Dr. Slaa Akamatwe, ahojiwe na ikiwezekana achukuliwe hatua

1. kwa jinsi cdm wanavyofanya mikutano yake na kuahamasisha watu kuichukia serikali

Je DR Slaa na Cdm wanafanya UHASI kwa serikali

Je wakamatwe wafungwe?

2. Wakati Dr Slaa akiwa mwanza aliongelea kuwa Dowans ilimumilikisha Rostam Aziz
akaongelea kuhusu kesi ya ICC ambayo iko mahakamani

Je Dr Slaa hajavunja sheria/katiba ya nchi? kwanini asikamatwe na kufungulia mashitaka?

Nawakilisha

Chui aliyevaa ngozi ya Kondoo utamjua tu!
 
Huyu mtu kauliza maswali na sidhani kuuliza ni ujinga. anayeuliza maana yake hajui na ndiyo maana anauliza akikaa kinya bila kutafuta taarifa atakua mpumbavu. Ngoja me ni msaidie kidemokrasia hiyo inaruhusiwa kuwafumbua akili watu kuhusu mahitaji muhimu na haki zao za msingi. Labda niweke wazi tu kuwa kila mtu ana haki ya kupata au kutoa taarifa za kidekrasia ilimradi tu demokrasia hiyo iwe na haki siyo kupandikiza chuki binafsi au kuhamasisha watu kuvuruga nchi.

Pili ni kwamba kuna vyama vya sias vinavyopata hela kutoka kwa wahisani kwa minajiri ya kusambaza elimu ya demokrasia.

Pole ndugu Keykey kwa matusi uliyotwishwa na wengine wasiojua maana ya kuquest for truthful information.

ujumbe "siwezi kumuua mwanangu kwa kuwa tu nataka afuate matakwa yangu"
 
Hakuna hoja ya msingi ya kujadili kwa kuwa mtoa mada hajaonyesha ni vifungu vipi vya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 vimevunjwa,unataka watu wajadili basing on what!!

katiba ya Tanzania

30. D) kulinda sifa, haki na uhuru wa watu wengine au maisha binafsi ya watu wanaohusika katika mashauri mahakamani, kuzuia kutoa habari za siri; kutunza heshima, mamlaka na uhuru wa mahakama
 
Jeykey wa ukweli,,,,kama wewe haya maisha magumu hayakugusi then uwe wa kwanza kumkamata Dr Slaa,
saa ya ukombozi ni sasa
 
1. kwa jinsi cdm wanavyofanya mikutano yake na kuahamasisha watu kuichukia serikali

Je DR Slaa na Cdm wanafanya UHASI kwa serikali

Je wakamatwe wafungwe?

2. Wakati Dr Slaa akiwa mwanza aliongelea kuwa Dowans ilimumilikisha Rostam Aziz
akaongelea kuhusu kesi ya ICC ambayo iko mahakamani

Je Dr Slaa hajavunja sheria/katiba ya nchi? kwanini asikamatwe na kufungulia mashitaka?

Nawakilisha

Dr. Slaa si kaishiwa sera, hana hoja, iliobaki anatafuta kila anapoona hapa ntaandikwa kwenye magazeti nipate umaarufu anatumia mwanya, si unajuwa jinsi RA na Kikwete nyota zao zilivyo juu, ukitaja tu jina lao na kuwahusisha na chochote unajipatia umaarufu wa bure, kwa kuwa wanauzika!

RA na JK ni hot cake kwa wauza magazeti na Slaa kwa ubunifu wake kaliona hilo na anatumia hiyo fursa, hata kwa kusema uongo, mradi jina la JK au RA liwemo. Sasa wewe unaamini kweli Dowans ni ya RA. kwani kama ni yake ni kwa nini asiseme hii ni kampuni yangu, kwa kuwa Dowans haina kosa ililofanya au wana kosa walilofanya? Slaa atakwambia wanalo. Ma-Judge wa kimataifa wanakwambia hawana kosa, sasa dokta wa kanoni mwenye makosa ya kijamii atashindana na ma-judge waliobobea kwenye fani zao na wanaaminika kimataifa?

Si RA wala JK wala mwenye akili timamu yeyote ataemshitaki Silaa, kwani hicho ndicho anacho-kitaka ili ajipatie umaarufu wa bure. Anawachwa apayuke hovyo kama dasturi yake.
 
trash-can-full-of-trash.jpg
 
Peleka mawazo haya kwa shemejiye mkwere, polisi namba moja. Naamini atakuelewa tu.
 
kwanini wabunge wa cdm wanavunja katiba ya nchi, wanapeleka mambo ya mahakana hadharani??

Je serikali iwakamate wote na kuwafungulia mashitaka?
 
Yaani watu wana mawazo ya ajabu sana humu,....afu jukwaa linaitwa la "Great thinkers" kwa kipimo kipi?

Kujibu hoja kwa matusi bila kutoa utetezi wako?Hata kama ana mawazo ya ajabu mi namuona ana akili maana yeye ndo kafikiria "wengine wote wanao mjibu matusi hawaweki akili zao kazini kabisa
Kwanini msimjibu kwa hoja na kuonesha kwamba sheria haijavunjwa?
"Mkuu nimekueleza kwanini huyu mtoa mada anatukanwa ikiwezekana na wewe tuendako watakutukuna kwakuwa utarandana na mawazo ngando hivyo nawewe kuonekana mgando!!Kwenye red na majibu yake!!
kwa jinsi cdm wanavyofanya mikutano yake na kuahamasisha watu kuichukia serikali
Hapo wanahamasisha vipi wakati wanatumia haki yakikatiba kuieleza jamii uozo unaofanywa na serikali!!
Je DR Slaa na Cdm wanafanya UHASI kwa serikali
Hapo ni uhasi hupi umefanyika wakati ameomba vibali kwa dola ya ccm!!Nakupewa ulinzi!!!
Je wakamatwe wafungwe?
Sasa wafungwe kwa kosa lipi??wakati polisi wanajua haki yakikatiba!!
2. Wakati Dr Slaa akiwa mwanza aliongelea kuwa Dowans ilimumilikisha Rostam Aziz
akaongelea kuhusu kesi ya ICC ambayo iko mahakamani
Siyo kwamba kilakitu kikiwa mahakamani hurusiwi kukisema nikwamba kuongeza wala kupunguza ndo usicho ruhusiwa kwakuwa utakuwa umeingilia uhuru wa mahakama kwani mwisho wasiku inawezakuonekana wewe ulishatoa hukumu!
Je Dr Slaa hajavunja sheria/katiba ya nchi? kwanini asikamatwe na kufungulia mashitaka?
Kwanini tusiseme thread yako nitaka??au bado una valuer??kichwani kwani demoklasia ni uhasama??nyie vipi wana kijani??
 
Hatuhitaji kujibizana na watu wenye SCHIZOPHRENIA
1. kwa jinsi cdm wanavyofanya mikutano yake na kuahamasisha watu kuichukia serikali

Je DR Slaa na Cdm wanafanya UHASI kwa serikali

Je wakamatwe wafungwe?

2. Wakati Dr Slaa akiwa mwanza aliongelea kuwa Dowans ilimumilikisha Rostam Aziz
akaongelea kuhusu kesi ya ICC ambayo iko mahakamani

Je Dr Slaa hajavunja sheria/katiba ya nchi? kwanini asikamatwe na kufungulia mashitaka?

Nawakilisha
 
Schizophrenic idea
Thanks for trying to mislead us from the truth.
Dr. Slaa si kaishiwa sera, hana hoja, iliobaki anatafuta kila anapoona hapa ntaandikwa kwenye magazeti nipate umaarufu anatumia mwanya, si unajuwa jinsi RA na Kikwete nyota zao zilivyo juu, ukitaja tu jina lao na kuwahusisha na chochote unajipatia umaarufu wa bure, kwa kuwa wanauzika!

RA na JK ni hot cake kwa wauza magazeti na Slaa kwa ubunifu wake kaliona hilo na anatumia hiyo fursa, hata kwa kusema uongo, mradi jina la JK au RA liwemo. Sasa wewe unaamini kweli Dowans ni ya RA. kwani kama ni yake ni kwa nini asiseme hii ni kampuni yangu, kwa kuwa Dowans haina kosa ililofanya au wana kosa walilofanya? Slaa atakwambia wanalo. Ma-Judge wa kimataifa wanakwambia hawana kosa, sasa dokta wa kanoni mwenye makosa ya kijamii atashindana na ma-judge waliobobea kwenye fani zao na wanaaminika kimataifa?

Si RA wala JK wala mwenye akili timamu yeyote ataemshitaki Silaa, kwani hicho ndicho anacho-kitaka ili ajipatie umaarufu wa bure. Anawachwa apayuke hovyo kama dasturi yake.
 
Jeykey wa ukweli,,,,kama wewe haya maisha magumu hayakugusi then uwe wa kwanza kumkamata Dr Slaa,
saa ya ukombozi ni sasa
Ataweza??? anaubavu wa wapi?
hao wanaweza kuwa ni watoto wa hao vigogo wao huwa hawaoni shida maana kila kitu kwao kipo
ndio maana unaona wanaongea pumba tu
 
katiba ya Tanzania

30. D) kulinda sifa, haki na uhuru wa watu wengine au maisha binafsi ya watu wanaohusika katika mashauri mahakamani, kuzuia kutoa habari za siri; kutunza heshima, mamlaka na uhuru wa mahakama
ipi? mbona hutaji vifungu?
 
Rudi tena usome vizuri toka mwanzo hadi mwishi wa sentensi zako then utapata jibu halisi.
Ni serikali ipi inayofuata utawala wa sheria?? ya Jk?? BIG NO
Ni serikali ipi inayoifuata hiyo sheria yake?/
Ni serikali ipi inayokamata dagaa peke yake na kuwaacha samaki wakiogelea??
Heshima Mbele,

Mhe. Dr. Slaa anahitajika kukamatwa na Vyombo vya sheria hasa baada ya kuwa na Nyaraka ambazo ni siri za Serikali alizozipata kutoka wizara ya Mambo ya Ndani.Tunatambua ni kosa kisheria kwa Mtanzania yeyote kuwa na nyaraka za siri za serikali.

Nchi hii inaongozwa kisheria,na tumekuwa tukipigania hili siku zote .Kwa mtazamamo wangu Naona kuna haja ya Dr. Slaa kuhojiwa hata kukamtwa kwa kumiliki nyaraka za serikali!
 
Jipange vizuri hapo kwenye bold. Nyaraka zinatokana na watu huko zilikozitoa ni kwa wanyama gani?
 
Back
Top Bottom