Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,012
wewe babu katafute kazi nyingine ya kufanya hacha umbea na wivu. Tupo hapa tunachungulia. Hapa siyo ze-utamu ambako wadau wanamwaga datazzzzz za kipuuzi
shayo ni msomi , kwa hiyo kama unapingamizi na elimu yake, mwandikie barua au mpigie simu. Hacha kujadili watu kama una kitu cha kuchangia katika mada zake, basi ilete badala ya kumjadili mtu binafsi
Mdau anatumia haki yake ya kikatiba kutoa maoni yake. Wewe kama unaona umbea nenda kwenye thread ambazio unaona sio umbea..ebo!