William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Thread starter
- #101
mkuu nadhani unamaanisha age descrimination na sio racism, lakini kama unamaanisha hivyo ulivyoandika (racist), mimi sio racist na siwezi kuwa racist kwa salim kwa ajili wote ni the same race.
- Mkuu kwangu hayo maneno hayana tofauti kimaana politically, labda wewe ndivyo unavyoachukulia sina tatizo kukubali kutokubaliana on that!
Israel ina mfumo tofauti ambao prime minister ndio mwenye nguvu, angalia mccain jinsi alivyokuwa anashambuliwa kwa ajili ya uzee wake
viongozi wengi wazee TZ ndio wanachukua tu kwa ajili hawana future na TZ
angalia kibaki hapo nchi jirani au mgabe
- Reagan, kwani alipoanza urais alikua na umri gani mkuu, maccain hakuwa na sera zinazokubalika na wananchi ndio maana akashambuliwa ama sivyo Republicans wasingempa nafasi ya kuwawakilisha kwenye kugombea urais.
- Rais ni rais mkuu, hata kama waziri mkuu ndiye mwenye power bado rais wa nchi ndiye mkuu wa nchi sitaki kuamini kwamba Israel wanampigia kura rais asiye na lolote kwa taifa lao, hapana!
- Wazee TZ bado wanazo future labda kwa amwazo yako tu mkuu ambayo ni haki yako kuwa nayo, bila wazee hili taifa kina Lowassa wangekua wameshalimaliza, lakini bado ni haki yako kuamini tofauti!
sheria yetu yenyewe ina descriminate age na kusema kama uko chini ya 40 huwezi kuwa rais wakati nyerere alikuwa rais akiwa na 39. kabla ya kunishutumu mimi ku descrimianate wazee angalia sheria inavyodescriminate vijana
- Sheria iko wazi kwamba vijana chini ya miaka 40, hawana uwezo wa kuongoza taifa level ya urais na mifano tunayo wazi jinsi Mtandao waliyotufanyia, kama una tatizo na sheria basi uanzishe topic ya sheria na Tanzania.
- Sasa ninaenda kanisani kama nilivyoahidi kuleeee! BWa! ha! ha! ha! Semingloo bwana baukubwa sana Bwa! ha! ha!
FMEs!