Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,815
- 11,129
Hiyo ni Unguja au Pemba yakhe?
Bwawani ipo Kaskazini Unguja
Hiyo ni Unguja au Pemba yakhe?
Asiyekuwepo na lake halipo
Wazenj hawako tayari kuburuzwa na CCM Tanzania bara.Njia ilio rahisi ni kumchagua Maalim Seif.Wanataka Serikali tatu,wanataka maswala ya raslimali za mafuta yaondolowe kwenye mambo ya muungano,usishangae wakichagua Dr Slaa kwani sera zao zinafanana.Natamani sana CUF ichukuwe zanzibar ili kum'disaprove Mkapa kwenye kauli zake za Jana!
\Hizo ni kura za urais zanzibar za urais muungano chadema ndio wataongoza si mliona watu walivyo jaa kwenye mkutano wa slaa kule zanznibar?
waooooooooooh! mwaka wao ccm huu
Halafu tuone CUF ikishinda kama atakataa serikali ya Umoja wa Kitaifa maana amesema yeye anaitaka inayoongozwa na CCMNatamani sana CUF ichukuwe zanzibar ili kum'disaprove Mkapa kwenye kauli zake za Jana!
1) Kituo Cha Bwawani-Unguja
Maalaim seif CUF 593
Dr Shein CCM 141
Jimbo la Chake Chake-Pemba
Kituo cha Michakaini
Maalim Seif CUF 956
Dr. Shein CCM 246.
Kituo cha Ngwachani
Maalim CUF 623,
Shein CCM 132.
Wadi ya vikokotoni
Maalim Seif CUF 204
Dr Shein CCM 96
Ziwani -Pemba *
Maalim Seif CUF 1080
Dr Shein CCM 60
Malindi - Unguja
Maalim Seif CUF 104
Dr Shein CCM 28