umekosea kidogo tu,mafisadi wawe makini maana dr is not a good man inapofika wakati wa kuwawajibisha mafisadi,na mda huo ukifika,watakiona cha moto.watanzania tumuombee dua mtetezi wetu dr slaa.Huko ujeremani huko kuna jambo,nilipata kusikia huyo jamaa alipeleka vijana hukohuko kuchukua mafunzo na waliporudi mambo hayako sawa nchi hii.
Watanzania kuweni macho sana THIS GUY IS NOT A GOOD MAN AT ALL.