3D.
JF-Expert Member
- Sep 7, 2010
- 1,018
- 282
Na Nyingine walidai alimuua Karume lakini baada ya uchanguzi huo kuisha hatukusikia tena tuhuma hizo zikizungumziwa...CCM kwa mbinu chafu hawajambo...
Kwa suala la Dr. Salim mbinu chafu si za CCM ni za Kikwete japo CCM wana mbinu chafu dhidi ya vyama vingine. Kikwete huwa ana mbinu chafu dhidi ya yeyote anayetofautiana naye. Ni bahati mbaya sana yuko ikulu. Asirudi tena, nchi imemshinda.