Dr. Slaa aalikwa kwenye kongamano Ujerumani

Nenda dokta!

Nimeamini si wote wanao eneza propaganda za udini, ni watu wachache wenye maslai yao tu.
Na kwa hili sina bila shaka ritz una maslai yako

unanisikitisha kuona msomi kama wewe ndio unakuwa chachu ya kueneza udini ambao ungewezwa kufanywa na watu wasio waelewa.

Unanipa tabu kuelewa upeo wako.
 
LOL.....Bado nashindwa kuelewa huyu Dr Slaa amealikwa kama nani kiongozi wa kisiasa au kama muumini wa dini ya kikristo? maana hata JK hualikwa makanisani hapo huwa vipi? nisaidieni maana mi mchanga sana ktk jukwaa hili.

Hebu soma tena hapa chini, usipoelewa utakuwa na kichwa ngum Mkuu wangu mbalu:

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Peter Slaa amealikwa kuwa mmoja wa wanajopo (panelists) wanne, kutoka Mabara ya Afrika, Asia, Amerika Kusini na Ulaya, watakaojadili mada isemayo "Demokrasia Shinikizoni (democracy under pressure)" nchini Ujerumani.

Katibu Mkuu Dkt. Slaa ambaye amesafiri jana jioni kuelekea Ujerumani, atakuwa pamoja na wanajopo wenzake wengine ambao ni Prof. Dr. Kyaw Yin Hlaing (Academic Director Myanmar Egress; kutoka Rangum/Myanmar), Dkt. Aliaksandr Milinkiewitsch (Chairman, Movement for Freedom; kutoka Minsk/ Belarus), Gavana Henrique Capriles Radonski (Leader of the Opposition Movement Mesa de la Unidad Democratica; kutoka Carcas/ Venezuela).

*Mjadala wa mada hiyo ya Demokrasia Shinikizoni, itakuwa ni sehemu ya sherehe za miaka 50 za Siku ya Shirika la Konrad-Adenauer-Stiftung (KAS Day) katika mahusiano yake ya kimataifa na wadau wake mbalimbali kutoka nchi 80 duniani.

Last edited by a moderator:
Hii ni foundation ya Kisiasa si ya kidini. Msipotoshe.

Website yake ni hii: http://www.kas.de/wf/en/ kila kitu kimeelezwa humo.

Hata kwenye website yake iko clear:

The Konrad Adenauer Stiftung (KAS) is a political foundation. In Germany, 16 regional offices and two conference centers offer a wide variety of civic education conferences and events. Our offices abroad are in charge of more than 200 projects in more than 120 countries. The foundation's headquarters are situated in Sankt Augustin near Bonn and in Berlin. There, an additional conference center, namely the Academy, was opened in 1998.

We are proud to bear the name of
Konrad Adenauer
. The first chancellor of the Federal Republic of Germany's name and principles are our guidelines, duty, and obligation. Established in 1955 as "Society for Christian-Democratic Civic Education", the Foundation took on the name of the first Federal Chancellor in 1964.

At home as well as abroad, our civic education programs aim at promoting freedom and liberty, peace, and justice. We focus on consolidating democracy, on the unification of Europe and the strengthening of transatlantic relations, as well as on development cooperation.

As a
think-tank and consulting agency
, our soundly researched scientific fundamental concepts and current analyses are meant to offer a basis for possible political action. The Berlin Academy is the national forum of dialogue between the spheres of politics, economy, science, and society.

Our
conferences and events
attract people who 'have a say'. In Germany, we offer more than 2,500 events per year which attract 145,000 participants. We provide moral and material support to
intellectually gifted young people
not only from Germany but also from Central and Eastern Europe and developing countries. We stay in close contact with our more than 10.000 alumni.

Exhibitions, readings, and awards
are also distinctive elements of our work. We promote young artists, and annually award our prestigious Literary Prize. Our scholarship programs help young journalists offering them projects specifically geared to their needs. Since 1980, we have annually awarded a prize for excellent local journalism. Since 2002, the Konrad Adenauer Stiftung has awarded its "Prize Social Market Economy" to personalities of exceptional merit in safeguarding and developing social market economy.

The Archive for Christian Democratic Politics researches and studies the
history of Christian Democracy
in Germany and Europe. Interested readers profit from an enormous number of documents, modern media, and a library containing more than 157,000 publications on politics and contemporary history.

Ina ushirikiano na hata serikali za nchi za kiislamu kama Afghanistan (Afghanistan Office, Konrad-Adenauer-Stiftung), Pakistan (Pakistan Office, Konrad-Adenauer-Stiftung), Malaysia (Malaysia Office, Konrad-Adenauer-Stiftung), Morocco (Auslandsbüro Marokko, Konrad-Adenauer-Stiftung) .

Wajumbe walioalikwa kwenye mkutano huo wote ni wanasiasa, hakuna Askofu wala Padre.
 
Mkuu wangu unachosema ndio ukweli lakini hawa Pro-Chadema JF badala ya kujiangalia upya wanaonekanaje kwenye jamii watakushambulia na kukuita mdini...lakini sisi tunawasadia Chadema kuwakosoa lakini hawajitambui.

Mwenyewe hujiwezi utamsaidiaje mwenzako!hamna lolote bali ni urafi tu umewagamba.
 
Nakushukuru sana Mungi sijui mawazo yangu yalikuwa yakiwaza madudu gani au yalifunikwa na utando gani ingawa siwajui sana CDM na siasa kwa ujumla.

Tuelimishane zaidi bila kuzimia mioyo.

Katibu Mkuu Dkt. Slaa ambaye amesafiri jana jioni kuelekea Ujerumani, atakuwa pamoja na wanajopo wenzake wengine ambao ni Prof. Dr. Kyaw Yin Hlaing (Academic Director Myanmar Egress; kutoka Rangum/Myanmar), Dkt. Aliaksandr Milinkiewitsch (Chairman, Movement for Freedom; kutoka Minsk/ Belarus), Gavana Henrique Capriles Radonski (Leader of the Opposition Movement Mesa de la Unidad Democratica; kutoka Carcas/ Venezuela).

*Mjadala wa mada hiyo ya Demokrasia Shinikizoni, itakuwa ni sehemu ya sherehe za miaka 50 za Siku ya Shirika la Konrad-Adenauer-Stiftung (KAS Day) katika mahusiano yake ya kimataifa na wadau wake mbalimbali kutoka nchi 80 duniani.

[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Ina maana kikwete akienda Iran au misri anataka kuua ukristo?

kule simbawanga slaa alifanya juhudi ya kuwafukuza uumini wakristo walikuwa wanachama wa ccm waliomuunga mkono mgombea muislam
 
CDM hii movement haikuwa strategic, kwani kuna ulazima kutangaza safari hii. Kwa hali ya kisiasa ilivyo na jinsi viongozi wanavyotumia nguvu kufuta hisia za udini ktk chama hakukuwa na umuhimu wa kuitangaza safari yenye chembe za udini.

jaribu kuwa muelewa,mtu kama slaa hawezi kusafiri kwa siri,nitofauti na wewe. Na wangeficha ingekuwa another case ambayo ingekuwa na chorus ya "why secret?"

Hakuna cha kuficha hapo kwani hakuna kosa lolote hapo, safari ya kisiasa angeficha ndio ingekuwa sio nzuri kwani dunia ni kama kijiji.

Propaganda za udini hawata ziacha ata kama akienda mecca.
 
Hiyo democracy imekuaje hadi akaiongelee ujeremani.au hao mabishop wa christian democratic part wanaenda kumpa mbinu nyingine za kuangusha serekali baada ya ile ya maandamano kufail na ya migomo ya waganga kutozaa matunda kwa haraka?.
Kwani hilo shirika la kikristo ndo wataalamu wa demokrasia duniani na kwanini wa msingleout slaa na sio wasira?.
Hilo shirika lina ajenda ya siri na nchii hii,walikua na nafasi ya kumualika cheo,seif sharifu hamad,mtikila ,etc WHY WILBLOOD
 
uzoefu gani?...

Wewe kweli Elungata yule jambazi!

Huko wanaenda kukuta pia na watu wenye uzoefu wa kutoka chama pinzani na kuchua nchi!! unafikiri hawata jadili chochote itakuwa ni maadhimisho tu na kurudi nyumbani bila kudodosa chochote!!!
Kama anavyofanya kichwa cha nazi!

Kiazi!
 
Napata taabu sana tunapojadili mambo ya siasa kisha tukaingiza udini ndani yake. Hivi huu ukristu na uislam vinasaidia vipi kuboresha maisha ya watz au kutuboreshea huduma zetu za afya,shule nk. Ama dini hizi zinachangia vipi katika kulikomboa taifa katika wimbi la umasikini.

"Globally, the KAS has 78 offices and runs programs in over 100 countries.[2] Its current chairman is the former President of the European Parliament, Hans-Gert Pöttering. It is a member of the Centre for European Studies, the official foundation/think tank of the European People's Party".

Nadhani haya ndo malengo hasa ya KAS kusaidia ukuaji wa demokrasia huru
 
LOL.....Bado nashindwa kuelewa huyu Dr Slaa amealikwa kama nani kiongozi wa kisiasa au kama muumini wa dini ya kikristo? maana hata JK hualikwa makanisani hapo huwa vipi? nisaidieni maana mi mchanga sana ktk jukwaa hili.

Inawezekana haya maneno hukuyasoma kwa utulivu, ama umeamua tu kuyapuuzia. Hebu yasome tena ili uondoe dukuduku lako.

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Peter Slaa amealikwa kuwa mmoja wa wanajopo (panelists) wanne, kutoka Mabara ya Afrika, Asia, Amerika Kusini na Ulaya, watakaojadili mada isemayo "Demokrasia Shinikizoni (democracy under pressure)" nchini Ujerumani.

Hapa kuna viongozi kutoka mabara ya Afrika, Asia, Amerika Kusini na Ulaya.
Kwa trend hii ya kutaka kulazimisha agenda ya udini itafika mahali mtasema hata hao viongozi wote walioalikwa ni viongozi wa kidini. Watanzania tuacheni ushabiki wa kipuuzi wa kisiasa kwa kupenda kushabikia udini, ukabila, ukanda na rangi ya ngozi ya mtu.
 
Mkuu wangu unachosema ndio ukweli lakini hawa Pro-Chadema JF badala ya kujiangalia upya wanaonekanaje kwenye jamii watakushambulia na kukuita mdini...lakini sisi tunawasadia Chadema kuwakosoa lakini hawajitambui.
Matatizo ya Ufisadi mabilioni ya shilingi yamekutwa kwenye accounts za baba zenu halafu useme unatusaidia zaidi ya kutuibia
 
Hiyo democracy imekuaje hadi akaiongelee ujeremani.au hao mabishop wa christian democratic part wanaenda kumpa mbinu nyingine za kuangusha serekali baada ya ile ya maandamano kufail na ya migomo ya waganga kutozaa matunda kwa haraka?.
Kwani hilo shirika la kikristo ndo wataalamu wa demokrasia duniani na kwanini wa msingleout slaa na sio wasira?.
Hilo shirika lina ajenda ya siri na nchii hii,walikua na nafasi ya kumualika cheo,seif sharifu hamad,mtikila ,etc WHY WILBLOOD

hebu jaribu kubadlili chorus na beat labda huu wimbo wako una weza uka eleweka.
 
Kuhusisha kila kinachofanika na dini..............FYI u among those,why?nadhani wewe ukisikia jina CDM/Dr.slaa unapata msg ya udini.......Hii ni hoja imeshindwa mkuu tangu zamani.Ni bora wewe na chama chako mkatafuta hoja nyingine tena iwe ni very strategic ili muweze kuwa-win CDM otherwise u will be counted failures at the end of the day.

Jibu Udini ni nini?
 
Naomba kuwauliza hawa watetezi mgando wa CCM hapa jf kama wanatambua chama chao kina mahusiano ya ndani ya makundi Hamas, Al Shabab, Janjawid, Liqud, Interahamwe, na wamevuruga shabaha ya UAMSHO ya kudai Zanzibar yao na kuwa kikundi cha wahuni wanaotaka ukristu utoweke Zanzibar

Kwa ujumla ccm ina mawakala wengi wenye sifa mbaya zaidi duniani

Wamekuwa wakiwakodi kuendesha ujasusi wa nje na baadhi ya misheni za kimauaji za ndani ya nchi!

Acheni ushabiki msioujua mnatumwa kuja kuropoka bila kumjua vema anaewatuma!
 
Wewe utakuwa na ukichaa flani hivi.
 
Back
Top Bottom