Dr. Salim Ahmed Salim kuwa Obama wa Tanzania 2015?

Na Nyingine walidai alimuua Karume lakini baada ya uchanguzi huo kuisha hatukusikia tena tuhuma hizo zikizungumziwa...CCM kwa mbinu chafu hawajambo...

Kwa suala la Dr. Salim mbinu chafu si za CCM ni za Kikwete japo CCM wana mbinu chafu dhidi ya vyama vingine. Kikwete huwa ana mbinu chafu dhidi ya yeyote anayetofautiana naye. Ni bahati mbaya sana yuko ikulu. Asirudi tena, nchi imemshinda.
 
Kichwa cha habari kina walakini kidogo....but anyway, umeeleweka!.......................Hii maneno ililetwa pia na member mwingine akihoji juu ya Salim, lakini pamoja na wengine kama Mwinyi, Mkapa, Msuya, sUMAYE NA wengine, lakini watu walitoa maoni tofauti, kubwa likiwa kwamba wakipanda jukwaani watasema nini, maana wanajua kwa uhakika kuwa JK hauziki kutokana na kuukumbatia uovu kwa kasi ya supersonic!

SALIM na MKAPA wana INTENATIONAL assignments ...

SALIM yeye bado yuko busy at times kama Msuluhishi maalum wa AU/UN kule DARFUR...

na MKAPA ameanza kazi nyingine rasmi kama MWENYEKITI WA JOPO MAALUM LA UMOJA WA MATAIFA la kuangalia TRANSITION YA AMANI KWA KURA ZA MAONI kule SOUTH SUDAN.....[watapiga kura kuamua kama wawe nchi kamili au waendeleee kuwa na SUDAN]...
 
Unakumbuka kina Butiku na MNF washawahi kuitwa wehu na Makamba nafikiri sasa kwenye kampeni hii watasema nini, to them (CCM) only fresh is gold but old is not gold.

Wanaambiwa wana wivu wa madaraka nilisikia!!!
 
SALIM na MKAPA wana INTENATIONAL assignments ...

SALIM yeye bado yuko busy at times kama Msuluhishi maalum wa AU/UN kule DARFUR...

na MKAPA ameanza kazi nyingine rasmi kama MWENYEKITI WA JOPO MAALUM LA UMOJA WA MATAIFA la kuangalia TRANSITION YA AMANI KWA KURA ZA MAONI kule SOUTH SUDAN.....[watapiga kura kuamua kama wawe nchi kamili au waendeleee kuwa na SUDAN]...

Unataka hizo international assignment wako muda wote huko? Mbona tulikuwa nae katika mazishi ya mtoto wa Pius Msekwa?? Mbona anahudhuria vikao vya chama. In short haalikwi yeye na kundi lake akina Butiku na Warioba
 
There you are. Hawezi kuwa Darfur saa zote

The thing ni kuwa,,, according na dodosa zilizopo! SAS alikuwa kwenye mazungumzo mazito sana na CHADEMA awe mgombea Uraisi wao. kama mtakumbuka Chadema walichelewa kutangaza mgombea uraisi. At a very last minute uasalama wakamdakua hivyo chadema hawakuwa na njia zaidi ya kutafuta mmbadala na ikaangukia Dr Slaa awe ndo mgombea. Slaa alihoji inawezekana akakaa nje ya bunge for 5 years, ameahidiwa mshahara kwa kipindi atakachokuwa nje ya bunge.
So SAS was to be Chadema Presidential candidate for year 2010.
 
maana naona wasanii wengi ndio wanaougombania urais bora tumpe huyu jamaa ndo kabaki mwenye busara za kuongoza nchi kwa sasa hana siasa za kinafiki wala makundi
 
yeye si ni mzanzibari?
Agombee kwao huko,Tanganyika tunae raisi wetu tayari doctor wa ukweli
 
Jamani mnamtaka Omar Ilyas aje sasa hivi aanze vita na wewe uliyeanzisha thread lakini hii itakuwa kama tu hajaamua kuanza kazi mapema maana last time alishindwa kwa kuwa alijitokeza saa za majeruhi
 
Salum A.Salum anaweza kuwa mtu mzuri but agenda ya JK inajikita zaidi kwenye udini. We need to be very careful, otherwise kuongozwa na watu wenye nia ya dhati kujenga matabaka ya kidini for 20 yrs itatuletea shida sana Tanzania. We have see ourself jinsi agenda za kikabila zinavyoongezeka wakati ndugu zetu hawa wakichukua madaraka, someni historia, angalia kipindi cha mwinyi na sasa hivi JK.
 
kwa hiyo waongoze wakristo tuu?maana hawana udini!waislam wakiongoza wanaudini sio?2015 lazima awe mlutherani kama EL maana hakuna mlutheri amewahi kuwa rais wa tz
 
Salum A.Salum anaweza kuwa mtu mzuri but agenda ya JK inajikita zaidi kwenye udini. We need to be very careful, otherwise kuongozwa na watu wenye nia ya dhati kujenga matabaka ya kidini for 20 yrs itatuletea shida sana Tanzania. We have see ourself jinsi agenda za kikabila zinavyoongezeka wakati ndugu zetu hawa wakichukua madaraka, someni historia, angalia kipindi cha mwinyi na sasa hivi JK.

Huu ni ujinga tena upumbavu mkubwa sana kwa kijana Shabbab kuwa na fikra za kidini na kikabila.

Hakika wewe umepitwa na wakati na sikutegemea mtu kama wewe kuwa katika barza kama hii.

Kiongozi yoyoe apimwe kwa uwezo wake wa kuongoza ikiwa pamoja na kuwa na uchungu wa maendeleo na kuondoa matatizo kwa jamii yake. Lakini kiongozi hapimwi kwa dini yake, kabila lake au hata ukoo na umbo lake huo ni upotovu na ujinga uliopitwa na wakati.
 
Mbona kawa mtu mzima sana jamani, anatakiwa apumzike, awashauri vijana. Sidhani kama anaweza kudhubutu kugombea hata huo urais.
 
Back
Top Bottom