kuingia mtaani. And we will see.
Acha vitisho wewe! Wewe ni nani katika nchi hii mpaka kutishia watu? Eboo!
 
Wewe hujui hata siasa unasoma vitabu vya Propaganda unasema IDI AMINI alikua dictator si kweli waulize waganda wenyewe. Mkwere yuko fresh ametia Discipline kidogo maana kuna watu waliona nchi hii wao ndo wanahaki peke yao kwa hiyo kukosa upendeleo mimacho imewatoka wala siwashanghai. mme data baada ya kuona hamna pa kushika mnakimbilia sasa upinzani, upinzani ulikuwa 1995 sio sasa. saahizi ni mahangaiko tu ya waliotoswa na MKWERE anataka lelemama mkwere!

BabieWana
user-online.png

Junior Member
Join Date:3rd November 2010 (today)Post: 9
 
Mimi naona jamaa katumwa na Mwamnyange - akatae, watu waingia barabarani kutwangana, baada ya 3hrs, tuambiwe state of emergency, sisi kama jeshi hatutambui yeyote, nyambafu watu walale saa 9 mchana, chacha,mwita na marwa wafanye kazi.........nukira wigure.
 
Kama wameiba basi wameiba ubunge na urais. Chama ambacho kimeshindwa kupata hata viti 30 vya urais kati ya 239 kinawezesha kushinda urais?

Haiwezekani hao wameshindwa tu na wanatafuta visingizio.

Kama 50% ya usalama wa taifa wana report kwake si awaambie wawakamate hao wanaochakachua matokeo?

Hapo tuanze kufikiria 2015, haya ya mwaka huu yameisha.
 
mi nafikiri kama ni kurudi turudie hii wa marais wabunge na madiwani

tuachane nao
 
Sielewi nikitu gani anakitaka huyo DR SLAA haswaa pale anapo dai kwamba wamechakachua matokeo {KWA HIYO ANAMANISHA KWAMBA YEYE NDO ALIPASWA KUSHINDA AU ANAMAANA KITU GANI?}:thinking: jamani asije tupeleka BAGHDAD
 
Naanza kuikumbuka thread ya yule mr./ms Hutaki Unaacha. Naona ndiko tunakoelekea
 
Ikiwa CCM haiko tayari kufuata miiko ya demokrasia, kwa nini wakakubali mfumo wa vyama vingi? Au kwa ajili ya fedha za wahisani tu?
NI AIBU, AIBU, AIBU.
 
Kweli dr, hapa lazima kuna kitu, kila ninaekutana nae kachoshwa na ccm, watu pekee wanaoendelea kuishabikia ni wale wenye manufaa binafsi kama kina kibonde & co ambao nao si wengi kihivo, kama watu wengi, kama nec inavotaka tuamini, wana faidika na ccm basi kusingekua na manung'uniko mengi namna hii. ukijumlisha wale wa kina kibonde, uhuru fm, mhariri wa daily news, familia za ikulu na ndugu zao na wafanyabiashara wawili watatu wa kiarabu kura haziwezi kuwa nyingi kivile

SWALI: Zile kura zinazosomwa na NEC zimetoka wapi?
 
For Uselemani, gosh kuna kipofu asejua CCM ni gaidi wa wizi, unajaribu kumhadaa nani hapa, nenda michuzi labda kwa vibaraka wenzio. NEC=CCM nani asiejua? nani asiejua SLaa ameongoza kwa kura kwa trend za vituo vilivyoonyesha?? we unafikiri watu wanapinga bure , mbona mbowe hakupinga ?? unafikiri watu wanakurupuka? NAkwambia hata haki inyimwe vipi nguvu ya umma itaitafuta tuuuuuu. U can never hide light with darkness. JK aone kabisa asivyopendwa kwa uzandiki wake ? Dhambi aliyomfanyia Salim ahmed Salim kuwa si raia itaendelea kumtafuna hadi kiama hadi kwa mola wakee. Na dhambi hiyo hiyo ndio inatukost taifa letu leo, kila daladala ukipanda, kila kijiwe , kila mkusanyiko (kasoro wa vibaraka kama wewe) wanalalamika uongozi mbaya , uozo WA JK na ufinyu wa sera.
Inshallah Allah yupo na JK dhamira itamsuta tu , kama si leo ipo siku . Na najua hata wewe ndani ya dhamira yako unasutwaaa...utahide ila unasutwa , unapojua nchi ina hela na rasilimali nyingi ila wagonjwa wanakufa kwa kukosa dawa wakati JK na wenzie wanaenda checkup Marekani, ukiangalia temeke hosp wajawazito wanalala watu nane..... huku Spika yuko uingereza kwa mamilioni ya pesa, hakika kama una dhamira utachukia na pengine chozi litakutoka...........unapoona mashangingi barabarani huku wanafunzi na usafiri wa umma ni mateso na dhiki ....walahhi utaumia roho. Ila kwa wasipoenda haki (kama wewe), wanaopenda kula huku wengine wamelala njaa (kama wewe) wanaopenda kwenda ujerumani kucheki afya huku maelfu wamepanga foleni ya kupata panadol na wataambiwa wachangie ndio hao ambao dhamira zao zimekufaaaaaaaaaa na watanedelea kushangilia ufisadi wa CCM.

Chifu--
Pole na hasira. I love my country just like you do. Also, pole na kushindwa kwa Slaa. Ndio Demokrasia. Tanzania ina mikoa 25, with the size larger than France and Germany combined. Its a very big country and with a very diverse population. To win an election in this country, you need to solicit every vote from every corner. That is the strategy.

Chadema did not solicit every voter in Tanzania. CCM did. And they were paid off. I know its hard to swallow. Look, you invest mijini and you were rewarded by wabunge. Next time invest vijijini and maybe you can challenge CCM.

Hamjaibiwa kura jamani. Hamkujipanga vizuri.
 
Back
Top Bottom