Nimesikia tetesi Maalim Seif ana 50.06% na Dr Shein 47% sasa wanajiuliza vp asilimia ziongezeke kidogo ili Dr Shein atawazwe rasmi Rais mteule wa zanzibar.
Mwenyekiti wa ZEC, Hatibu Mwinyichande, amesema matokeo yanachelewa kwa sababu, kuna matokeo yenye mashaka, wanayafanyia kwanza verification, hivyo ameomba wananchi wawaelewe.
Amesema, bora kuchelewa kutangaza, lakini unachotangaza ni matokeo ya uhakika kuliko kuharakisha bila uhakika.
Mpaka sasa Dr. Shein Anaongoza kwa kura 90458 zidi ya 69253 za CUF, hapo ni mahesabu ya Unguja tu bado hawajaelekea Pemba, Unguja CUF wamechukua majimbo 4 Unguja ( ambayo haikuwahi kutokea uko Nyuma). Na kuna ukweli kuwa Pemba wamechukua yote majimbo 18 Pemba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.