Dr. Shayo wa UK si bingwa wa uchumi

Halafu sijawahi kuona ''Associate Prof.'' hana hata article kwenye Journal ya maana. Nina access na Journal karibu zote, naomba article ya Economy yoyote aliyoandika, hata journal ya development studies.

Ataandikaje artcle ya maana wakati anaigilizia hata historia ya Valentine's day....
 
Halafu sijawahi kuona ''Associate Prof.'' hana hata article kwenye Journal ya maana. Nina access na Journal karibu zote, naomba article ya Economy yoyote aliyoandika, hata journal ya development studies.

Ataandikaje article ya maana wakati anaigilizia hata historia ya Valentine's day....
 
kwa mujibu wa London South bank wameandika kuwa DR.Shayo position yake ni Senior Research Fellow.

Department ya Engineering,Science and the Built Environment.
yuko section ya property,surveying and construction.

huo u associate professor wa Economics umempa wewe.
kwanza chuo chenyewe hakina kozi hata moja ya uchumi tizama website yao.
wangesema kama yuko kitengo cha uchumi acha kuwafagilia watu kibubusa.

Dr Shayo ni associate Prof.
 
shayo ni msomi , kwa hiyo kama unapingamizi na elimu yake, mwandikie barua au mpigie simu. Hacha kujadili watu kama una kitu cha kuchangia katika mada zake, basi ilete badala ya kumjadili mtu binafsi
sijaona post inayosema shayo sio msomi hapa.....ila tread inasema shayo si bingwa wa uchumi......jamaa anawaokota sana wabongo bingwa gani wa uchumi kaigizia hata article ya valentine......

......aalfu hawa ndio maana tunapigia kelele kesho huyu aanakuwa mshauri wa raisi mambo ya uchumi kumbe hajui kitu tunanza kumlaumu raisi kumbe sisi wenyewe tulikuwa na uwezo wa kukeme hili....
 
Aliyeleta uongo ni Yebo yebo kuwa DR.Shayo ni associate professor wa uchumi wakati muajiri wake kasema ni mtalaam wa mazingira yuko kitengo cha Construction, jee Yebo yebo apewe adhabu gani kwa kupotosha watu? na kusema uongo wa dhahiri?
Mkuu yebo yebo mpambe wake si unajua wale wavaa kijani na kupiga makofi kila anachosema mwenyekiti......
mwajiri wake kaweka wazi sio bingwa wa uchumi anaebisha anatafuta ligi sasa....
 
Cha ajabu hapo ni kipi? Usinichekeshe kanda2, kwani mtu anaenda kusoma ulaya ili akafundishwa na mzungu?

Ikitokea kuna mzungu anakuja Tanzania kujifunza kiswahili halafu amkute Mhindi aliyejifunza kiswahili kwao India na amekuja Tanzania miaka mitatu au minne na huyu ndiye anaendesha kozi ya kiswahili.mzungu huyo atakuwa dissapointed akiamini angepata mzawa mtalaam wa kiswahili ingekuwa bora zaidi.

lengo ya mtu kwenda kusoma Ulaya ni kupata maarifa kwa mhusika mkuu mfano ukienda vyuo vikubwa na vyenye hadhi utakutana na lecturer ambaye ametunga kitabu na anajua mazingira halisia unapozungumzia CREDIT CRUNCH au Bank of England anakuja anajua hata mambo yaliyo nje na kitabu.elimu haiko kwenye kitabu tu.

atakwambia asili ya sikukuu ya mothers day au anaweza kugusia siasa labda mwaka fulani kulikuwa na kitu fulani.lakini unakutana na mhindi ambaye hajui kitu ni mgeni.wazungu wametuzidi kwenye kuwekeza kwenye elimu ukifundishwa na mtu wa namna hiyo kuna faida nyingi za ziada.
 
Mzee ninadhani wewe Binafsi hujawahi kusoma Uchumi na mtu akikuambia ni Economist sijui unaelewaje? Dr shayo ni Economist , kwenye Economics unaweza ukatumia anlytical tools unazozi acquire na ukaamua ku specialize in any Field. Na kazi ya Mchumi ni kushauri methods ambazo zitaboresha uses of scarce resources Efficiently na kupunguza costs , ndio maana kuna wachumi wa waliobobea katika mambo ya kilimo, wachumi wa fedha, wachumi wa ,ma,mbo ya sheria na hata siasa, so whe n you speaking about ecomics is a very big field. Kuhusu swala la Dr shayo kufanya kazi kwenye kitengo cha construction ni sawa, it means he understand the Material economics, always katika ujenzi we want to reduce cost, kama utafiti wake unahusu kupunguza galama za ujenzi bila kuadhiri mazingira yes it make sense, he is still an economist, Kampuni kama IKEA inatumia wachumi ku fanya utafiki wa miti itayokuwa haraka na inayopatikana kwa bei nafuu, so si shangai kwa mchumi kufanya kazi za mazingira because mazingira is still a component of means of production. Wachumi wote waliowengi they use econometrics , statistics and some computational models kufanya research in any field. Labd kwa nyongeza tu, watu wengi wenye PHD za Uchumi unakuta hata fani zao za kwanza sio uchumi, wengine huwa ma engieer, wanasiasa, uwezo wake wakufanya Research using Econometrics models , make him mchumi than a title on his PHD

Pili kuhusu hiyo shule ya london hiyo shule ni longolongo na itakuwa hairuhusiwi kisheria kutoa Degree labda inatoa degree kupitia vyuo vingine, university zote zenye charter ya Universiity in UK website zao zinaishia na ac.uk mfano kama jamiiforum ingekuwa university website yake ingekuwa www.jamii.ac.uk because u have to reach certain starnadrd ya kutambulika na charter ya university ya UK ili uweze kutumia hiyo ac.uk ukiona chuo chochote kinatumia ..com ujue ni longolongo

Hili la ac.uk umeniwahi nilikuwa namsubiri jamaa aje tena ili nimpe hoja ya email ya chuo cha London school of commerce,nashukuru kwa mchango wako huu.

tukirudi kwenye mjadala wa DR.Shayo hawezi kuwa mchumi kwa kufanya kazi kwenye construction kwani website ya chuo chake imeonesha kitengo hicho kinafanya kazi na taasisi ya chartered surveyers association sio Economics. mkuu wa kitengo hicho ni DR.Lake.

hoja zako ni dhaifu sana ina maana kila mtanzania ni mchumi kwani akipata pesa anazihesabu au kuziwekea utaratibu wa kuzitumia-bajeti.au kila muuza duka ni mchumi kwani anahifadhi pesa na kuzifanyia bajeti ya matumizi na manunuzi ya bidhaa.

Fani ya uchumi sio shati kila mtu anavaa ni fani ya watu waliowekeza, huwezi kuwa umesoma DEVELOPMENT STUDIES ukijiita mchumi. umeniacha hoi uliposema kuwa mtu yeyote anaweza kuwa na phD ya uchumi hata kama amesoma Medicine au ana masters ya sheria L.L.M. Hapo sio kuitendea haki fani ya uchumi.kozi pekee mtu wa fani yeyote anaweza kuingia ni MBA ambayo watalaam wakati mwingine huiita CRAZY DEGREE yaani inabeba mtu yeyote.

naomba pitia Department of Economics ya QUEEN MARY UNIVERSITY www,econ,qmul.ac.uk kuna kozi mfano MSC IN ECONOMICS,MSC IN FINANCE AND ECONOMICS,MSC IN FINANCE AND ECONOMETRICS wameweka kipengele cha kujiunga na kozi-Entry requirements kuwa you should have at least an upper-second class honours degree,or equivalent in Economics. hiyo kwa kutaka kufanya masters tu sasa itakuwaje uchukuwe PhD ya uchumi ukiwa huna msingi wa somo hilo? kweli Professor Lipumba na Professor Benno Ndulu fani zao mtu yeyote wa mazingira anaweza kuwaweza kuzikebehi?
 
hivi inakuwaje mtu mzima anaudanganya uuma namna hii?......

Anajua watanzania sio watu wa kuhoji.tukiambiwa Maximo kocha tunakubali tu,hatujui mkataba wake analipwa bei gani? wakati pesa anayotumia ni yetu.
kocha ambaye ana miaka mitatu hajapata kikosi cha kwanza lakini hakuna anayehoji. makocha wa kimataifa wote mishahara yao huwa wazi kwa wananchi.lakini sisi hatujui na hakuna mtu anahoji sifa zake za ukocha-qualification.kama hilo limewezekana itakuwa na DR.Shayo kujifagilia kuwa mchumi? watu wanashindwa kuhoji digri ya miaka miwili ya London school of commerce au intake sita kwa mwaka.
 
Nimefuatilia mjadala huu' Juu ya Dk Shayo kwa makini' nilicho observe ni kuwa watu wameng'amua who is who na hasa kufuatia ku flourish kwa Ma Dr Hewa vihiyo Tanzania na wimbi zima la vyeti vya kughusgi. Hili halipingiki.
But Facts are:-
1. Kwa vile Shayo ndiyo mbeba maada basi what I can Say ni kuwa ni Dr halali msomi mwenye PhD. si kihiyo
2. Ubora na Jina la chuo isiwe kipimo pekee cha kuhalisha usomi wa mtu. i.e Miaka ya nyuma kama hujasome UDSM wewe so msomi. Vyuo vingine vilikuwa kama mbadala. yaani ukishindwa kupata admission Mlimani nasi unatafuta altenative ya vyuo vingine kama Mzumbe, IFM chuo cha Ushirika etc. Je ni kweli kuwa ni waliosoma Chuo kikuu cha Dar es salaam ndiyo wana mang'amuzi mapana ya elimu? Je hakuna vilaza? je wote ni wachapa kazi na wanaitumia elimu yao sawaswa? NO

3 Nini ubora wa chuo? Majengo? other facilities kama IT na Library, excellence of staff au kozi gani zinatolewa na chuo? au unaangalia budget yao?.

4. London Southbank ni chuo kikuu kikubwa tu. Je wajua idadi ya wanafunzi wanaosoma full time hapo? Kwa wale ambao hamjabahatika kufika London the Ukweli ni kuwa London southbank University ni kikubwa na kina facilities x 10 au zaidi ya MLIMANI.

5. Uingereza vyuo ni vingi na vingi vin operate kwa kutumia very high resourceful academicians kutoka vyuo vikuuu.

6. Ubora wa chuo angalia course outline ndiyo utang'amua kama ni bomu am la.

Kwa hiyo mapungufu ya mtu binafsi au ukipanga wa mtu usihisishwe na aina ya chuo alichosoma.
Ta
 
Na yoote explanation je Dr shayo ni bingwa wa uchumi?
 
..kama amesomea shahada ya kwanza ktk uchumi ana haki ya kutambuliwa kama mchumi. pia kama alikuwa ni mwalimu UDSM basi zitakuwa zinachaji kichwani.

..tuache kumsakama kwa kufundisha huko UK ktk chuo ambacho hatukiheshimu. Dr.Shayo used to teach at UDSM which is the most reputable University in Tanzania.
 
Ni wazungu wenyewe ndio waliosema kuwa LONDON SOUTHBANK si chuo cha maana tizama ripoti ya gazeti la thetimesonline.co.uk au guardian.co.uk kwenye university Ranking,magazeti haya yameshauri sana watu wawe makini kwenye kuchagua vyuo.

kaka/dada kama wewe umesoma kwa bahati mbaya chuo hiki usiwashawishi wengine waingie mkenge ulioingia wewe.

magazeti yote yamekiweka chuo cha mwisho kwenye league table. kwanini mtu aje kusoma chuo kisicho na reputaion wakati Uingereza wana mamia ya university.

mjadala wa kuwa Udsm ilikuwa juu kwa zamani ni kweli kwani Mzumbe haikuwa university wala IFM sasa kwanini ukachukue Advanced Dilpoma ambayo vyuo vya UK vingine havitambui kama ni equavalent na digrii. again chuo kama Mzumbe kilikuwa na walimu wasio na sifa wengi kupita idadi.Udsm kulikuwa na umakini wa hali ya juu. hata sasa B.COM ya Udsm sio sawa na ya Tumaini university.

DR.Shayo si mtalaam wa uchumi kupaste au kukopi kazi za watu sio utalaam kwanini alazimishe kitu asicho na maarifa nacho? kuwa ooh mtu yeyote anaweza kusoma phD hata kama hana background ya uchumi. kama ndivyo kwanini hakuchukua utalaam wa uchumi na akachukua mazingira?ukitaka kuchukUA msc Accounting and Finance utapewa masharti ya kujiunga na kozi hiyo ikiwa knoowledge ya mambo ya uhasibu,uchumi au finance.
huwezi kuwa umesoma political science,masters ya Development studies halafu ukachukkua PhD ya uchumi.
shayo penda somo lako la mazingira wewe sio mchumi-Period!
 
..kama amesomea shahada ya kwanza ktk uchumi ana haki ya kutambuliwa kama mchumi. pia kama alikuwa ni mwalimu UDSM basi zitakuwa zinachaji kichwani.

..tuache kumsakama kwa kufundisha huko UK ktk chuo ambacho hatukiheshimu. Dr.Shayo used to teach at UDSM which is the most reputable University in Tanzania.

Yaani wewe UDSM unakiona chuo cha maana? Umewahi kusikia maprofesa wa hapo wakiongea? Kumejaa maprofesa feki tu hapo. Sitashangaa tukianza kuchunguza credentials za wote wanaofundisha hapo tukakuta watu wenye PhD za University of Phoenix na DeVry. Come on dude.

Mtu gani ambaye unadai zinachaji kichwani anaigilizia historia ya Valentine's day (of all things) bila kutoa hata attribution ya aina yoyote ile. Kibaya zaidi ni kwamba huyu fraudster aliandika hiyo makala ya Valentine's day na kuiweka kama vile kila kitu kaandika yeye.
 
Nyani Ngabu said:
Yaani wewe UDSM unakiona chuo cha maana? Umewahi kusikia maprofesa wa hapo wakiongea?

Nyani Ngabu,

..huo ni mjadala mwingine mkubwa, tena mpana sana, unataka kuanzisha.

..kwa uelewa wangu Mlimani wanachukua cream-of the-cream of their students kuwa waalimu pale.

..sasa Dr.Shayo alikuwa recruited kuwa mwalimu UDSM, hivyo tuna kila sababu ya kuamini kwamba he was one the brightest students during his undergraduate studies at the Hill.

..sasa na ukizingatia kwamba wa-Tanzania wengi, right or wrong, tunakikubali UDSM kama chuo bora kabisa Tanzania, then sioni sababu ya watu kuanza kumrushia matope huyu dogo kwa kuamua kuganga njaa at a not very reputable Univ in England.

..kwa upande mwingine mtoa mada, bwana kanda2, ana historia ya kuanzisha posting zinazoongozwa na chuki za kidini na kikabila. kwa isije ikawa dogo Shayo anaponzwa na dini na kabila lake tu.

NB:

..kwani kwa uelewa wako btn SouthBank Univ na UDSM ni chuo kipi unaona kimemzidi mwenzake?

..mimi hiyo article naona haina maana, kwanza, kwasababu inahusu Valentine, na pili, ameiandika ktk blog ya Muhidini Michuzi.
 
Last edited:
Nyani Ngabu,

..huo ni mjadala mwingine mkubwa, tena mpana sana, unataka kuanzisha.

..kwa uelewa wangu Mlimani wanachukua cream-of the-cream of their student kuwa waalimu pale.

..sasa Dr.Shayo alikuwa recruited kuwa mwalimu UDSM, hivyo tuna kila sababu ya kuamini kwamba he was one the brightest students during his undergraduate studies at the Hill.

..sasa na ukizingatia kwamba wa-Tanzania wengi right or wrong tunakikubali UDSM kama chuo bora kabisa Tanzania, then sioni sababu ya watu kuanza kumrushia matope huyu dogo kwa kuamua kuganga njaa at a not very reputable Univ in England.

..kwa upande mwingine mtoa mada, bwana kanda2, ana historia ya kuanzisha posting zinazoongozwa na chuki za kidini na kikabila. kwa isije ikawa dogo Shayo anaponzwa na dini na kabila lake tu.

NB:

..kwani kwa uelewa wako btn SouthBank Univ na UDSM ni chuo kipi unaona kimemzidi mwenzake?

Okay, granted alifaulu na distinction hapo UDSM. Unaonaje yeye kuigilizia historia ya siku ya Valentine bila kutoa attribution? Kuhani ndiye aliyem-bust. Yaani kama uliisoma article hiyo article ya Shayo na ile aliyokuja kuibandika Kuhani utaona jinsi jamaa aliyoiba aya verbatim. Sasa kama ana plagiarize kwenye vitu vidogo kama hivi vya historia ya siku ya wapendanao na hatoi attribution nini kitanifanya mimi nisihoji pengine hata hapo UDSM alifaulu kwa ujanja ujanja kama huo?

Kuhusu Southbank Uni. na UDSM nani zaidi? Well, kuna mambo mengi ya kuangalia. Kwa haraka haraka tu tunaweza kuangalia ni asilimia ngapi ya wakufunzi wa kila chuo wana shahada za falsafa ktk fani zao. Pili michango yao ktk fani na taaluma zao i.e. majarida wanayoandika, vitabu walivyoandika, n.k. Tatu tunaweza kuangalia mazingira ya kusomea i.e. ni chuo kipi kilicho wired vizuri zaidi, access ya material za utafiti na kusoma, maabara, viwangu vya uhitimu, retention rates, na mazagazaga mengine mengi. Kwa sasa siwezi kukuambia kwa uhakika kabisa ni kipi zaidi kwa sababu sijafanya utafiti wa kuvilinganisha. Ila ninachojua UDSM ni kibovu.

NB: Umesema unaiona hiyo makala yake kutokuwa na maana. Sasa kwa nini aigilizie? Kulikuwa na sababu kweli ya kufanya hivyo? Na nini kibaya kwa yeye kuiandika kwenye globu ya Michuzi? Una suggest kuwa kule level ya scrutiny na challenge ni ndogo kulinganisha na hapa?
 
Nyani Ngabu,

..personally nisingechukua makala ya mtu mwingine kuhusu Valentine bila kutoa attribution. Dr.Shayo alikosea.

..lakini pia nimeona watu wengi ktk hizi forums na blogs wanakuwa wazembe-zembe ktk suala zima la kutoa attribution kwa kazi za watu. nadhani sababu ni kwamba hizi blogs na forums ziko too informal.

..ningeshtuka zaidi kama angekuwa amefanya jambo la kizembe kama hilo in a more formal setup/media, na zaidi kama angekuwa anapokea malipo fulani kwa article au presentation aliyotoa.

NB:

..Nyani Ngabu mimi nakuheshimu sana kwa michango yako hapa jamvini. lakini sina nguvu sana ya kuchangia posting hii kwasababu MUANZISHA MADA ana historia ya UDINI na UKABILA.

..naomba michango yangu ktk thread hii iishie hapa.
 
Back
Top Bottom