Dr. Slaa Akamatwe, ahojiwe na ikiwezekana achukuliwe hatua

Heshima Mbele,

Mhe. Dr. Slaa anahitajika kukamatwa na Vyombo vya sheria hasa baada ya kuwa na Nyaraka ambazo ni siri za Serikali alizozipata kutoka wizara ya Mambo ya Ndani.Tunatambua ni kosa kisheria kwa Mtanzania yeyote kuwa na nyaraka za siri za serikali.

Nchi hii inaongozwa kisheria,na tumekuwa tukipigania hili siku zote .Kwa mtazamamo wangu Naona kuna haja ya Dr. Slaa kuhojiwa hata kukamtwa kwa kumiliki nyaraka za serikali!
wewe unaongea pumba hapa? keshawashika pabaya ndio maana unapayuka payuka hapa.gadafi mwenyewe kawa dikteta kwa zaidi ya miaka 40 lakini sasa hivi keshakalia kuti kavu watu wanampulizia upupu tu sasa ivi ...next is ccm
 
Akamatwe Mchungaji Mzinzi huyu hatuwezi kuongozwa na WAZINZI Kama huyu hata mke hana ana KIMADA tu tena Wa KUMWIIBA
 
wamkamate waone kitakachotokea huko mahakamani!,siri gan ya kipuuz isiyo na maslah kwa taifa?,haya ngoja 2one kama watafuata huo ushauri wako..
 
Heshima Mbele,

Mhe. Dr. Slaa anahitajika kukamatwa na Vyombo vya sheria hasa baada ya kuwa na Nyaraka ambazo ni siri za Serikali alizozipata kutoka wizara ya Mambo ya Ndani.Tunatambua ni kosa kisheria kwa Mtanzania yeyote kuwa na nyaraka za siri za serikali.

Nchi hii inaongozwa kisheria,na tumekuwa tukipigania hili siku zote .Kwa mtazamamo wangu Naona kuna haja ya Dr. Slaa kuhojiwa hata kukamtwa kwa kumiliki nyaraka za serikali!

Hivi aliendakia hii ni Mtanzania au ni Mganda? Kumbe kuna nyaraka za siri za ccm? Kweli ujinga upo kwa wachache. Tuone kama mnauwezo wa kumkamata Dr Slaa. Mkifanya au kudhubutu hata kumsogelea tunawaonyesha wananchi ni nani hapa Tanzania. Wizi mjaa nao kila mahali, ofisi ya raisi, wizara zore, makampuni ya wananchi na kila mahali mnafanya unyama na kudai mna siri. Siri gani mnazo za wananchi? Kuna kitu cha kwenu Tanzania au Mmechangayikiwa? Wote wananchi wanaofanya kazi usalama wa Taifa wanaotupa hizi inform hawa ndio "Watanzania Mashujaa" Wengi hawapendi Kikwete na Gang wake wanachokifanya kwa Watanzania. This is a end of ccm, mwezi huu kumekucha.
 
Ni haki ya wananchi kujua ukweli,na wa kumlaumu sio slaa but the peole who are so tired in the system ambao wameweza kutoa hizo nyaraka unazosema.:blah:
 
Siri gani.......
Docs za serikali unaita siri kwa wananchi wake?
Vp zile zinazofungia maandazi uswazi?
Jiulize pia,alivunja macabinet yao na kuzichukua?
 
Siri zipi hizo? Zile za meremereta amabzo serikali inadanganya watz kuwa mambo ya kijeshi hivyo zisihojiwe wakati tunajua ni mradi wa kikwete na wenzake?..............mnadhani kukamata mtetezi wa wanyonge km dr.slaa ni kazi rahisi?.....wenye kujaribu wathubutu.....lkn kwa nini ameachwa muda mrefu baada ya hata kumtaja kikwete kwenye list of shame na kujiaminisha kwa watz kuwa ukiona mtu niumefikia hata hatua ya kumtaja rais wa nchi na sijakamatwa basi ujue mimi sio mtu wa kawaida kwani nina data zote.........?
Serikali isije ikarogwa kumkamata dr.slaa rais wetu
 
1. kwa jinsi cdm wanavyofanya mikutano yake na kuahamasisha watu kuichukia serikali

Je DR Slaa na Cdm wanafanya UHASI kwa serikali

Je wakamatwe wafungwe?

2. Wakati Dr Slaa akiwa mwanza aliongelea kuwa Dowans ilimumilikisha Rostam Aziz
akaongelea kuhusu kesi ya ICC ambayo iko mahakamani

Je Dr Slaa hajavunja sheria/katiba ya nchi? kwanini asikamatwe na kufungulia mashitaka?


Nawakilisha

Nahisi umetumwa kama sio muhusika wa hayo tunayopigia kelele
 
Serikali ni sisi wananchi, hivyo siri ni za kwetu sisi kunaubayagani tukazifahamu, hizi habari za siri ndio zinatupeleka pabaya, issues nyingine zinazotakiwa kua communicated kwa wananchi na zenyewe zinakua siri kiasi kwamba watu hawafahamu haki zao kwa kua they are not well informed, kila kitu siri TZ hii.
Mikataba mibovu nayenyewe ni siri, ingewekwa hadharani mapema wa TZ tungeisoma tungeweza kuwastua hao wenyedhamana mapema kwamba huu kanjanja huu swaafi na ikasaidia.
 
heshima mbele,

mhe. Dr. Slaa anahitajika kukamatwa na vyombo vya sheria hasa baada ya kuwa na nyaraka ambazo ni siri za serikali alizozipata kutoka wizara ya mambo ya ndani.tunatambua ni kosa kisheria kwa mtanzania yeyote kuwa na nyaraka za siri za serikali.

Nchi hii inaongozwa kisheria,na tumekuwa tukipigania hili siku zote .kwa mtazamamo wangu naona kuna haja ya dr. Slaa kuhojiwa hata kukamtwa kwa kumiliki nyaraka za serikali!

gembeeeee safi sana..
Gembeeeee wafungue waliofungwa na vifungo vya mageuzi
gembeeeee ikiwezekana kwakuwa serikali ina mkono mrefu wakamate na wamiliki bwa wikileaks kwani wana nyaraka nyingi tu za serikali yetu

gembeeee kaza buti usirudi nyuma
 
Dr. slaa kuwa na siri wa kulaumiwa ni yeye au hiyo serikali yenyewe.. watumishi wenyewe wameshachoka na hiyo serikari yao kutokana na wimbi la ufisadi na kutokuwa na utawala bora.. Siri tunavyojua ssisi zinatakiwa kuwa na usalama wa taifa sasa inakuwaje wapinzani wanazipata..it shows how the system itself is corrupt.:hand:
 
Tatizo siyo kupokea Nyaraka za Siri kama unavyopendekeza Hapo,Ni yeye kumiliki Nyaraka za Siri za serikali.Sheria Zipo na lazima zifuatwe!

Tunataka Utawala wa Kisheria,Kwanini hatuoni hili linahitaji kupewa kipaumbele?

Kama kweli hizo ni nyaraka za siri na serikali inalitambua hilo ingemkamata lakn hizo si nyaraka za siri kwa serikali ila kwenu ninyi mnaotaka Dr. akamatwe.
 
Back
Top Bottom