Dr. Nagu abwagwa ujumbe wa baraza la UWT Taifa

waacheni wao wanajuana maana ni full ujinga kila sehemu wanapigana vijembe na rushwa nje nje kama hakuna sector ya Hosea balaa ndani ya nchi kuwa na viongozi waliotoa rushwa kupata madaraka unategemea watafanya nini watakapo kuwa madarakani? tuchukueni hatua watanzania
 
Uchaguzi wa UWT mkoa wa manyara umefanyika leo mkoani babati. Dr Mary Nagu amebwagwa na Martha umbula waliokuwa wanawania nafasi ya Ujumbe wa baraza Kuu la UWT Taifa.

Alifikiri kila siku ni Friday! Tupa Kule
 
vip huko mr mamvi kashindwa kumsaidia?

Mamvi smart kaona adiversify portfolio kidogo..huyu amepata kile NEC na atamtumia huko, na huyu Martha (ni mfuasi wake pia) yeye aingie UWT kuendeleza mapambano huko..mtu mmoja akiwa huko na huko kwenye siasa hizi anaweza akabadilika na ukakosa kwenye vyeo vyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom